Wakati Ghana inapokea chanjo Za AstaZeneca, Angela Merkel ajiandaa kuzitupa chanjo hizo milioni 1.3

Nasisitiza kua kama wewe ni mweusi, basi jua kwamba wewe ni nyongeza hapa duniani. Hakuna cha maana utaongea mbele ya dunia utasikilizwa. Wewe utakua mtu wa kuambiwa, kufundishwa na kutenda tu. Utasoma elimu ya magharibi, utavaa nguo za wazungu, utaongea kama wazungu na mwisho utaabudu Mungu wa wazungu.
In fact blacks and africa in general we are nothing than a shitholes countries.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Suala la kwamba ukichanjwa unaweza au hauwezi kuambukiza wengine ni jambo ambalo linamvutano wataalamu wengine wanasema hakuna uhakika wa kuwa ukiwa na chanjo halafu ukapata maambukizi basi pia huwezi kuambukiza kwa wasio na chanjo,na ndio maana bado inashauriwa kuendelea kuvaa barakoa kama tunavyoona wengine waliyochanjwa ila bado wanaendelea kuvaa barakoa.

Hiyo hoja ya Kwamba afrika upimaji wetu wa corona ni mdogo ni moja tu ya sababu katika sababu zinazojaribu kuelezea kwanini afrika haijaathirika sana,kwahiyo kama unavyosema inawezekana takwimu zetu zikaonesha cases ni chache kutokana na kasi ya upimaji ila bado hiyo sababu pekee ya kutoonekana athari kubwa za corona kwa afrika na ndio maana suala la afrika kuwa population kubwa ya vijana inaingia hapo.
 
Kuna raia hawanaga uhakika na viongoz wao, ikitokea Jambo limepigwa burn na mataifa ya Nje ndo hutambua mchezo wanaochezewa ...kama upo na limit ya maono ni busara kufunga mdomo ili walau utumike kwa matumizi binafsi
 
Wewe mzee wa Essay unaandika maandishi marefu mpaka inachosha unashindwa Kuhit points.Ndio tatizo la kusoma arts.
Watu walioko kwenye Risk kubwa ya kufa kutokana na Covid-19 ni wazee ,fanya reaserch na urudi hapa.Chanjo yeyote ambayo haina faida kwa wazee haifai!
 
Kuna raia hawanaga uhakika na viongoz wao, ikitokea Jambo limepigwa burn na mataifa ya Nje ndo hutambua mchezo wanaochezewa ...kama upo na limit ya maono ni busara kufunga mdomo ili walau utumike kwa matumizi binafsi
Hatari sana!
 
Mleta uzi kajifunze kidogo kizungu,usitafsiri lugha ya kimombo moja kwa moja kwenda kiswahili,ku " let any thing go to waste"haimaniishi kutupa,
Kichwa Cha habari ni tofauti na maudhui kwenye story.
When you let anything go to waste,sio kwamba umetupa,maana yake umeshindwa kutumia kilichotumia gharama kubwa kuzalishwa,unakiacha mpaka kina isha muda wake wa matumizi,au kinakaa tu,kikiwa bora lakini hakitumiki kutokana na sababu mbali mbali,
Mfano leo Dodoma kuna soko kubwa limejengwa,limeisha lakini halitumiki,wanaishi popo tu,
Au leo wizara ya afya iagize chanjo ya corona kwa mabilioni ya pesa,harafu zizuiwe Bandarini kutokana na gharama ya ushuru,mpaka zinaisha muda wake,hiyo ndio ku let something go to waste,zimekuja hazijatupwa,ila zimeachwa bila kutumika.

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
YOU SEE! Unashindwa kusoma hata post yenye less than 500 words! No wonder unakurupuka na kutuletea habari usiyojua kimeandikwa nini na kuishia kudanganya watu ukidhani wote ni mapoyoyo kama wewe, na matokeo yake unaniambia nifanyie research kitu ambacho nimeshakisema!!!

Jifunze kusoma au nenda kwa Ras Simba ukajifuze lugha!!!
 
