Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Hapana, kujipikia ww mwenyewe ukala ndani kwako ni ruhusa wanaokamatwa ni mama ntilie ambao wanapikia ndani kwao na kupaki chakula kwa kuwauzia watu wengine ambao hawajafunga tena hao wanaonunua wenyewe wanalia hicho chakula sehemu ya faragha na sio hadharani.
Hao aina mbili uliowaelezea wanatofauti gani?
Wote wanapika faragha.

#YNWA
 
Utum
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=

Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
  • Mimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
  • Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Utumwa ni mbaya sana,walishaondoka hawa wakoloni lkn bado sisi ni watumwa wao.
 
Sheria za manispaa na huwa zinafanya kazi wakati wa ramadhani tu, kwamba mtu yyte haruhusiwi kupika/ kula chakula hadharani sasa hao hawajapikia Wala kula hadharani na sio waislamu kwahiyo unawataka na wao wafunge?
Vipi wagonjwa,wazee,watoto hawapikiwi?
 
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=

Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
  • Mimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
  • Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Wapuuzi sana hawa jamaa
 
Zanzibar sio eneo salama kuishi/kutembelea wakati wa Mwezi Mtukufu wa ramadhani hasa kama wewe sio Islam.
 
Kuna watu wanajiita waislamu lkn deep inside hawana dini. Hawa huona funga Ni mateso lakini inabidi wajitie wamefungwa kutokana na jamii iliyowazunguka.
Ndio Hawa ambao hawataki MTU mwingine ale mchana, wanataka sote tuteseke.
Kama mama anapikia sirini na wanaokula wanalia sirini, shida yako wewe muislamu feki Ni Nini?
 
Ajabu sana

Imani ya mwingine inawahusu vp wasio waumini?
 
Kuna watu wanajiita waislamu lkn deep inside hawana dini. Hawa huona funga Ni mateso lakini inabidi wajitie wamefungwa kutokana na jamii iliyowazunguka.
Ndio Hawa ambao hawataki MTU mwingine ale mchana, wanataka sote tuteseke.
Kama mama anapikia sirini na wanaokula wanalia sirini, shida yako wewe muislamu feki Ni Nini?
Mko ndani mnapiga msosi unashangaa mnavamiwa kama vile mnakunywa gongo yaani ni shida sana aisee
 
""aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula""

Kuna sheria inakataza ndani nikiwa nimejifungia?

#YNWA
Mimi sio mzenji mkuu, ndo maana nikauliza taratibu huko zenji zipoje
 
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=

Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
  • Mimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
  • Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Hiyo ni imani ya kishetani na ya kishenzi.
Kufunga tafsiri yake ni kuzishinda tamaa zako mbaya. Siyo uwe kero kwa wengine. https://jamii.app/JFUserGuide nyota na mwezi
 
Wazenji wengi ni watu waliozaliwa uku na pia wamekulia huku wengi wao hata kwenda dar apo hawajawahi kabisa so huwa naona wengine wakifanikisha kwenda dar au mikoa mingine huwa mindset yao hubadilika na kuanza upya style za maisha mengine kiufupi wanaanza kurealize kwamba sisi wabongo huwa hatuna chuki nao bali wao ndo wanachukia na sisi naumia sana kwa kuandika haya ila wazenji wanatuchukia sana sisi wabongo haswa sisi wenye majina ya kikristo ....huwa wanatuona kama uchafu
Kuna mmoja ni wa kike yupo huku bara ni rafiki yangu imebidi tu anigande coz kuna kitu ananufaika kwangu nafikiri hii program ikiisha akirudi kwao mawasiliano yatakata, amekuwa free kwangu mpaka huwa ananiita chogo
 
Serikali yenyewe ya Zanzibar ina matatizo kuruhusu ujinga huu kuendelea Zanzibar, si wote wanaokamata watu ni wema, kuna wengine wana wivu tu kuona wenzao wanakula mara 3 kwa siku. Kwani kuna anayekatazwa kula jamani? Mtu kama unafunga ni shida yako, usilazimishe wengine wakuige. Yaani hiyo siku mtu atakayerogwa kunipiga ama kunikamata kwa kuwa nakula mchana, aisee aombe tu mizimu yake - kumanina zake nitamfumua kishenzi mpaka atajuta kuzaliwa ili tu iwe fundisho kwa wajinga wote wakamatao watu wanaopenda kula na kujenga miili yao.
Kibodi woria
 
Kikubwa hiz nchi zitengane, ila mmbongo akienda kule ajue ni ugenini na afate sheria za kule, kadhalika wazanzbar wakija huku wafanye sheria za huku. Haiwezekani nchi Moja imeungana ila wananchi wanapata treatment tofauti
Nchi zimeungana halafu kila nchi ina rais wake
 
Back
Top Bottom