GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali.
Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila Kisinda, Yacouba Sogne na Tonombe Mukoko wamepata Ofa Vilabu vingine na wanawauza.
Taarifa za uhakika zikufikie popote pale ulipo kuwa Wachezaji hawa Wote walikuja Yanga SC kwa Mkopo na kwamba Wanaowamiliki ( Timu zao walizotoka pamoja na Wakala zao ) waneamua Kuwauza na kwamba hakuna Pesa ambayo Yanga SC watapata.
Namalizia kufanya 'Ufuatiliaji' kuhusu Taarifa nyingine 'ngumu' ya Kumhusu Mchezaji Khalid Aucho Raia wa Uganda kwani nae kuna Jambo limefanyika juu yake kuja Yanga SC ila Mashabiki Oya Oya ( Washamba na Mambumbumbu ) wa Yanga hawajui chochote Masikini ya Mungu.
Na wanachokifanya sasa GSM kupitia Injinia Hersi Said ni 'Kuhonga' Vyombo vya Habari ( Redio, Magazeti na baadhi ya Bloggers ) na hasa hasa Wahariri pamoja na Wachambuzi ili waisifie na waipambe mno Yanga SC na hizi 'Sajili Takataka' zao.
Na huku Kuhangaika kote GSM wanataka Waaminike, Yanga SC kutulie na Watu ( Wajanja ) waendelee kupiga 10% zao huku baadae kama Kawaida warejeshe Faida kupitia Kuchapisha Jezi 300,000 huku Yanga SC ( Uongozi ) ukidanganywa kuwa Jezi zilizochapishwa ni 100,000 tu.
Yanga wanasajili, ila Simba inajazilia tu.