Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

Buy out clause haina concequences zozote, unanunua mkataba unasepa zako. Kikubwa ni kutoa notice ya ku activate hicho kipengele.
Mimi sizungumzii buy out clause, nazungumzia unilateral termination of the player contract

 
Mimi sizungumzii buy out clause, nazungumzia unilateral termination of the player contract

Mashabiki uwa awaoni athari za tatizo mradi limempata mpinzani wake.
Yanga walilalamika Sana ila walionekana wahuni, Njia iliyo funguliwa na Feisal itazi gharimu timu Nyingi.
Kwasasa apa Tanzania mchezaji ata akiwa na mkataba Bado anaweza kulazimisha kuondoka mradi Release se clause ipo.
 
Feisal alikuwa sahihi milion times.

Na hata huyu Kibu akitaka kupita njia ya Feisal atakuwa sahihi

Cha msingi ni kulipa hela ambazo zimeainishwa kwenye mkataba.

Na pia ipo sheria inayomuwajibisha ya kumfungia kujihusisha na soka, federation ikijitidhisha kuwa anastahili basi atapokea rungu kutumikia adhabu hiyo.

Akimaliza adhabu anakuwa huru

Hilo tu basi, hayo maswala ya vikao sijui nini, ni utoto tu.
 
Wachezaji wa kariba ya Kibu ni wakupewa adhabu kali!
Viongozi wa Simba nao wanakua kama waoga kufanya maamuzi magumu mchezaji kama kibu kwa dharau alio ionyesha hastahili kuwa mchezaji wa Simba tena! Kama hataki kucheza aseme arudishe hela za watu atambae mbele huko!
Mnabembeleza watu kama timu ndo imepanda daraja! Mtu kama kibu akitokea utopoloni kwetu yanawakuta ya Fei, mnamweka benchi dirisha dogo mnampeleka Tabora united!
 
Azam mbona waliweka wazi nini ambacho Dube alitakiwa kukifanya kwa wakati ule ili awe huru

Demand ya Club kwa mchezaji kuvunja mkataba ili awe huru ni kulipa USD 300K we unakuja na USD 100K hiyo si ridiculous?
Kuna sehemu Azam waliandika wanataka 300K,kwenye mkataba wa Dube?
 
Katafute interview ya jana na ya leo YouTube Wasafi Fm.
Wewe kwa upeo wako tu wa kuchanganua, unaona nini?

Simba imemlipa mchezaji pesa yote, mchezaji katoroka, wakala hajui alipo, Simba haimpati, Mchezaji hajasema lolote.
 
Wewe kwa upeo wako tu wa kuchanganua, unaona nini?

Simba imemlipa mchezaji pesa yote, mchezaji katoroka, wakala hajui alipo, Simba haimpati, Mchezaji hajasema lolote.
Ninacho kiona ni uhuni mchezaji unamkataba, hutaki kuheshimu mkataba,ulio saini,hutaki kuripoti kambini, ukitafutwa kwenye simu na timu yako hupatikani,meneja anaye kusimamia hupatikani. Huo ni uhuni ambao upo sana kwenye ligi yetu na unaendelea kukua kila siku.
 
Uo ni mlango wa vurugu hasa katika mpira wetu, kwakua apa kwetu Feisal alifanya wakati msimu wa mashindano una endelea na Siku nyingine Yusufu bakhresa akiamua atafanya Tena katikati ya msimu kwakua fedha ya vurugu hizo anazo.
Tutegemee mambo mengi ya hovyo yanakuja
 
Me ni shabiki wa Yanga.
Il usema Kibu anaofanyia taasisi ya Simba ni uhuni.
Simba wamempa heshima Leo anawaona takataka
Acha kumzungumzia vibaya MCHEZAJI,unajua nani mwenye haki kati ya simba na kibu??usipende kujudge bila kujua ukweli joooh
 
Wabongo ni want kishenzi, Kuna zaidi ya mtu kumi apa zinataka kibu alogwe, uchawi waziwazi kudadeki,,
 
Kwenye mkataba? Maana kwenye maamuzi ya TFF hakukuwa kitu kama hiko? Hata Dube hakuzungumzia hiko.

Dube yy alisema mkataba alio sainishwa haujui ,je hiyo 300k ilitokea wapi.
Maamuzi ya TFF we unayo?
 
Maamuzi ya TFF we unayo?
Kwenye Kesi Dube alisema mkataba haujui ila Azam wakasema walimsainisha mkataba, Azam walishinda ila wakati wa kesi Azam hawa kusema exit clause ya Dube.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…