Kama ungefuatilia kwa umakini hizo habari pia ungeona watalaamu wameeleza ni katika mazingira yapi mtu anaweza kupata COVID-19 na hatimae kuendelea kusambaza hata baada ya kuwa amepata chanjo!! Watalaamu wametaja sababu kuu mbili, moja ikiwa ni kupata chanjo huku ukiwa tayari ulishakuwa infected bila mwenyewe kujua na njia ya pili ni duration kati chanjo uliyopata kuwa active mwilini na muda uliokuwa exposed. Kwa mfano, kama inachukua saa 5 chanjo kuwa active mwilini na wewe ukawa exposed say within 2 hours baada ya kuwa umepata chanjo, it's obvious hapo chanjo haitakusaidia!!
Mkuu, COVID-19 inawaathiri zaidi wazee sio kwa sababu ya wao kuwa wazee bali kwa sababu wazee wanakuwa ni kama nyumba ya magonjwa na pia miili yao haina immune ya kutosha!!! Kutokana na hilo, factor kubwa sio uzee bali body immunity!!

Na kukuthibitishia kwamba Afrika wanaoathirika ndio hao hao vijana mnaodhani hawaathiriki; kwa upande mwingine chanjo Afrika zipo sana mijini ambako population kubwa ni under 64 mnaodhani hawaathiriki!!! Kipindi hiki cha soka ni mara ngapi mmesikia wachezaji kadhaa wa timu fulani wamezuiwa baada ya kuonekana kuwa na COVID-19?! Je, ni wazee wale?! Hivi huoni alert hapo sample ya vijana 25 wanaonekana kuwa na afya kiasi cha kucheza soka lakini miongoni mwao unakuta wanapatikana wenye COVID-19?! Ni mara ngapi madereva wamekuwa wakizuiwa mipakani baada ya kukutwa na corona?! Ni wazee wale?! Kwa mara nyingine, hivi huoni alert iliyopo hapo kwa sample ndogo tu ya madereva lakini kila wakipimwa, miongoni mwao wanakutwa na corona?! Si wacheza soka si madereva, wote hao wanaonekana kuwa na afya njema; je ulishapata kujiuliza kama tungekuwa na sample kubwa zaidi ya watu waliopimwa?!
 
[emoji41][emoji41][emoji41]ebu we ulieelewa tupe somo wewe umeelewaje hapo .....maana mi naona huyo bibi anjela kaamua kuzitupa sasa sijelewa kwamba ni hovyo hizo chanjoo au vip em tupe ILIMU hapa
 
Mkuu hawasemi kuwa unaweza kuendelea kuambukiza hata ukiwa umechanjwa kwa hizo sababu mbili ulizotaja,wanasema unaweza kuwa infected na ukaambukiza wasio chanjwa.
Sasa suala la duration unalozungumzia wewe ni kwamba tunaambiwa inachukua wiki mbili baada ya kuchanjwa ndiyo mwili uweze kupata kinga kutoka kwenye hiyo chanjo kwahiyo hapo ndio kama ulikuwa umepata maambukizi kabla au baada ya chanjo still utaumwa tu corona katika kipindi hicho.

Suala la africa si kwamba hao vijana hawabebi virusi bali hawapo katika hatari kwa sababu ya kinga zao za mwili ila wewe unasema wana magonjwa hatarishi.
 
Ni upuuzi umeandika unashindwa kwenda straight kwenye point.Matokeo yake unazunguka hapohapo!
 
Mkuu hawasemi kuwa unaweza kuendelea kuambukiza hata ukiwa umechanjwa kwa hizo sababu mbili ulizotaja,wanasema unaweza kuwa infected na ukaambukiza wasio chanjwa.
Hebu weka sentensi iliyonyooka!! Yaani unadai wanasema unaweza ukachanja, na chanjko ikawa active na bado ukaweza kuwa infected?! Unaweza kutoa reliable source ya maelezo yako?! Na hapa kaa ukifahamu kwamba, hata huko ilikoonekana haisaidii kwa wazee sio kwamba chanjo kama chanjo haifanyi kazi bali side effects za chanjo zinakuwa hazihimiliki kwa watu wazee, especially wenye umri kuanzia miaka 80!!
Suala la africa si kwamba hao vijana hawabebi virusi bali hawapo katika hatari kwa sababu ya kinga zao za mwili ila wewe unasema wana magonjwa hatarishi.
Let's be reasonable! Kwenye screenshot ambayo niliweka awali inasema kwamba, South Africa yenye watu takribani 60M huku ikiwa imepima takribani watu 9M; watu 1.5M walipatikana na corona!!

