Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Wakati feisal kaingia mitini huku akiwa na mkataba Yanga kuliibuka kundi kubwa la mashabiki wa Simba wakimsupport ile mbaya wakidai ni haki yake
Haya sasa imetokea kwao kwa kibu dennis nategemea nguvu zile zile walizokua wanatumia kumsupport feisal wazitumie kwa kibu dennis
Kwa sasa hivi maumivu yale yale waliyokua wanayapata yanga ndo wao sahivi wanayapata
Tulisema lile jambo la feisal sio la kushangilia ila hawakuelewa sasa nawao linewatokea
UBAYA UBWELA imekua kinyume na matarajio yao.
PIA SOMA
- Simba kumchukulia hatua za kinidhamu Kibu Denis kwa kutokuripoti kambini