Wakati Ghana inapokea chanjo Za AstaZeneca, Angela Merkel ajiandaa kuzitupa chanjo hizo milioni 1.3

Mkuu usomi wako una kasoro.
Kama ulisoma political science basi hilo somo halikupanda.
Beberu ni jitu/taasisi yenye maguvu ya kipesa na kisiasa.

Sasa beberu mie mkulima wa pamba, hayo ni maajabu.
Mimi sija qualify kiwa msomi bado.

Ila rudi soma tena hizo comment na quoted text zake utajua nani haswa amekuita beberu. Mimi mjumbe tu na mjumbe hauawi!
 
Ndiyo maana tukasema sisi Waafrika tuchakate kinga zetu wenyewe. Ni aibu isiyovumilika & ujinga uliokithiri kata kumtegemea adui akuponye!
Hivi kuna ujinga kama kukurupuka na kutoa comment bila hata ya kusoma? Au ni kwamba umesoma lakini lugha inakupiga chenga?!
 
Angela Merkel Prepared To Let 1.3million Doses Of AstraZeneca Vaccine Go To Waste.
German Chancellor Angela Merkel when asked on Wednesday 24 if she would have the AstraZeneca vaccine to set an example, after it was reported that only 15 percent of the doses sent to her country had been accepted by Germans, said no, because, under German regulations, at 66 years of age, she does not qualify for it, as her government has banned its use in the over 65s age group.
===

It is reported that of the 1.54 million doses received in Germany, just 240,000 doses have been used and the German health ministry is now offering the jab to a wider range of priority groups after saying earlier this week that public sector workers such as teachers and police would get priority access.

The German Chancellor had originally described the AstraZeneca jab as “a reliable vaccine, effective and safe”, commenting, “As long as vaccines are as scarce as they are at the moment, you can’t choose what you want to be vaccinated with”, but then, President Macron of France called it “quasi-ineffective” to over-65s just a few hours before the jab received the approval of the EMA.

Ursula von der Leyen, the European Commission President, on Wednesday tried to rescue the situation as she admitted she would happily take the vaccine, saying, “I would be vaccinated with the vaccine from AstraZeneca just as safely as with the products from BioNTech/Pfizer or Moderna”.

“When we started looking for the most promising out of the hundreds of candidates ten months ago, we assumed an effectiveness of between 50 and 70 percent. Now everyone is above that. The vaccine has been carefully examined, found to be safe and effective, and approved”, she said.

The subject of a vaccination strategy for Europe is something the bloc’s leaders are due to discuss in a videoconference later today (Friday 27).
Umesoma sababu?

What is the percent of the population of Ghana over the age threshold?

Should people not in that population ape Merkel?
 
Nadhani kwa waliotoa hoja kuna moja kati ya haya mawili japo inasikitisha. Baadhi ya waliochangia hoja ni wavivu kusoma na kuelewa content ya kilichoandikwa na kuamua kujibia tu title au hawaelewi lugha ya Malkia vizuri! Hadi naona aibu!
Mimi mwenyewe nimeuliza kama watu wamesoma sababu zilizotajwa au wanarukia mkumbo tu?
 
Your head is as big as that of an elephant but it is only bones there is ni brain in it

Opssss mie ni kundi namba moja mkuu thijui kithungu mkuu. Niliemuomba msaada kaniandikia hayo makibeberu
Wazazi wenu wamechoma pesa bure kuwasomesha , moja kati ya haya mawili ni sahili

1. hamjui kiingereza hivyo mmeshindwa kuelewa kilicho andikwa

2. hamjasoma mmekimbilia kujibu tu

Ushauri, ombeni msaada kwa ndugu zenu wanaojua lugha wawasaidie kufafanua kilichoandikwa
 
Kama wazazi wetu walichoma pesa bure kutusomesheni sie; basi wako walichomoa kabisa hizo pesa ukapita bure ndiyo maana hukusoma skuli. Wewe ni bure na nusu, ndiyo maana hujui hata kuandika kwa lugha mama ya Kiswahili.
 