Aidha, Italy ambayo na yenyewe ina watu takribani 60M sawa na SA lakini ikiwa imepima watu 41.3M, miongoni mwao takribani watu 3M wameonekana wana corona!!! Kwahiyo unataka kusema wakati nchi moja ya Afrika imepima watu 9M na kukuta 1.5M wana maambukizi; hii nchi maambukizi yake yapo chini kuliko nchi iliyopima watu 41.3M na kukuta ni 3M ndio wenye maambukizi?

Yaani unataka kujiaminisha Afrika haiathiriki kwa sababu tu cases zilizopatikana Ufaransa ni 3.8M huku Nigeria yenye idadi ya watu zaidi ya mara 3 ya Ufaransa ikiwa na cases 157,000 huku ukisahau Ufaransa imepima takribani watu 54M huku NIgeria ikiwa imepima less than 1.6M!!!!

Ina maana argument yako ndo ina-base hapo?!!

Anzeni kutamba kwamba Waafrika wana kinga endapo tu kutafanyika mass testing lakini sio hata kupima kwenyewe hatupimi halafu tunasema Afrika hatuathiriki sana!!! Kwa kutumia takwimu zipi?! Hata hiyo Marekani inayoonekana imeathirika zaidi ni kwa sababu US wanapima sana watu wao!! Wakati janga la corona linaanza, Urusi ilionekana ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuwa zimeathirika sana! Walipokuja kufanya mass testing, total number of cases ikawa ina-shoot siku hadi siku!!
 
Ni upuuzi umeandika unashindwa kwenda straight kwenye point.Matokeo yake unazunguka hapohapo!
Umeumbuka JUHA! Acha kukurupuka na kuleta mada ambazo hata lugha yake huijui!! Au kama vipi, nenda kwa Ras Simba ukapate mwanga kidogo ili uepukane na kujidhalilisha!!!
 
Waafrika tutabaki kua watu wa majaribio, ni watu wa kuambiwa.. tukubali tu sie weusi ni nyongeza kwenye dunia hii. Weusi tutabaki kufanya ngono na kuimba.. ohooo weusi!!!

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
So sad,
Halafu hapa watu wanashadadia hiyo chanjo iendelee kuletwa Africa.Wakati Ulaya na hata SA wameonyesha mashaka tayari!
 

Wadanganyeni wa chattle vijijini. Siyo wale wanaofutilia hili gonjwa na upatikanaji.

Germany uchumi wa kwanza Ulaya wana options lukuki. Kuchagua watumie chanjo ipi zaidi lini, na wewe kulibeba hilo sasa na kulileta dongobeshi na kulifanya agenda yako kuu ni uzwazwa uliopitiliza mno!

Tunataka chanjo:



Pana ka taarifa kuwa yeye kesha chanjwa hivyo si mwenzetu.
 
Waafrika tutabaki kua watu wa majaribio, ni watu wa kuambiwa.. tukubali tu sie weusi ni nyongeza kwenye dunia hii. Weusi tutabaki kufanya ngono na kuimba.. ohooo weusi!!!

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Mwangalieni huyu!! Aliyekuambia hiyo chanjo inaletwa Afrika kwa majaribio nani?! Unaona habari hapo inasema tayari wahudumu wa Afya 240K wamechanjwa huko Ujerumani! Au Wahudumu wa Afya wa Ujerumani ni Waafrika?!

Vijana jengeni utamaduni wa kutafuta na kusoma habari kutoka reliable sources na sio kuishia kudaka internet hoaxes au habari za akina Humphrey Polepole na Askofu Rasheed Gwajima!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…