Wakati Ghana inapokea chanjo Za AstaZeneca, Angela Merkel ajiandaa kuzitupa chanjo hizo milioni 1.3

Wakati Ghana inapokea chanjo Za AstaZeneca, Angela Merkel ajiandaa kuzitupa chanjo hizo milioni 1.3

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
Angela Merkel Prepared To Let 1.3million Doses Of AstraZeneca Vaccine Go To Waste

German Chancellor Angela Merkel when asked on Wednesday 24 if she would have the AstraZeneca vaccine to set an example, after it was reported that only 15 percent of the doses sent to her country had been accepted by Germans, said no, because, under German regulations, at 66 years of age, she does not qualify for it, as her government has banned its use in the over 65s age group

======

German Chancellor Angela Merkel when asked on Wednesday 24 if she would have the AstraZeneca vaccine to set an example, after it was reported that only 15 percent of the doses sent to her country had been accepted by Germans, said no, because, under German regulations, at 66 years of age, she does not qualify for it, as her government has banned its use in the over 65s age group.

It is reported that of the 1.54 million doses received in Germany, just 240,000 doses have been used and the German health ministry is now offering the jab to a wider range of priority groups after saying earlier this week that public sector workers such as teachers and police would get priority access.

The German Chancellor had originally described the AstraZeneca jab as “a reliable vaccine, effective and safe”, commenting, “As long as vaccines are as scarce as they are at the moment, you can’t choose what you want to be vaccinated with”, but then, President Macron of France called it “quasi-ineffective” to over-65s just a few hours before the jab received the approval of the EMA.

Ursula von der Leyen, the European Commission President, on Wednesday tried to rescue the situation as she admitted she would happily take the vaccine, saying, “I would be vaccinated with the vaccine from AstraZeneca just as safely as with the products from BioNTech/Pfizer or Moderna”.

“When we started looking for the most promising out of the hundreds of candidates ten months ago, we assumed an effectiveness of between 50 and 70 percent. Now everyone is above that. The vaccine has been carefully examined, found to be safe and effective, and approved”, she said.

The subject of a vaccination strategy for Europe is something the bloc’s leaders are due to discuss in a videoconference later today (Friday 27).
 
Ndiyo maana tukasema sisi Waafrika tuchakate kinga zetu wenyewe. Ni aibu isiyovumilika & ujinga uliokithiri kata kumtegemea adui akuponye!!!
Yaani tu Design chanjo toka maabara zetu ama?
 
Maoni yanayotolewa hapa yanadhihirisha jinsi watu wasivyoweza kusoma na kuelewa lugha zingine ila ni kule kukaririshwa tu kwamba chanjo ni mbaya lakini bila ushahidi wowote wa kuthibitisha lakini ndio tabia ya kiswahili ilivyo.

Nafikiri ni swala la lugha zaidi kuliko kukaririshwa na nawashauri msome tena au mtafute msaada ili muweze kueleweshwa vizuri zaidi na kuacha porojo za kijinga.
 
Wao wenyewe hawana uhakika na chanjo zao,halafu ss tukizikataa wanaanza kutusakama,wawachanje na vikongwe vyao huko kwanza tuone matokeo.hatutaki kugeuzwa a moving laboratory.shwain kabisa beberus.
Beberu Jidu La Mabambasi unaitwa huku.

Nadhani kwa waliotoa hoja kuna moja kati ya haya mawili japo inasikitisha. Baadhi ya waliochangia hoja ni wavivu kusoma na kuelewa content ya kilichoandikwa na kuamua kujibia tu title au hawaelewi lugha ya Malkia vizuri! Hadi naona aibu!
 
Atafanyaje na uwezo wake umeishia hapo?
 
Atafanyaje na uwezo wake umeishia hapo?
Kuna msemo wa kizungu unasema ni bora kufunga mdomo wako usiongee chochote watu wadhani wewe ni mpumbavu kuliko kuufungua na kuwaondolea wasiwasi wa kutambua kuwa wewe ni mpumbavu. Mwisho wa nukuu!
 
Kumbe Mh. Rais JPM ni political scientist, ni aibu kwa vyuo vikuu Africa kunyamazia tuzo na udaktari wa heshima kwa huyu Mwamba wa karne ya 21.
 
Beberu Jidu La Mabambasi unaitwa huku

Naungana na mabeberu waliopo Kenya, Uganda na Rwanda katika hili la chanjo huku wenzetu wakifanya tafiti na takwimu kufuatilia gonjwa.

Na ninyi waganga wa kienyeji mtamaliza uoto wa asli kwa kujifukiza badala ya kufanya utafiti wa kisayansi.
 
Ndiyo maana tukasema sisi Waafrika tuchakate kinga zetu wenyewe. Ni aibu isiyovumilika & ujinga uliokithiri kata kumtegemea adui akuponye!!!
Waafrika tutabaki kua watu wa majaribio, ni watu wa kuambiwa.. tukubali tu sie weusi ni nyongeza kwenye dunia hii. Weusi tutabaki kufanya ngono na kuimba.. ohooo weusi!!!

