Huyo kocha kama kweli hajui mchezo unaofanyika basi awaulize viongozi wake wamuambie ukweli, ligi haina ushindani wakati mnahonga timu ili muachiwe au mpangiwe vikosi b mradi tu mfunge magoli mengi muwapite simba, tuliwaambia sisi kipimo cha ubora wenu ni klabu bingwa huko hakuna kuhonga timu yani ninyi malengo yenu huwa ni kufikia rekodi za simba tu basi