Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #21
pale Dar es Salaam nimepita kipindi fulani masaki na oysterbay nimekuta miti ya zamani inakatwa vibaya sana. Ukienda kusini na magharibi mwa nchi hii ndo balaa hakuna mti mpya unaopandwa ila kuna miti inakatwa kwa kiwango cha kutisha sanaNimeona wafungwa wanakata miti na askari magereza.
Wazo zuri halina budi kufanyiwa kaziTupige vita matumizi ya mkaa, yaani mkaa uonekane kama bangi, biashara haramu, hata kuni zipigwe marufuku kabisa.
Lakini waangalie upya bei ya gesi za majumbani, waondoe tozo katika hii nishati.
Nawasilisha.
Hii miti ipandwe kwa kuvunwa kwenye maeneo machache sana. touchable maeneo machache tu kwa shughuli hiiMfano wa mti wa kupandwa wa mkaa ni huu hapa
View attachment 2421353
Walitangaza kampeni moja this year,wakaweka link ya kutuma proposal,link yenyewe haifunguki.Pesa wanazo waanzishe hata kampeni ya “ Panda mti kwa uhai wa Tanzania “ hapo itatafutwa spicie yakupandwa kulingana na mazingira na miti ya kutiliwa mkazo iwe ile ya rafiki kwa vyanzo vya maji, miti ya matunda na miti ya mbao
Walitangaza kampeni moja this year,wakaweka link ya kutuma proposal,link yenyewe haifunguki.
kujadili Gesi sio ujanja ujanja. Ni best solution kwa kweli kikubwa iwe utilised vizuri na kwa kutosha maana tuna Gesi nyingi ila hatujavutia uwekezaji wa kutosha kwenye kuiweka kwenye LPG ili itumike kwa shughuli za kupikia.Mkaa huo unaotokana na miti ya kupandwa hua packed hivo na kupelekwa ulaya na marekani na mwingine huuzwa afrika kusini, na kwenye sipermarket zao namibia utaukuta, hizo ndio hoja tunapaswa kujadili sio mambo na ujanjaujanja wa gesi ambayo kiuhalisia watanzania wanaomudu ni wachache mtu ashindie mlo mmoja ataweza kupata pesa ya gesi?
Inadaiwa milioni 2Ile ya selous tulikata mingapi vile ?
Alafu mbaya zaidi husikii hata CAG akigusia hiloKulikuwa nq mpango wa kila wilaya ipande miti 1.5m. manaake ingepandwa karibu miti milioni mia nne. Ni miti mongi sana hiyo. Lakini wapumbavu wakala pesa za vikao na sikui workshop na kupotea.
Kulikuwa nq mpango wa kila wilaya ipande miti 1.5m. manaake ingepandwa karibu miti milioni mia nne. Ni miti mongi sana hiyo. Lakini wapumbavu wakala pesa za vikao na sikui workshop na kupotea.
Ndio mana jpm alikuwa anawala vichwa tu..hii nchi bila maamuzi magumu hakuna litakalo fanikiwa.Tatizo la Tanzania ni siasa na wanasiasa
Wafugaji wakikabwa, kuna watao watetea.
Ukizuia Mkaa kuna wataolalamika
Yahitajika maamuzi magumu mno
Ndo maana na yeye aliliwa kichwaNdio mana jpm alikuwa anawala vichwa tu..hii nchi bila maamuzi magumu hakuna litakalo fanikiwa.
#MaendeleoHayanaChama
Bila kusahau umeme wa uhakika na wa bei nafuu.Tupige vita matumizi ya mkaa, yaani mkaa uonekane kama bangi, biashara haramu, hata kuni zipigwe marufuku kabisa.
Lakini waangalie upya bei ya gesi za majumbani, waondoe tozo katika hii nishati.
Nawasilisha.
Huu MTU unaitwaje?Mfano wa mti wa kupandwa wa mkaa ni huu hapa
View attachment 2421353