Wakati Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya ilikuwa chafu sana, dampo Kila mahali, barabara mbovu na uhalifu mwingi

Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Ukishakuwa ccm lazima utaharibu tu, pengine wakati huo alikuwa mwana ccm
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Na wilaya ipi ilikuwa safi kuliko zote.
Chuki binafsi iweke pembeni.
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
hujui hata kazi za mkuu wa wilaya bwege wewe.
mkuu wa wilaya anahusika vipi na takataka? na bwana afya afanye kazi gani sasa?
engnear wa wilaya nae afanyaje sasa?
embu kuweni wakubwa bhana
 
Mkuu wa Wilaya ndio overall incharge
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Mbona hadi leo ilala inaonekana imepauka utadhani watu wamehama Eneo hilo hilo!! Barabara
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Chinembe aka kinembe aka mbususu
 
Nikitaka kujua level ya wapumbavu imefikaje sikosi kuja kujifunza kutoka kwako
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Kwa nini kumshambulia mtu binafsi?Kwani mkuu wa wilaya ni mtu au mfumo? Hii ni roho inayotaka kulibomoa Taifa na umoja wetu.KARIBU katiba mpya upesi!!
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Bulu shiti
 
As long as anachouliza na kukosoa kina ukweli hilo ndilo la msingi maana yeye kwa sasa si kiongozi
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
utawala wa jenerali ulimwengu?
 
Back
Top Bottom