Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Hao aina mbili uliowaelezea wanatofauti gani?
Wote wanapika faragha.

#YNWA
 
Utum
Utumwa ni mbaya sana,walishaondoka hawa wakoloni lkn bado sisi ni watumwa wao.
 
Sheria za manispaa na huwa zinafanya kazi wakati wa ramadhani tu, kwamba mtu yyte haruhusiwi kupika/ kula chakula hadharani sasa hao hawajapikia Wala kula hadharani na sio waislamu kwahiyo unawataka na wao wafunge?
Vipi wagonjwa,wazee,watoto hawapikiwi?
 
Wapuuzi sana hawa jamaa
 
Zanzibar sio eneo salama kuishi/kutembelea wakati wa Mwezi Mtukufu wa ramadhani hasa kama wewe sio Islam.
 
Kuna watu wanajiita waislamu lkn deep inside hawana dini. Hawa huona funga Ni mateso lakini inabidi wajitie wamefungwa kutokana na jamii iliyowazunguka.
Ndio Hawa ambao hawataki MTU mwingine ale mchana, wanataka sote tuteseke.
Kama mama anapikia sirini na wanaokula wanalia sirini, shida yako wewe muislamu feki Ni Nini?
 
Ajabu sana

Imani ya mwingine inawahusu vp wasio waumini?
 
Mko ndani mnapiga msosi unashangaa mnavamiwa kama vile mnakunywa gongo yaani ni shida sana aisee
 
""aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula""

Kuna sheria inakataza ndani nikiwa nimejifungia?

#YNWA
Mimi sio mzenji mkuu, ndo maana nikauliza taratibu huko zenji zipoje
 
Hiyo ni imani ya kishetani na ya kishenzi.
Kufunga tafsiri yake ni kuzishinda tamaa zako mbaya. Siyo uwe kero kwa wengine. https://jamii.app/JFUserGuide nyota na mwezi
 
Kuna mmoja ni wa kike yupo huku bara ni rafiki yangu imebidi tu anigande coz kuna kitu ananufaika kwangu nafikiri hii program ikiisha akirudi kwao mawasiliano yatakata, amekuwa free kwangu mpaka huwa ananiita chogo
 
Kibodi woria
 
Kikubwa hiz nchi zitengane, ila mmbongo akienda kule ajue ni ugenini na afate sheria za kule, kadhalika wazanzbar wakija huku wafanye sheria za huku. Haiwezekani nchi Moja imeungana ila wananchi wanapata treatment tofauti
Nchi zimeungana halafu kila nchi ina rais wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…