Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Acha ulevi aliekuambia mimi Mzanzibar nani?

Na usiniongelee mimi ongelea Hoja zangu.

Nasema, Ndio wanayo kitu inaitwa 'semi-autonomy',
Unataka kubisha kwakuwa hujui au lengo ni kubisha tu aili mradi?
Soma kwa ufahamu... Hapo limeulizwa swali ila kwa kuwa umezoea kubishana Kila kitu unakitafasiri kama ubishi. Ichunguze hii ID uone kama imewahi kushiriki ubishi hapa JF.
 
Soma kwa ufahamu... Hapo limeulizwa swali ila kwa kuwa umezoea kubishana Kila kitu unakitafasiri kama ubishi. Ichunguze hii ID uone kama imewahi kushiriki ubishi hapa JF.

Sasa kama hujui vitu vidogo kama hivyo una faida gani hata JF?
 
Unashinda njaa kwa uzezeta wako wa kufuata maandiko ya tamaduni za kiarabu unanionea gere mimi na ugali wangu.
Ndiyo maana hii dini inakuwa kazi sana kuitenganisha na ugaidi kwa sababu ni watumia mihemko kuliko AKILI
 
Mimi sio mzenji mkuu, ndo maana nikauliza taratibu huko zenji zipoje
Zenji ni sehemu ya JMT, taratibu zao haziwezi kuwa tofauti na bara.
 
Reactions: Lax
Taratibu ni za Tanzania, usijifanye Juha. Kwani zanzibar siku za mapumziko ni zipi? Sherehe za kitaifa ni zipi? Nyinyi wafuasi wa Shetani Allah ni waajabu sana

Zanzibar ni nchi ndani ya Tanzania mkuu, Kwahiyo wana mamlaka ya kujipangia taaratibu zao.
 
Hebu nenda katembee dada mbona hakuna shida, story za mitandaoni tu hizo
Hv, nikiwa pale Forodhani pale sea food place, naweza vaa skintight na top? Au tamaduni za wazanzibar zitanibana?
Maana nataka niende nikatembee kule wiki ijayo.
Najua huku uraiani nitavaa baibui.
Afu nasikia eti ukiwa na makalio makubwa Zanzibar unataniwa, Naogopa sana dos.2020
Ukweli ni upi?
 

Hapana shida kwenye suala la mavazi unaweza kuvaa vyovyote tu unavyopenda sehemu yoyote,
Kuhusu makalio makubwa kule ni deal sana, yani wadada wenye makalio makubwa ni rahisi sana kula maisha, utashangalaliwa ila sio wote wenye uthububtu wa kuweza kukutania.

Ila ningekushauri ni bora usubiri mfungo uishe ndio uende, kipindi cha mfungo harakati nyingi za ki entertainment huwa zinafungwa including restaurants, night clubs hata kwenye fukwe amsha amsha inakuwa ni ndogo sana. nahisi zimebaki kama wiki mbili tu kumalizika. Ila pia kipindi cha Eid kunakuwa kupo very crowded viwanja vyote vinajaa hata hayo maeneo ya forodhani yanakuwa na nyomi kubwa, kama si mtu wa shangwe pia unaweza kuacha wiki ya Eid ipite mana kule sherehe hua nearly week nzima, ila kama mtu wa shangwe hakuna shida.
 
Waoooo!!!!
I like it!!! 🥰🥰🥰
Mie nataka nikakae kama wiki mbili hvi
Nilitamani nimpate mwenyeji wa kunielekeza hapa wapi na hapa wapi, nightclubs, bar, lodge, sehemu za kuzugia etc....hata za kujimwaga naked poa tu 🤭
Mie ni mtu wa shangwe ila sio kwa Eid, labda nisubiri mfungo uishe, na sita zake.
Nataka niende kuupoza moyo.
Napenda kuruka majoka mpaka asubuhi.

Basi nitaandaa nguo za mchana na usiku. Nitaongeza baibui, Abaya na madera.
Za usiku ninazo nyingi tu.

Niliwahi kwenda Mwanza, nimerudi zangu Club, nikasahu lodge niliyofikia.
Ikabidi nirudi Club mpaka asubuhi ndio nikaelekezwa.
Huu ujinga sitaki unikute tena nikienda Zanzibar.

Kumbe Zanzibar nako kuna vibe...🤩🤩🤩
Na lodge au hotel kule ni pesa ngap Kwa uzoefu wako boss?
 

nilikua naitafuta nyuzi nimeipata huku unaweza kupata wadau waziada wakatoa msaada

Zanzibar | Special Thread
 
Halafu siku ya Yanga na Melody wanayapeleka kwa mkapa yakacheze mpira
 
Katika watu ambao nilikua nachukia nikisikia MUUNGANO uvunjwe ni Mimi lakini kwa haya wanayoyafanya WANZAZIBAR kwa Sasa sitaki kusikia MUUNGANO Tena Bora kila mtu awe kivyake wapemba warudi kwao
 

Doomed, says Bishop



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…