Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi

1737366658192.png
 
Kama mpo nafasi ya sita basi itabidi tukufungeni sita Ili Idadi ya magoli ilingane na nafasi yenu huko CAF
 
Huyo kocha kama kweli hajui mchezo unaofanyika basi awaulize viongozi wake wamuambie ukweli, ligi haina ushindani wakati mnahonga timu ili muachiwe au mpangiwe vikosi b mradi tu mfunge magoli mengi muwapite simba, tuliwaambia sisi kipimo cha ubora wenu ni klabu bingwa huko hakuna kuhonga timu yani ninyi malengo yenu huwa ni kufikia rekodi za simba tu basi
 
Jamani ikumbukwe hapo ni kabla mechi za makundi hazijaisha kwa sasa Nyuma mwiko hiyo nafasi yupo Alhilal...
 
Back
Top Bottom