Wakati Ghana inapokea chanjo Za AstaZeneca, Angela Merkel ajiandaa kuzitupa chanjo hizo milioni 1.3



Naposema afrika haijathirika sana nina maana ya vifo na watu wengi kuuguwa hiyo corona ,kwa hali ya huduma zetu za afya basi hivyo vitu vingeonekana tu wazi na ndio maana watu hujaribu kuelezea kwanini hatujaathirika sana.
 
Anaona kero kila akiwaona plus mabarua ya kuomba misaada mezani kwake achilia mbali inbox emails zilizojaq kusubili majibu yaaombi.
Tatizo lake kubwa ni kuwa anawakabidhi hela Government badala ya kujenga miradi au kuwekeza, Serikali zetu unapowapa misaada ya mabilioni huwa wanagawana waokwawao but akifanya kama alivyofanya baadhi ya miradi yake michache inakua ni rahisi wananchi kuona misaada yake
 
😂 😂 Tatizo lugha, kuanzia kwa mtumaji.
 
Amechoka sasa na uhamuzi ndiyo huo, soon tutaonja joto na lazima pesa yake irudi tu, japo tunajifanya kichwa ngumu hatutaki kununua hizo Covix
 
Nilitaka niseme nikaona nipitie kwanza michango ya wadau wote, Lugha ni tatizo sana kwa kweli.
 
Ndiyo maana tukasema sisi Waafrika tuchakate kinga zetu wenyewe. Ni aibu isiyovumilika & ujinga uliokithiri kata kumtegemea adui akuponye!
Ni ukichaaa mkuu yani unajuwa huyu ndo kashika panga lenye makali kuwili alafu unamwomba akupe msada wa kukuuwa.

Watu tupige nyungu tujifukize mpaka namavi ya tembo na kunywa tangawizi na limao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…