ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!
Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.
Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....