Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Haiingii akili Kibu atimke kwa namna alivyotimka.Inawezekana pia. Viongozi ni binadamu na kuna siasa za mpira pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiingii akili Kibu atimke kwa namna alivyotimka.Inawezekana pia. Viongozi ni binadamu na kuna siasa za mpira pia.
Usela kwenye Club ndio uliotumika kumzuia FeisalYanga waligoma feisal kuvunja mkataba?au hiyo exit clause ni kuchukua mln 100 na kuweka kwenye acc ya klabu imeisha hiyo?
Mashabiki uwa awaoni athari za tatizo mradi limempata mpinzani wake.Mimi sizungumzii buy out clause, nazungumzia unilateral termination of the player contract
Feisal alikuwa sahihi milion times.Mashabiki uwa awaoni athari za tatizo mradi limempata mpinzani wake.
Yanga walilalamika Sana ila walionekana wahuni, Njia iliyo funguliwa na Feisal itazi gharimu timu Nyingi.
Kwasasa apa Tanzania mchezaji ata akiwa na mkataba Bado anaweza kulazimisha kuondoka mradi Release se clause ipo.
Au timu inaamka inakulipa stahiki zako wakati dirisha limefungwa inakwambia haikutaki! Huu uhuni utakuja kuigarimu sana ligiIpo siku wachezaji wa first 11 wote watarubuniwa wavunje mkataba kati kati ya msimu ndio mtaona faida ya huu uhuni.
Huku wakala wake akiwa hajui lolote.Haiingii akili Kibu atimke kwa namna alivyotimka.
Yaani kuna kitu viongozi wanaficha na yeye akaamua kama mbwai na ile mbwai..!!Huku wakala wake akiwa hajui lolote.
Katafute interview ya jana na ya leo YouTube Wasafi Fm.Meneja hajui kinachoendelea na mteja wake si ndio?
Kuna sehemu Azam waliandika wanataka 300K,kwenye mkataba wa Dube?Azam mbona waliweka wazi nini ambacho Dube alitakiwa kukifanya kwa wakati ule ili awe huru
Demand ya Club kwa mchezaji kuvunja mkataba ili awe huru ni kulipa USD 300K we unakuja na USD 100K hiyo si ridiculous?
Wewe kwa upeo wako tu wa kuchanganua, unaona nini?Katafute interview ya jana na ya leo YouTube Wasafi Fm.
Ninacho kiona ni uhuni mchezaji unamkataba, hutaki kuheshimu mkataba,ulio saini,hutaki kuripoti kambini, ukitafutwa kwenye simu na timu yako hupatikani,meneja anaye kusimamia hupatikani. Huo ni uhuni ambao upo sana kwenye ligi yetu na unaendelea kukua kila siku.Wewe kwa upeo wako tu wa kuchanganua, unaona nini?
Simba imemlipa mchezaji pesa yote, mchezaji katoroka, wakala hajui alipo, Simba haimpati, Mchezaji hajasema lolote.
Uo ni mlango wa vurugu hasa katika mpira wetu, kwakua apa kwetu Feisal alifanya wakati msimu wa mashindano una endelea na Siku nyingine Yusufu bakhresa akiamua atafanya Tena katikati ya msimu kwakua fedha ya vurugu hizo anazo.Feisal alikuwa sahihi milion times.
Na hata huyu Kibu akitaka kupita njia ya Feisal atakuwa sahihi
Cha msingi ni kulipa hela ambazo zimeainishwa kwenye mkataba.
Na pia ipo sheria inayomuwajibisha ya kumfungia kujihusisha na soka, federation ikijitidhisha kuwa anastahili basi atapokea rungu kutumikia adhabu hiyo.
Akimaliza adhabu anakuwa huru
Hilo tu basi, hayo maswala ya vikao sijui nini, ni utoto tu.
Acha kumzungumzia vibaya MCHEZAJI,unajua nani mwenye haki kati ya simba na kibu??usipende kujudge bila kujua ukweli jooohMe ni shabiki wa Yanga.
Il usema Kibu anaofanyia taasisi ya Simba ni uhuni.
Simba wamempa heshima Leo anawaona takataka
Kuna sehemu Azam waliandika wanataka 300K,kwenye mkataba wa Dube?
Maamuzi ya TFF we unayo?Kwenye mkataba? Maana kwenye maamuzi ya TFF hakukuwa kitu kama hiko? Hata Dube hakuzungumzia hiko.
Dube yy alisema mkataba alio sainishwa haujui ,je hiyo 300k ilitokea wapi.
Kwenye Kesi Dube alisema mkataba haujui ila Azam wakasema walimsainisha mkataba, Azam walishinda ila wakati wa kesi Azam hawa kusema exit clause ya Dube.Maamuzi ya TFF we unayo?