Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #21
Yanga na azam walikaa mbona ilikua wazi bila kificho ndo sakata la fei likaishaMkataba hauvunjwi na pande 1.
Mkataba unaingizwa na pande mbili na kwenye kuvunja unavunjwa na pande mbili. Acha kuwa mbumbumbu
Mkuu, Fei hakuwa na option ya kuvunja mkataba wake. Dube kafanya hivyo Azam wakasema weka kiasi fulani nenda. Kibu nae anaweza fanya hivyo kwa kuzingatia takwa la kuvunja mkataba wake mwenyewe. Azam kukaa na Yanga ni kwa maelekezo ya raisi wa nchi.Tofauti kivip nawakati wote walikua na mikataba na timu zao na wakaingia mitini kama alivyofanya kibu
Fei Yanga walimuuza kwa azam means walikaa mezani wakafanya biashara na azam ndo maana nikakuambia acha uongo
Haya mambo tuliyaongea sana hapa tukawawekea hadi vifungu vya sheria vilivyokuwa vinampa haki hiyo Feisal.Hata feisal alikua na uwezo wa kuvunja mkataba ndo maana mwishoni alifuata taratibu akavunja
Ila mwanzoni alifanya uhuni na imekua ni darasa kwa wachezaji wengine mfano wa dube na sasa kibu
Haki ipiHaya mambo tuliyaongea sana hapa tukawawekea hadi vifungu vya sheria vilivyokuwa vinampa haki hiyo Feisal.
Sio lazima yafanyike makubaliano ya pande mbili ili mkataba uweze kuvunjwa.
Ndio maana mnashauriwa kuweka demand kubwa kwenye termination ya contract ili kuzuia uvunjwaji holela.
Kibu ikitokea anavunja Mkataba basi tegemea Simba itapiga jackpot.
Haya mambo tuliyaongea sana hapa tukawawekea hadi vifungu vya sheria vilivyokuwa vinampa haki hiyo Feisal.
Sio lazima yafanyike makubaliano ya pande mbili ili mkataba uweze kuvunjwa.
Ndio maana mnashauriwa kuweka demand kubwa kwenye termination ya contract ili kuzuia uvunjwaji holela.
Kibu ikitokea anavunja Mkataba basi tegemea Simba itapiga jackp
Kweli wewe ndo mfuasi halisi wa Rage.Haya mambo tuliyaongea sana hapa tukawawekea hadi vifungu vya sheria vilivyokuwa vinampa haki hiyo Feisal.
Sio lazima yafanyike makubaliano ya pande mbili ili mkataba uweze kuvunjwa.
Ndio maana mnashauriwa kuweka demand kubwa kwenye termination ya contract ili kuzuia uvunjwaji holela.
Kibu ikitokea anavunja Mkataba basi tegemea Simba itapiga jackpot.
Kwani Azam ilitaka maongezi au ilitaka hela?Haki ipi
Mbona yanga na azam waliongea biashara ndo sakata likaisha
Usipende kulazimisha uongo kuwa ukweli
Tatizo la nchi hii unaweza ona mtu akili lakini ukawa suprise kuona anashabikia kitu ambacho hakipo
Wewe utakuwa na ubongo wa dumuzi.Kweli wewe ndo mfuasi halisi wa Rage.
Hivi itakuwaje kama kesho wachezaji wote pale Simba waamke waseme hawana furaha waweke pesa kwenye account.
Na hapo una mechi na Ahly na sio dirisha la usajiri utafanyaje?
Walifanya maongezi kwa mda wa siku mbili na zaidi ndo wakakubaliana kama ingekua ni swala la kudeposit hela kusingekua na haja ya mazungumzoKwani Azam ilitaka maongezi au ilitaka hela?
Azam iliweka wazi kuwa haimkatazi Dube kuondoka ila alipe zile dola ambazo alisaini kuwa atalipa endapo atavunja mkataba.
Kama kulikuwa na maongezi ni wazi kuwa huyo mchezaji hakuwa na hiyo hela na hivyo Yanga ilijitokeza kubagain bei au kuomba kulipa hizo hela kwa awamu.
Na ni kweli Yanga wakiomba kulipa hela kwa awamu na pale walipomaliza ndio tuliona Azam wakitangaza kuachana na Dube.
