Wakati Azam anatawanywa leo Simba wajiandae tarehe 8

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
22,152
Reaction score
33,899
Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!

Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.

Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....
 
Adi aibu kuja kuongea apa kitimu kime jifia uko utopolo. A.K .A churaaa
Screenshot_20210413-212810.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210413-212810.jpg
    Screenshot_20210413-212810.jpg
    32.5 KB · Views: 2
Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!

Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.

Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....
Ok. Taja idadi ya mechi zilizobaki kwa kila team
 
Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!

Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.

Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....
Kwa kweli timu ya kuifunga Simba hatuna,husijipe moyo ndugu yangu utadondoka na presha.Sema tu kwenye mpira kuna bahati labda siku hiyo bahati iwe upande wetu,kwani probability ya Yanga kuifunga Simba haizidi 30%.

Simba wapo vizuri.
 
🖒😅😆😁😀😂😃😆😁😀😂😃
 
Duh! Kwel azam kubwa hadi uzi umeanzishwa mbona gemu nyingine hamuanzishagi nyuzi zake au ndo kujifariji, kwa jinsi ulivyopeke yako humu inanesha uto wenzako wanajua madhara ya mti huo ulioko nyuma
 
Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!

Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.

Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....
Washabiki wa ccm huwa ni vizibo kweli kweli
 
Back
Top Bottom