Wakati ATCL imelala usingizi wa pono Rwandair waongeza ndege nyingine aina ya Aibus A330-200

Wakati ATCL imelala usingizi wa pono Rwandair waongeza ndege nyingine aina ya Aibus A330-200

naomba aje mtu aniambie toka ATCL imeanzishwa mpka leo ni nwaka gani walipata faida???

nimekaaa paleee
Ilibidi faida ianze kupatikana baada ya mwaka? Unafikiri ni nyanya hizo? Hata bakhressa kiwanda alichojenga Cha sukati hawezi kupata faida ndani ya miaka mitatu
 
Biashara air transport ni pasua kichwa, Rwanda hakuna uhuru wa kukosoa kama Tz ila kuna madude mengi yalio jificha ndani, PK ni homicidal dictator ukimkosoa unaenda mazima......ila Rwanda bado sana ni propaganda kuficha mahovu ya PK, pale kuna time bomb amani haijapatikana bado.
Heri mara 1000 kuwa na Rais kama PK, kuliko kuwa na Rais ambaye mafanikio yake makubwa ni ku create chawa wa kumsifia huku aki fail kwenye kila kitu.
 
Heri mara 1000 kuwa na Rais kama PK, kuliko kuwa na Rais ambaye mafanikio yake makubwa ni ku create chawa wa kumsifia huku aki fail kwenye kila kitu.
Siku zote Raisi muuaji ni hatare kuliko Raisi yoyote, PK ni mbaya mara 1000, huwezi kumlinganisha na Raisi wetu mpendwa, wewe uko usingizini bado.
 
Nacho jua kwasbb nilisha wahi kukaa Rwanda zaidi ya miaka miwili rural Rwanda ni masikini mara 3 au 4 ya Tanzania kula mlo moja kwao vijijini ni jambo la kawaida, vituo vya afya ni vichache na hamna dawa za kutosha zaidi ya wanyarwada 5m wana ishi nje nchi kama wakibizi wana ishi in refugee camps nchi jirani.......

vipi kuhusu Mbususu za rwanda mkuu??
 
Heri mara 1000 kuwa na Rais kama PK, kuliko kuwa na Rais ambaye mafanikio yake makubwa ni ku create chawa wa kumsifia huku aki fail kwenye kila kitu.
Uchawi unaanza(ga) hivi hivi Mkuu.
 
Rwandair haijawahi pata faida toka ianzishwe.

Hayo mapesa wangeweka kuondoa umasikini kwa wananchi wake.

Tena nchi yenyewe ndogo kama mkoa wa Pwani ni rahisi kuondoa umasikini ukiacha kunua hayo mandege.
Labda hatuioni picha kubwa yaani inawezekana shirika lisipate chochote kikubwa ila kinachobebwa na hizo ndege nje ya Rwanda ndo faida, mfano kama abiria mmoja atapanda na ndege na debe la kilo kadhaa za madini ya thamani na kuna abiria wachache naamini bado kuna fedha nyingi huyo mtu mmoja atakuwa anaingiza (chukulia huyo moja ndo serikali} hivyo hata kama shirika kwenye uendeshaji litakuwa na hasara basi hasara hiyo inafidiwa wa na hiyo faida isiyoonekana kuliko mzigo huo ungepitia shirika la kigeni ambalo kuna wavimba macho wengi ,
 
Biashara air transport ni pasua kichwa, Rwanda hakuna uhuru wa kukosoa kama Tz ila kuna madude mengi yalio jificha ndani, PK ni homicidal dictator ukimkosoa unaenda mazima......ila Rwanda bado sana ni propaganda kuficha mahovu ya PK, pale kuna time bomb amani haijapatikana bado.

Bado hujaelezea why wanafanya vizur kuliko sisi?
 
Tangu lini serikali ya Tanzania ikafanya Biashara na kupata faida waachieni watu binafsi wafanye Biashara nyie chukueni Kodi tuu. Biashara ya Ndege hazijawahi kumwacha mtu salama . Ndio maana wanaungana .

Rwandair haiendeshwi kwa mizengwe na ndio maana hawaogopi kwenda South Africa kwani hawana madeni hivyo ndege zao haziwezi kushikwa!!
 
Biashara air transport ni pasua kichwa, Rwanda hakuna uhuru wa kukosoa kama Tz ila kuna madude mengi yalio jificha ndani, PK ni homicidal dictator ukimkosoa unaenda mazima......ila Rwanda bado sana ni propaganda kuficha mahovu ya PK, pale kuna time bomb amani haijapatikana bado.
Watapasuana Tena hawa
 
Katika mambo yanayonikera hapa JF ni hizi nyuzi za kujilinganisha na Rwanda na Kenya. Unawezaje kujilinganisha na nchi ya Rwanda inayopora utajiri wa DRC na kuua wakongo? Na pia Rwanda ya mitandaoni ni tofauti na uhalisia wake. Wanyarwanda wengi bado ni maskini sana ndo maana wanaondoka sana kwao na kuhamia nchi zingine. Dikteta yuko tayari watu wafe njaa akanunue ndege au kujenga majengo ya ghorofa. Rwanda hawana lolote la kutuzidi zaidi ya roho mbaya na ukatili. Mleta mada ni mnyarwanda?
 
Nacho jua kwasbb nilisha wahi kukaa Rwanda zaidi ya miaka miwili rural Rwanda ni masikini mara 3 au 4 ya Tanzania kula mlo moja kwao vijijini ni jambo la kawaida, vituo vya afya ni vichache na hamna dawa za kutosha zaidi ya wanyarwada 5m wana ishi nje nchi kama wakibizi wana ishi in refugee camps nchi jirani.......
Wanyarwanda wametapakaa kuanzia Zambia na nchi zingine za kusini. Serikali ya Zambia huwa inawa-harras sana
 
Back
Top Bottom