ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Watu wa yanga hua kama wamedata hivi ukiwaona..sasa jukwaa la hoja na habari anaweka thread ya mpiraUmekosea jukwaa.
Ok. Taja idadi ya mechi zilizobaki kwa kila teamWakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!
Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.
Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....
Kwa kweli timu ya kuifunga Simba hatuna,husijipe moyo ndugu yangu utadondoka na presha.Sema tu kwenye mpira kuna bahati labda siku hiyo bahati iwe upande wetu,kwani probability ya Yanga kuifunga Simba haizidi 30%.Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!
Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.
Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....
Washabiki wa ccm huwa ni vizibo kweli kweliWakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!
Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.
Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....
Wakuu habari zenu