Wewe ndio umekurupuka.Waathirika wakubwa wa Covid 19 ni wazee na wagonjwa vijana wanakuwa ni carrier tu.Sasa kama Chanjo haisadii walengwa ,watu wenye umri mkubwa /wazee inakuwa na faida Gani?Rejea :Vifo vingi vya Covid-19 ni Wazee.

Hivi mleta mada na wenzako mmeisoma hiyo habari na kuielewa au umekurupuka tu?! Kama Kizungu kinakupa taabu ni kwamba, inaonesha hiyo kinga haifanyi vizuri kwa wazee wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea. Finland kwa mfano, last week walitoa report juu ya utendaji kazi wa hiyo kinga ambapo utafiti ulionesha kinga ilileta bad side effect kwa wazee kuanzia umri wa miaka 66 kiasi cha kusababisha vifo lakini kwa marika mengine ilikuwa very effective. Hata hivyo binafsi ulinishangaza utafiti ule wa Finland kwa sababu unasema wazi watu 10 ambao walikuwa above 80, tayari walishakuwa na hali mbaya hata kabla ya kupewa hiyo chanjo, sasa sijui walitarajia nini!!

Ni kutokana na hilo suala la umri ndo maana habari yako inasema:-

Kwa akili yako unadhani Ujerumani wameikataa hiyo kinga kumbe Angela Merkel aliulizwa yeye binafsi ikiwa atatumia hiyo chanjo kuonesha mfano, ndipo akasema HAPANA kwa sababu sheria za Ujerumani, kwa kuangalia umri wake wa miaka 66, yeye hana sifa za kutumia hiyo chanjo kwa sababu serikali yake imepiga marufuku kutumiwa na watu wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea!!

Sasa mwenzetu unakurupuka, hata kuelewa hujaelewa unakuja hapa kudai eti Ujerumani wanataka kuitupilia mbali hiyo chanjo wakati wakati habari uliyoileta mwenyewe inasema:-

Kwa kukusaidia tu ni kwamba, wamesema 1.3M Doses Go to Waste kwa sababu waliagiza 1.54 Million Dozes, na starting target group wa hizi dozi ilikuwa wahudumu wa sekta ya afya, wazee na wale wenye magonjwa kama kisukari. Sasa baada ya kutumia 240K Doses kwa wahudumu wa afya, zikawa zimebaki hizo 1.3M Doses ambazo malengo ya awali ilitarajiwa zitumiwe na wazee kabla haijaonekana zinatoa side effects mbaya kwa hiyo age group, na kwahiyo hawataweza tena kuzitoa kwa wazee!!

Okey Mataga hamtaki chanjo ya mabeberu hasa sasa tupeni plan B ya chanjo mliyoiandaa.
 
Umesoma sababu?

What is the percent of the population of Ghana over the age threshold?

Should people not in that population ape Merkel?
Watu wa umri mkubwa ndio waathirika wa Vifo vya Covid-19.Ulishasikia vijana wengi waliofariki na huu ugonjwa?
 
Angela Merkel Prepared To Let 1.3million Doses Of AstraZeneca Vaccine Go To Waste.
German Chancellor Angela Merkel when asked on Wednesday 24 if she would have the AstraZeneca vaccine to set an example, after it was reported that only 15 percent of the doses sent to her country had been accepted by Germans, said no, because, under German regulations, at 66 years of age, she does not qualify for it, as her government has banned its use in the over 65s age group.
===
German Chancellor Angela Merkel when asked on Wednesday 24 if she would have the AstraZeneca vaccine to set an example, after it was reported that only 15 percent of the doses sent to her country had been accepted by Germans, said no, because, under German regulations, at 66 years of age, she does not qualify for it, as her government has banned its use in the over 65s age group.

It is reported that of the 1.54 million doses received in Germany, just 240,000 doses have been used and the German health ministry is now offering the jab to a wider range of priority groups after saying earlier this week that public sector workers such as teachers and police would get priority access.

The German Chancellor had originally described the AstraZeneca jab as “a reliable vaccine, effective and safe”, commenting, “As long as vaccines are as scarce as they are at the moment, you can’t choose what you want to be vaccinated with”, but then, President Macron of France called it “quasi-ineffective” to over-65s just a few hours before the jab received the approval of the EMA.

