Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

(Actually Absolute) hii ni Kama Ile Kisinda alivyo mkimbiza Onyango akasababisha tuta na bahatimbaya Onyango aliumeza ulimi. Nia Ajali mbaya Sana.
Au lile goli la Onyango la dar mpaka Moro
 
ma fundi maiko wa utopoloni katika harakati za kuijenga kidimbwi fc namwakani wa congo wote wa mkopo wanatimka tena


 
Wewe huwez kuwa mshabiki wa Yanga. Mshabiki wa Yanga huwa hafikirii hivi. Anashangilia kila kitu. Hawazi critically hivi. Lisemwalo lipo. Kuna mambo hayapo sawa sehemu.
 
Kama wanafanya usajili takataka,wewe si ukae kimya ili hiyo simba yako iwe inawafunga kirahisi,kinachokuwasha nini?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wewe chizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…