Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

2014, 2016 na mwaka huu Laliga imeendelea kutamalaki UEFA Championship
Uefa 1/4 final
Laliga 3
Bundesliga 2
EPL 1
Serie A 1
France Ligue one 1
 
Achaa uoongo ww hamna cha akili wala nguvu hapo kafungwa Sevilla team ya tatu na team inayofight delagation atakuwa las palamas
 
The fact kwamba EPL has more money matches zake huwa na ushindani hioo ni fact kuna big games nyingi zaidi Pundits wanasema hivo ukibisha huwezi afford kuangalia game nyingi za epl sababu tv subscription ni ghali . Ila La liga has been reputated for having the best players with Madrid and Barcelona being almost every player dream sasa basi unataka kuenjoy mpira wenye akili skills sijui uone magoli ya kifundi weka la liga ila kama unataka mpira emotional weka epl huboreki kwanza kuna tight schedules hamna underdogs viability ya new champions ni kubwa. So it is the matter of who wants what ila hao wanajikuta wapenzi wa la liga hawana mda sana kuifwatilia hioo ni siku iz tu azam anarusha la liga basi wanajikuta spain kuna mpira tulionza kuangalia mpira mda tunajua epl is sensational huwezi boreka hamna mpira mwingi wala nini ila kuna kitu unakipata special.
 
Jana tena, miamba ya La Liga Real Madrid wamewafunza soka Man United kwa kuwazaba mabao 2-1 katika UEFA Super Cup
 
EPL ina promotion kubwa sana lakini ni ligi ya kawaida sasa hivi baada ya Milan kununuliwa na wachina utaona EPL inavyoanza kurudi chini kwani hiki kilikuwa kipindi chao pekee cha kujiiimarisha
 
Haya mambo kila mtu anapenda upande wake. Mm tangu mdogo baba yangu ananiwekea mechi za juventus na mashindano ya magari F1, hadi leo hii najikuta mdau wa serie a, Yan EPL tangu nizaliwe sijawahi kufikisha mechi 5 kuziangalia.
 
Jana tena, miamba ya La Liga Real Madrid wamewafunza soka Man United kwa kuwazaba mabao 2-1 katika UEFA Super Cup
Hilo liko wazi Mkuu. Lakini, kuna wanazi wanasema kuwa EPL ni ligi bora ulimwenguni
kwa hiyo bundes liga,ligue 1 na serie A ni ligi bora kuliko epl kwa kuwa timu zao zinafika robo-nusu fainali!?..mnajua maana ya ligi!!?
 
EPL ina promotion kubwa sana lakini ni ligi ya kawaida sasa hivi baada ya Milan kununuliwa na wachina utaona EPL inavyoanza kurudi chini kwani hiki kilikuwa kipindi chao pekee cha kujiiimarisha
hii ndoto mtaendelea kuota muda mrefu,mkiamka mtakuta la liga inauzwa elf 15 azam na epl ni laki 2 dstv
 
Siku Messi akitundika Daluga, mtahamia Ufaransa kisa Neymar....

Ushindaji wa EPL hakuna mfanowe, ndo maana wataalam wa Soka wakaipa number 1.
 
epl wanacheza rugby kwenye viwanja vya soka hamna chochote zaidi ya majigambo ambayo wametuambukiza
 
Kati ya EPL na Laliga tulikuwa tukifarakana muda mrefu ipi ligi bora.Kwa sasa naamini washabiki wote wa EPL kelele zitakuwa zimeisha baada ya kugundua ligi yenu ni mbovu kupindukia,ingawa niligi maarufu.

Mlijatihidi 16 bora mkaingiza timu 5,sasa robo fainali bila ubishi mtaingiza timu 2.Huku ile ligi bora ikiingiza 16 bora timu tatu,na bila shaka pia robo fainali zitaingia tatu kama ilivyo ada.

Ligi yenu inaushindani lakini tumetambua ni ushindani wa wasiojiweza wote.

Pep hongera saanaa kuwaonyesha hao kuwa ligi yao ninyepesi kama kunywa maji.Ingawa wachezaji wake wengi wanatumia nguvu kuliko akili.

Ligi ya EPL nibureee kabisaaa hamna kitu ni sawa natakataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…