Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Man city kaniuzi sanaaView attachment 481477
Are you sure with your statement Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man city kaniuzi sanaaView attachment 481477
Are you sure with your statement Mkuu?
Achaa uoongo ww hamna cha akili wala nguvu hapo kafungwa Sevilla team ya tatu na team inayofight delagation atakuwa las palamaskawaida hiyo. mpira ukichezwa kwa utaalamu na akili hutabirika. ila ukichezwa kwa vurugu bila akili na maarifa kama EPL ni ngumu kutabiri. na kawaida anayetumia nguvu akipambana na anayetumia akili, wa nguvu hushindwa. kwenye top 4 ya EPL hakuna timu inaweza ifunga Las Palmas. hapo hatujazungumzia villareal, sociedad au bilbao.
gap kati ya epl na laliga bado ni kubwa sana. Madrid jana walikua wanacheza kama vile ni mazoezi tu wakati united walikaza kinomaJana tena, miamba ya La Liga Real Madrid wamewafunza soka Man United kwa kuwazaba mabao 2-1 katika UEFA Super Cup
Hilo liko wazi Mkuu. Lakini, kuna wanazi wanasema kuwa EPL ni ligi bora ulimwengunigap kati ya epl na laliga bado ni kubwa sana. Madrid jana walikua wanacheza kama vile ni mazoezi tu wakati united walikaza kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana tena, miamba ya La Liga Real Madrid wamewafunza soka Man United kwa kuwazaba mabao 2-1 katika UEFA Super Cup
kwa hiyo bundes liga,ligue 1 na serie A ni ligi bora kuliko epl kwa kuwa timu zao zinafika robo-nusu fainali!?..mnajua maana ya ligi!!?Hilo liko wazi Mkuu. Lakini, kuna wanazi wanasema kuwa EPL ni ligi bora ulimwenguni
hii ndoto mtaendelea kuota muda mrefu,mkiamka mtakuta la liga inauzwa elf 15 azam na epl ni laki 2 dstvEPL ina promotion kubwa sana lakini ni ligi ya kawaida sasa hivi baada ya Milan kununuliwa na wachina utaona EPL inavyoanza kurudi chini kwani hiki kilikuwa kipindi chao pekee cha kujiiimarisha
We acha tu mkuu timu inayopigwa 5 laliga anakuja kumgaragaza mshindan mkuu wa eplYaani kibonde wa La Liga Sevilla anamkamua Man U kama mtoto mdogo.