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Wao wenyewe hawana uhakika na chanjo zao,halafu ss tukizikataa wanaanza kutusakama,wawachanje na vikongwe vyao huko kwanza tuone matokeo.hatutaki kugeuzwa a moving laboratory.shwain kabisa beberus.
Bill Gates kafanikiwa kutuuwa waafrica, anyway Mungu atatulinda
Ngoja panya wa majaribio waje kumlaumu Angela
Wazazi wenu wamechoma pesa bure kuwasomesha , moja kati ya haya mawili ni sahili

1. hamjui kiingereza hivyo mmeshindwa kuelewa kilicho andikwa

2. hamjasoma mmekimbilia kujibu tu

Ushauri, ombeni msaada kwa ndugu zenu wanaojua lugha wawasaidie kufafanua kilichoandikwa
 
Wala hujakosea Mkuu watu wameamua kujitoa ufahamu na kujivisha upumbavu wa kiwango cha Phd.
Maoni yanayotolewa hapa yanadhihirisha jinsi watu wasivyoweza kusoma na kuelewa lugha zingine ila ni kule kukaririshwa tu kwamba chanjo ni mbaya lakini bila ushahidi wowote wa kuthibitisha lakini ndio tabia ya kiswahili ilivyo.

Nafikiri ni swala la lugha zaidi kuliko kukaririshwa na nawashauri msome tena au mtafute msaada ili muweze kueleweshwa vizuri zaidi na kuacha porojo za kijinga.
 
Ndio usome comment niliyoinukuu. aaInaku qualify kama beberu la Bongo!
Mkuu usomi wako una kasoro.

Kama ulisoma political science basi hilo somo halikupanda.

Beberu ni jitu/taasisi yenye maguvu ya kipesa na kisiasa.

Sasa beberu mie mkulima wa pamba, hayo ni maajabu.
 
Hivi mleta mada na wenzako mmeisoma hiyo habari na kuielewa au umekurupuka tu?! Kama Kizungu kinakupa taabu ni kwamba, inaonesha hiyo kinga haifanyi vizuri kwa wazee wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea. Finland kwa mfano, last week walitoa report juu ya utendaji kazi wa hiyo kinga ambapo utafiti ulionesha kinga ilileta bad side effect kwa wazee kuanzia umri wa miaka 66 kiasi cha kusababisha vifo lakini kwa marika mengine ilikuwa very effective. Hata hivyo binafsi ulinishangaza utafiti ule wa Finland kwa sababu unasema wazi watu 10 ambao walikuwa above 80, tayari walishakuwa na hali mbaya hata kabla ya kupewa hiyo chanjo, sasa sijui walitarajia nini!

Ni kutokana na hilo suala la umri ndo maana habari yako inasema:-
Chancellor Angela Merkel when asked on Wednesday 24 if she would have the AstraZeneca vaccine to set an example, after it was reported that only 15 percent of the doses sent to her country had been accepted by Germans, said no, because, under German regulations, at 66 years of age, she does not qualify for it, as her government has banned its use in the over 65s age group.
Kwa akili yako unadhani Ujerumani wameikataa hiyo kinga kumbe Angela Merkel aliulizwa yeye binafsi ikiwa atatumia hiyo chanjo kuonesha mfano, ndipo akasema HAPANA kwa sababu sheria za Ujerumani, kwa kuangalia umri wake wa miaka 66, yeye hana sifa za kutumia hiyo chanjo kwa sababu serikali yake imepiga marufuku kutumiwa na watu wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea!!

Sasa mwenzetu unakurupuka, hata kuelewa hujaelewa unakuja hapa kudai eti Ujerumani wanataka kuitupilia mbali hiyo chanjo wakati wakati habari uliyoileta mwenyewe inasema:-
“When we started looking for the most promising out of the hundreds of candidates ten months ago, we assumed an effectiveness of between 50 and 70 percent. Now everyone is above that. The vaccine has been carefully examined, found to be safe and effective, and approved”, she said.
Kwa kukusaidia tu ni kwamba, wamesema 1.3M Doses Go to Waste kwa sababu waliagiza 1.54 Million Dozes, na starting target group wa hizi dozi ilikuwa wahudumu wa sekta ya afya, wazee na wale wenye magonjwa kama kisukari. Sasa baada ya kutumia 240K Doses kwa wahudumu wa afya, zikawa zimebaki hizo 1.3M Doses ambazo malengo ya awali ilitarajiwa zitumiwe na wazee kabla haijaonekana zinatoa side effects mbaya kwa hiyo age group, na kwahiyo hawataweza tena kuzitoa kwa wazee!
 
Back
Top Bottom