Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Hata feisal alifanya uhuni na wakamchangia munaweza waonea huruma ila wao tuliwaambia hiki anachofanya feisal sio kitu cha kushabikia leo kimewatokeaMe ni shabiki wa Yanga.
Il usema Kibu anaofanyia taasisi ya Simba ni uhuni.
Simba wamempa heshima Leo anawaona takataka
HakikaWakati feisal kaingia mitini huku akiwa na mkataba Yanga kuliibuka kundi kubwa la mashabiki wa Simba wakimsupport ile mbaya wakidai ni haki yake
Haya sasa imetokea kwao kwa kibu dennis nategemea nguvu zile zile walizokua wanatumia kumsupport feisal wazitumie kwa kibu dennis
Kwa sasa hivi maumivu yale yale waliyokua wanayapata yanga ndo wao sahivi wanayapata
Tulisema lile jambo la feisal sio la kushangilia ila hawakuelewa sasa nawao linewatokea
UBAYA UBWELA imekua kinyume na matarajio yao
We ni mshabiki wa simba acha usaniiMimi YANGA damu ila simba wapo smart sana
Hata feisal alikua na uwezo wa kuvunja mkataba ndo maana mwishoni alifuata taratibu akavunjaAcha kufananisha scenario mbili tofauti
Kibu hata leo akitaka kuvunja Mkataba anavunja, cha msingi atimize matakwa ya mkataba kwa mujibu wa makubaliano.
Nakazia.Acha kufananisha scenario mbili tofauti
Kibu hata leo akitaka kuvunja Mkataba anavunja, cha msingi atimize matakwa ya mkataba kwa mujibu wa makubaliano.
Unakazia uongo acheni kujifarijiNakazia.
Dube na Kibu scenario yao ina utofauti na Fei sehemu moja tu, kuruhusiwa kuvunja mkataba wao wenyewe.Hata feisal alikua na uwezo wa kuvunja mkataba ndo maana mwishoni alifuata taratibu akavunja
Ila mwanzoni alifanya uhuni na imekua ni darasa kwa wachezaji wengine mfano wa dube na sasa kibu
Tofauti kivip nawakati wote walikua na mikataba na timu zao na wakaingia mitini kama alivyofanya kibuDube na Kibu scenario yao ina utofauti na Fei sehemu moja tu, kuruhusiwa kuvunja mkataba wao wenyewe.
Fei hakuwa na option ya kuuvunja mkataba wake, option zake zilikuwa:
1. Aripoti kambini kusubiri mkataba uishe.
2. Asain mkataba mpya.
3. Timu inayomtaka ije.
Raisi wa nchi akaingilia.
Mkataba hauvunjwi na pande 1.Dube na Kibu scenario yao ina utofauti na Fei sehemu moja tu, kuruhusiwa kuvunja mkataba wao wenyewe.
Fei hakuwa na option ya kuuvunja mkataba wake, option zake zilikuwa:
1. Aripoti kambini kusubiri mkataba uishe.
2. Asain mkataba mpya.
3. Timu inayomtaka ije.
Raisi wa nchi akaingilia.