Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Yaani mtatukana, mtaponda, mtachonga na mtaropoka na kuropoka mpendavyo lakini Wazanzibari wana exercise their right of being autonomous.
Kwahiyo unataka Kujustify kubagua Wazanzibari Wakristo na wale ambao hawafungi kwa utashi wao binafsi?
 
wapo watu wanao ruhusiwa kula mchana
Wagonjwa
Wazee
Wasafiri
Watoto
Wasio kuwa waisilamu

Ikiwa Mimi ni mzima wa afya na ni muislamu siko katika hilo kundi ulilotaja hapo juu kwani kuna sheria ya kunilazimisha kufunga ikiwa sihitaji kufunga?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unataka Kujustify kubagua Wazanzibari Wakristo na wale ambao hawafungi kwa utashi wao binafsi?

Hoja ni unafanya nini na namna gani wakati huu ambapo wengi wanafunga.
Si swala la wewe ni Mpagani ama huna Dini.

Vitu vingine mbona si-vigumu kueleweka ?

Shida watu wanaleta mazoea ya sehemu nyingine sehemu tofauti,
Narudia tena Zanzibar ni Zanzibar na si sehemu nyingine yoyote na ni watu ambao wanao uhuri wa kujuamulia yao.
Ipo hivyo na itakuwa hivyo tu.

Haijawahi kutokea wala kusikika kuwa ambao hawafungi wote wamekamatwa Zenj, kwa nini?

Sasa lazima ujiulize huyo ambae anakutwa na hilo anao 'umaalum' gani?
Lazime kuna shida sehemu.
 
Kitendo cha kusema wafuasi wa dini ya uisilamu kuwa wamekosa elimu dunia kinatosha kukuhukumu yakuwa wewe ni mbumbu sababu umehukumu waisilamu wote duniani bila ushahidi tena wewe hata elimu ya kujisafi baada ya kunya huna
We huna akili bila ushahidi vipi na ushahidi ni hapo Zanzibar na haya yanayojadiliwa hapa ni uthibitisho kwamba washinda njaa hawana kitu kichwani
Kungekuwa na mwenye akili angekemea huo upuuzi, kukaa kimya ni kuona kwamba kinachofanyika ni sawasawa tulioko pembeni sasa ndiyo tunaona kumbe hawa hawana akili kiasi hichi



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi alieamrisha kufunga ni Allah au Serikali ya Mapinduzi?

Nijibu hapa ili tuanze Mjadala vizuri.
 
Acha kutetea upumbavu
 
Hivi Pasaka hapapikwi wala kuliwa mchana poleni sana ndugu zetu huko
 
Kwahiyo nawewe unaamini kuna mama amekamatwa na kutozwa faini?
Hiyo habar ni kweli kabisa kama una raia anayeishi Paje muulize., na hilo sio tukio la kwanza kama unaishi Zanzibar kipindi hiki Cha Ramadhani hayo matukio ni mengi sana
 
Huwa kuna shida gani huko upande wa pili? Yani mtu ukifunga unataka na wengine wafunge, kufunga kwako kunanyima uhuru watu wengine. Kufunga ni hiyari, kila mtu atahukumiwa kivyake.

I'm proud to be Christian aisee, By the way Pasaka haijafika tuu??!!
 
Serikali yenyewe ya Zanzibar ina matatizo kuruhusu ujinga huu kuendelea Zanzibar, si wote wanaokamata watu ni wema, kuna wengine wana wivu tu kuona wenzao wanakula mara 3 kwa siku. Kwani kuna anayekatazwa kula jamani? Mtu kama unafunga ni shida yako, usilazimishe wengine wakuige. Yaani hiyo siku mtu atakayerogwa kunipiga ama kunikamata kwa kuwa nakula mchana, aisee aombe tu mizimu yake - kumanina zake nitamfumua kishenzi mpaka atajuta kuzaliwa ili tu iwe fundisho kwa wajinga wote wakamatao watu wanaopenda kula na kujenga miili yao.
 
Imani ya dini haitakiwi iwe ya kulazimisha
Dini ya Kiislam ndivyo ilivyo, ni kulazimishana tu Imani hata Mohammed alikuwa anayafanya haya kulazimisha watu kuwa Waislam na waliokataa aliwaua na kubaka wake zao na ndiyo maana walimuua kwa kumuwekea sumu kwenye chakula alicholazimisha apikiwe. Mwanangu yeyote anakuwa Muislam nampa laana.
 
Kwani Zanzibar inaendeshwa kwa sheria za kidini jaman??
 
""aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula""

Kuna sheria inakataza ndani nikiwa nimejifungia?

#YNWA
Hapana, kujipikia ww mwenyewe ukala ndani kwako ni ruhusa wanaokamatwa ni mama ntilie ambao wanapikia ndani kwao na kupaki chakula kwa kuwauzia watu wengine ambao hawajafunga tena hao wanaonunua wenyewe wanalia hicho chakula sehemu ya faragha na sio hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…