Ursula von der Leyen, the European Commission President, on Wednesday tried to rescue the situation as she admitted she would happily take the vaccine, saying, “I would be vaccinated with the vaccine from AstraZeneca just as safely as with the products from BioNTech/Pfizer or Moderna”.

“When we started looking for the most promising out of the hundreds of candidates ten months ago, we assumed an effectiveness of between 50 and 70 percent. Now everyone is above that. The vaccine has been carefully examined, found to be safe and effective, and approved”, she said.

The subject of a vaccination strategy for Europe is something the bloc’s leaders are due to discuss in a videoconference later today (Friday 27).
Mi nitakuwa wa kwanza kugomea hizo chanjo...I wont and I will never.....( My standing point)
 
Mambo yanaenda kwa kasi sasa hivi corona ishakuwa ni ugonjwa wa wazee.
 
Your head is as big as that of an elephant but it is only bones there is ni brain in it

Opssss mie ni kundi namba moja mkuu thijui kithungu mkuu. Niliemuomba msaada kaniandikia hayo makibeberu
Kama wazazi wetu walichoma pesa bure kutusomesheni sie; basi wako walichomoa kabisa hizo pesa ukapita bure ndiyo maana hukusoma skuli. Wewe ni bure na nusu, ndiyo maana hujui hata kuandika kwa lugha mama ya Kiswahili.
Wazee bora wangepiga blow job tu
 
Wewe ndio umekurupuka.Waathirika wakubwa wa Covid 19 ni wazee na wagonjwa vijana wanakuwa ni carrier tu.Sasa kama Chanjo haisadii walengwa ,watu wenye umri mkubwa /wazee inakuwa na faida Gani?Rejea :Vifo vingi vya Covid-19 ni Wazee.
Usipende kuleta mada kwa ku-copy na ku-paste huku lugha iliyotumika kuziandika huielewi!! Kila mwenye akili timamu amekujua kwamba wewe ni muongo ambae ama hukusoma ulichokileta hapa na kama ulisoma bali hukuelewa possibly kutokana na kutoijua lugha iliyotumika! Ulivyo mtu wa ajabu unamsingizia Merkel kwamba anataka kuziteketeza 1.3M Vaccines wakati mwenyewe amesema:

Unachoshindwa kufahamu ni kwamba, ALL age groups zipo kwenye RISK ya kupata COVID-19 isipokuwa kutokana na kuwa na kinga dhaifu, wazee wakipata COVID-19 wanakuwa kwenye risk kubwa zaidi ya KUFA!! Tofautisha risk ya kupata maambukizi na risk ya kufa!!

Ukilijua hilo ndipo utakapofahamu ni namna gani hoja yako ilivyo ya kijinga kwa sababu wazee kwa kawaida ni watu wa kukaa nyumbani, na kule nchi za magharibi wengine wanaishi kwenye nursing home!! Sasa watu wa aina hiyo wanapata vipi COVID-19 kama sio kuletewa na vijana?! Unashindwa hata kutumia akili kwamba ukiwakinga vijana wasipate maambukizi automatically inakuwa umewakinga wazee?!

Lakini kwa upande mwingine, unashindwa kabisa kufahamu tofauti ya kidemografia ya nchi za magharibi na Afrika. Unashindwa kufahamu kwamba kwa wenzetu waathirika wakubwa ni wazee na wagonjwa kwa sababu wao ndio wenye changamoto ya kinga hafifu mwilini. Pamoja na hayo, huduma bora za afya na kiuchumi zinafanya nchi hizo kuwa na idadi kubwa tu ya wazee!!

Kinyume chake, kutokana na maisha mabovu na huduma duni za afya, population kubwa ya Afrika sio wazee bali vijana!! Na ni hawa hawa vijana ndio wanaoongoza kwa kuwa na maradhi hatarishi kama vile UKIMWI na TB!! Wengi walio under 64 wana maradhi mengine hatarishi kama kisukari na magonjwa ya moyo!!! Sasa how come unadai hiyo dozi haina faida yoyote wakati imeshathibitika kuwa ni effective kwa watu walio below 64 ambao ndio population kubwa Afrika?
 
