Mnalazimisha wazungu hawafuatwi, sasabu wazungu wamtembea dunia na wanaheshimu utaratibu wa kila nchi, wanaenda Dubai na wapo wanaishi Dubai, na kila Ramadhani wanafuata sheria za Dubai, Hata wakiwa Zanzibar hawali mabarabari, wanakula kwenye hoteli walizofikia,
Sasa nyinyi machogo kwani Zanzibar ni kwenu, mmeitwa au njaa zenu ndio zimewaleta
Hapa mtakula bakora tu, au kaani hukohuko kwenu hatuwataki huku na wamasai pia tunaendelea kuwawashia moto
tunachosema ni hikii, mzungu akila hadharani hamchapi viboko, mbantu akila hadharani mnafura kwa hasira mnamchapa. kuitwa chogo sisi watu wa bara wala sio shida, na kweli tuna chogo tulio wengi, ila kaa ujue, hakuna mtu toka bara huwa anachukia akidharauliwa na mtu toka zanzibar, kwasababu mlishadharauliwa tangu zamani. hao wanaoishi zanzibar wakiwa wakristo, sio watu wa bara, ni wazanzibar wenye vitambulisho vya uzanzibari. hata sio watu wa bara. kama suala la kuwa mweusi ni kuwa mtu wa bara, basi robo tatu yenu nyote mtakuwa watu wa bara kwasababu ni weusi.
tukirudi kwenye hoja, binafsi inanifurahisha kwasababu matendo yenu yanaonyesha sura halisi ya uislam, ili watanzania waufahamu zaidi uislam na waukimbie kama ukoma. ni dini ya kikatili, isiyo ya amani ndio maana mnachapa watu wazima viboko, na ni dini ya fujo. hilo ninyi wenyewe mnathibitisha.
unaposema watu wakristo walioko huko zanzibar waondoke warudi bara, hauelewi tu. bila sisi ninyi hamuwezi kuishi. Ukija bara, kuna wazanzibar kila mkoa, wanamiliki maduka, wanachoma chips tena wanajua sana kupikapika, arusha, mwanza, kial sehemuw apo, tunawajali kama ndugu, na hatuwabagui.
ndugu zenu wengi wameajiriwa kwenye serikali ya muungano huku bara, wapo wengi sana wanachuma pesa wanawaletea huko, Ukienda kigamboni na DSM yote, wazanzibari wamejaa wanatafuta pesa, migahawa, maduka n.k wanatuma pesa huko na wanamiliki mashamba na hata nyumba, ruksa, mnaruhusiwa tu huku. linapokuja suala la wewe kutubagua sisi pamoja na kuwaruhusu muishi kwa amani namna hii huku bara, unaonekana kituko kuliko kitu chochote. hauna hata hadhi ya kujadili kwasababu shetani amekujaa, shetani wa kiislam.