Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Hii dini ni ya ajabu sana.
Huku maofisini unakuta mtu unakula chakula ulichonunua Kwa fedha yako halafu linatokea jitu linakuambia eti sio vizuri kula mchana wa ramadhan kana kwamba nchi nzima ni waislamu.
Nonsense