Sasa Feisal alilipa 112M lakini nyinyi mlikataa na mlikataa kwasababu mliona ni hela ndogo mkaingiwa tamaa.
Haiko ivo changamsha akili acha kukariri.Wewe utakuwa na ubongo wa dumuzi.
Mchezaji sio mtumwa wako, muda wowote milango iko wazi na anaweza kuondoka ndio maana FIFA imeweka hiyo sheria ya termination ya just cause and without cause.
Sasa vilabu vikubwa vinavyojiendesha kisomi huwa vinaweka pesa ndefu ya kuzuia hiyo mianya ya watu kuvunja mikataba tu pale wanapojiamulia.
Huyo amekariri vimaneno vya mtandao.Walifanya maongezi kwa mda wa siku mbili na zaidi ndo wakakubaliana kama ingekua ni swala la kudeposit hela kusingekua na haja ya mazungumzo
Ila nakushangaa sana unabisha mpaka vitu ambavyo vilifanyika wazi bila kificho una ubishi wa kijinga sana
😂 michezo hiyoMimi YANGA damu ila simba wapo smart sana
Mkataba unavunjwa hata upande mmoja utofauti unakuja kwenye Consequences.Mkataba hauvunjwi na pande 1.
Mkataba unaingizwa na pande mbili na kwenye kuvunja unavunjwa na pande mbili. Acha kuwa mbumbumbu
Pengine hata Club zinazojitambua zinatamani hilo litokee kwakua wanajua jinsi watavyoenda kufaidika.Ipo siku wachezaji wa first 11 wote watarubuniwa wavunje mkataba kati kati ya msimu ndio mtaona faida ya huu uhuni.
Kwanza unazijua sheria au unaongea tu changamsha domo?Haiko ivo changamsha akili acha kukariri.
Nimekuuliza katikati ya msimu, siku ya 1 wachezaji wote waweke pesa kwenye account na dirisha la usajiri limefungwa itakuwaje?
Mkataba wowote unavunja mezani na pande zote mbili huwezi vunja mkataba geto eti umeweka pesa NBC account af useme nishavunja mkataba
Wewe hujielewi.Kwanza unazijua sheria au unaongea tu changamsha domo?
Mimi siongei kwa hisia kama wewe, mimi nanukuu sheria za FIFA.
Unachokizungumzia wewe ni jambo la kufikirika.
Kwanza unatakiwa ujue jaribio lolote la kuvunja mkataba kwa namna yeyote ile moja kwa moja litatafsirika kuwa mkataba umevunjika.
Iwe kwasabau au bila sababu. Then kinachofuata hapo ni consequences kama ni faini zitalipwa kama kufungiwa pia atafungiwa.
Mbona Azam Dube alitaka kuwapa dollar 100k Azam wakakataa, inamaana Azam waliingia tamaa?Kwani Azam ilitaka maongezi au ilitaka hela?
Azam iliweka wazi kuwa haimkatazi Dube kuondoka ila alipe zile dola ambazo alisaini kuwa atalipa endapo atavunja mkataba.
Kama kulikuwa na maongezi ni wazi kuwa huyo mchezaji hakuwa na hiyo hela na hivyo Yanga ilijitokeza kubagain bei au kuomba kulipa hizo hela kwa awamu.
Na ni kweli Yanga wakiomba kulipa hela kwa awamu na pale walipomaliza ndio tuliona Azam wakitangaza kuachana na Dube.
Sasa Feisal alilipa 112M lakini nyinyi mlikataa na mlikataa kwasababu mliona ni hela ndogo mkaingiwa tamaa.
Ni jambo ambalo ni gumu kutokea ila likitokea Club itapata pesa mingi mno kama mikataba ilikuwa ya muda mrefu na inailinda Club.Ipo siku wachezaji wa first 11 wote watarubuniwa wavunje mkataba kati kati ya msimu ndio mtaona faida ya huu uhuni.
Sasa kwa nini lisitokee, ikiwa kila siku wachezaji wanajiamulia na kujisikia watakavyo,juzi Fei, jana Dube leo Kibu,hujui itakuwaje siku zijazo.Ni jambo ambalo ni gumu kutokea ila likitokea Club itapata pesa mingi mno kama mikataba ilikuwa ya muda mrefu na inailinda Club.