Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Rais wa pili Tanzania Alhasan Mwinyi alipewa jina la MZEE RUKSA baada ya kuruhusu kila mtu Kula anachojisikia baada ya fujo ya waislam kugomea mabucha ya kitimoto mwaka 1993. Sasa mwanae sijui anafuata slogan gani kuhusiana na Haki ya kila mwananchi katika visiwa anavyoongoza.
 
Hiki kisiwa tukizamishe this is too much
 
Nyinyi mlioko huku mliojazana mmnaolala kwa mamia Kama kumbi kwenye mapaa ya nyumba Za Michenzani ndio mumeendelea?
Narudia, huwezi toka bara ukiwa na akili timamu kwenda Michenzani kulala juu ya mapaa, hao lazima watakuwa Wasomali waliodanganywa kuja Zanzibar kufunzwa ugaidi kisha waende mbinguni kupewa mabikra 72.
 
Labda Hao ni wasomali wa kikwavi
 
Kwamba wasipike kabisa au? Kuulizia taratibu wakati waliokamatwa walikuwa ndani nako ni changamoto ya akili
WE upo zenji au upo huju bongoland mkuu? Mimi nipo bongoland na nikauliza taratibu zipoje huko? Swali langu lina shida gani mkuu hadi ionekane akili yangu inachangamoto?
 
Kiuhalisia, kuulizia utaratibu upoje na huku waliopika wamekamatwa wakiwa ndani kwao wanafanya upishi wao, we huoni kama kuna tatizo??? Wangekamatwa hadharani, sawa ILA NDANIII..!!!??? Halafu bado uulizie utaratibu..!!! Hapo kuna changamoto ya akili.
 
Mimi sikai zenji mkuu, hatua ya kwanza ni kutaka kufahamu kuna utaratibu gani huko zenji.

Mkuu wewe unafahamu utaratibu uliotumika ?
 
mtu asile hadharani, basiii..!! lakini kuna wana huko wanakufuata ndani. Hili la kufuatana ndani halitakiwi hata kuulizana utaratibu. Kuna watu huko wasio waislamu, wasile siku za mfungo kisa ni ramadhani??
 
Wqnachoniudhi ni makelele yao tu. Wanakera sana na kelele zao za vipaza sauti
 
Reactions: K11
mtu asile hadharani, basiii..!! lakini kuna wana huko wanakufuata ndani. Hili la kufuatana ndani halitakiwi hata kuulizana utaratibu. Kuna watu huko wasio waislamu, wasile siku za mfungo kisa ni ramadhani??
Kwahiyo mambo ya changamoto ya akili ulikurupuka, niombe radhi mkuu
 
Majibu hayo, hayaondoi changamoto ya akili iliyopo. Kuulizia utaratibu huku ukijua kutopika kabisa kwa wasio wa imani hiyo haiwezi kuwa sehemu ya taratibu, ni changamoto ya akili, tena kupikia ndani kwako..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…