Maelezo yako yana nichanganya kidogo,unasaema ukiwakinga vijana wasipate maambukizi automatically unakuwa umewakinga wazee,sijaelewa kvp kwa sababu tunaambiwa hata ukiwa umechanjwa bado utapata maambukizi ila hautodhurika ila utaweza kuambukiza wengine.

Chengine unasema afrika population yetu wengi ni vijana na ambao wanaongoza kwa magonjwa hatarishi kwa maana hiyo wapo kwenye hatari ya kuathirika zaidi na covid 19,lakini mbona tunaambiwa afrika haijathirika sana na corona na sababu ina population ya vijana wengi kuliko wazee na vijana kinga zao za mwili zina nguvu.

Nisaidie kidogo nielewe.
 
Jbu la WHO kuhusu swali lako ni hili:-
The COVID-19 vaccines produce protection against the disease, as a result of developing an immune response to the SARS-Cov-2 virus. Developing immunity through vaccination means there is a reduced risk of developing the illness and its consequences. This immunity helps you fight the virus if exposed. Getting vaccinated may also protect people around you, because if you are protected from getting infected and from disease, you are less likely to infect someone else. This is particularly important to protect people at increased risk for severe illness from COVID-19, such as healthcare providers, older or elderly adults, and people with other medical conditions.
Kwa maana nyingine, wanaosema hata ukipata chanjo haiwezi kuwa na msaada kwa wengine, maelezo yao sio sahihii.
Chengine unasema afrika population yetu wengi ni vijana na ambao wanaongoza kwa magonjwa hatarishi kwa maana hiyo wapo kwenye hatari ya kuathirika zaidi na covid 19,lakini mbona tunaambiwa afrika haijathirika sana na corona na sababu ina population ya vijana wengi kuliko wazee na vijana kinga zao za mwili zina nguvu.

Nisaidie kidogo nielewe.
Tuanze na takwmu zinazoonesha nchi 10 zilizoathirika zaidi barani Afrika.
COVID.png

Sasa cha kujiuliza, hivi Afrika Kusini ina kipi ambacho ni very exceptional cha kufanya kiwe na total cases 1.5M lakini Tanzania tuwe na 569?! Hivi kuna tofauti zipi kati ya TZ na Kenya hata Kenya kuwe na total cases 106K na Tanzania tuwe na chini ya 1000? Hali kadhalika, how come South Africa yenye population ambayo ni roughly 60M iwe ni cases zaidi ya mara 10 ya zile za Nigeria yenye population inayokimbilia 200M?!

Majibu ya hayo maswali ni kwamba, inawezekana Afrika hatujaathirika sana kama wenzetu lakini tumeahirika kuliko uhalisia unavyoonesha kwa sababu HATUPIMI!! Huko wanakoonekana ndiko wanaathirika zaidi ni kwa sababu wanafanya vipimo!!

Kwenye takwimu hizo hizo ambazo zinapatikana hapa, zinaonesha South Africa yenye population ya roughly 60M imepima watu 9.1M wakati Nigeria yenye population ya 209M imepima watu 1.54M na Ethiopia yenye population ya 116M imepima watu 2.1M, huku Ufaransa yenye watu 65.4M imepima watu 53.4M, wakati Italia yenye population yenye karibu sawa na sisi (60.4M) imepima karibu watu 41M huku Tanzania tukiwa tumepima less than 3000 people!!

Sasa hapo unaweza ku-conclude kwamba Afrika hatujaathirika wakati hata kasi ya upimaji yenyewe ni ndogo kupita maelezo? Na tena rudisha kumbukumbu zako nyuma hapa TZ! Kama utakumbuka, wakati janga linaanza mwaka jana, tulikuwa slow sana katika kutoa takwimu! Watu wakaanza ku-pressurize na kuitaka serikali ianze kutoa takwimu! Kufuatia pressure ile, PM akaagiza takwmi zitolewe wazi. Baada ya agizo lile la PM, cases za corona zika-shoot ndani ya wiki moja kutoka less than 100 cases hadi 500! Kuona hivyo, Mheshimiwa Rais akaingilia kati na kuagiza kutotangaza takwimu, na katika kuhalalisha agizo lake ndipo likaja lile la kupima mapapaya ili ku-discredit vipimo vya corona!
 
Back
Top Bottom