bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sanaMkatae mkubali islam ni tatizo kote duniani na sayari za mbali .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sanaMkatae mkubali islam ni tatizo kote duniani na sayari za mbali .
Rais wa pili Tanzania Alhasan Mwinyi alipewa jina la MZEE RUKSA baada ya kuruhusu kila mtu Kula anachojisikia baada ya fujo ya waislam kugomea mabucha ya kitimoto mwaka 1993. Sasa mwanae sijui anafuata slogan gani kuhusiana na Haki ya kila mwananchi katika visiwa anavyoongoza.Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=
Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
- Mimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
- Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Kijana wa watu mnamchangia kumpiga ati kala mchana wakati wa Ramadhani
View: https://x.com/TRobinsonNewEra/status/1775885649922408904
Nyinyi wenyewe mumeshazama , kuongozwa na mwanamke tena si wa kwenu , wanaume wazima?Hiki kisiwa tukizamishe this is too much
Narudia, huwezi toka bara ukiwa na akili timamu kwenda Michenzani kulala juu ya mapaa, hao lazima watakuwa Wasomali waliodanganywa kuja Zanzibar kufunzwa ugaidi kisha waende mbinguni kupewa mabikra 72.Nyinyi mlioko huku mliojazana mmnaolala kwa mamia Kama kumbi kwenye mapaa ya nyumba Za Michenzani ndio mumeendelea?
Narudia, huwezi toka bara ukiwa na akili timamu kwenda Michenzani kulala juu ya mapaa, hao lazima watakuwa Wasomali waliodanganywa kuja Zanzibar kufunzwa ugaidi kisha waende mbinguni kupewa mabikra 72.
Kwamba wasipike kabisa au? Kuulizia taratibu wakati waliokamatwa walikuwa ndani nako ni changamoto ya akiliTaratibu zinasemaje huko zenji?
WE upo zenji au upo huju bongoland mkuu? Mimi nipo bongoland na nikauliza taratibu zipoje huko? Swali langu lina shida gani mkuu hadi ionekane akili yangu inachangamoto?Kwamba wasipike kabisa au? Kuulizia taratibu wakati waliokamatwa walikuwa ndani nako ni changamoto ya akili
Kiuhalisia, kuulizia utaratibu upoje na huku waliopika wamekamatwa wakiwa ndani kwao wanafanya upishi wao, we huoni kama kuna tatizo??? Wangekamatwa hadharani, sawa ILA NDANIII..!!!??? Halafu bado uulizie utaratibu..!!! Hapo kuna changamoto ya akili.WE upo zenji au upo huju bongoland mkuu? Mimi nipo bongoland na nikauliza taratibu zipoje huko? Swali langu lina shida gani mkuu hadi ionekane akili yangu inachangamoto?
Mimi sikai zenji mkuu, hatua ya kwanza ni kutaka kufahamu kuna utaratibu gani huko zenji.Kiuhalisia, kuulizia utaratibu upoje na huku waliopika wamekamatwa wakiwa ndani kwao wanafanya upishi wao, we huoni kama kuna tatizo??? Wangekamatwa hadharani, sawa ILA NDANIII..!!!??? Halafu bado uulizie utaratibu..!!! Hapo kuna changamoto ya akili.
mtu asile hadharani, basiii..!! lakini kuna wana huko wanakufuata ndani. Hili la kufuatana ndani halitakiwi hata kuulizana utaratibu. Kuna watu huko wasio waislamu, wasile siku za mfungo kisa ni ramadhani??Mimi sikai zenji mkuu, hatua ya kwanza ni kutaka kufahamu kuna utaratibu gani huko zenji.
Mkuu wewe unafahamu utaratibu uliotumika ?
Wqnachoniudhi ni makelele yao tu. Wanakera sana na kelele zao za vipaza sautiHii dini na wafuasi wake Elimu ya utambuzi ni finyu.
Wengi wao wanafanya mambo kwa mihemko, wanajifanya wanamuabudu MUNGU MUUMBA kwa dhati kipindi hiki huku ndani wamefuga misukule na majini bila kusahau ufirauni.
Huwezi kuta upuuzi huu kwa Buddha, Christians au Shinto.
Kwahiyo mambo ya changamoto ya akili ulikurupuka, niombe radhi mkuumtu asile hadharani, basiii..!! lakini kuna wana huko wanakufuata ndani. Hili la kufuatana ndani halitakiwi hata kuulizana utaratibu. Kuna watu huko wasio waislamu, wasile siku za mfungo kisa ni ramadhani??
Majibu hayo, hayaondoi changamoto ya akili iliyopo. Kuulizia utaratibu huku ukijua kutopika kabisa kwa wasio wa imani hiyo haiwezi kuwa sehemu ya taratibu, ni changamoto ya akili, tena kupikia ndani kwako..!!Kwahiyo mambo ya changamoto ya akili ulikurupuka, niombe radhi mkuu
Utaambiwa umekufuruMimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?