Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Sheriff how is Arizona!!?, i respect you sir [emoji3]

AZ is fine mkuu
Ya'll need to get ready for the massive deportations once Donald Trump reports to work at 1600 Pennsylvania Avenue on January 20th 2017
 
AZ is fine mkuu
Ya'll need to get ready for the massive deportations once Donald Trump reports to work at 1600 Pennsylvania Avenue on January 20th 2017
[emoji3] yes sir , am eagly waiting for that, and THE WALL of course
 
Yes, hata awa nao wata isha cku moja
 
Mkuu, tatizo hapa ni ile methali isemayo 'kipofu akiona tembo basi kila kitu atafananisha na tembo'. Wanaoshabikia EPL ni bora kwa sasa ni sawa na upofu tu. Ukweli ndo huo watu waliokuwa wakiona soka bila ya kutegemea DSTV.
 
Haya nimeyasikia jana Clouds FM toka kwa mchangiaji mmoja nadhani anaitwa Edgar. Hivi hapa nchini tumezowea Simba na Yanga kuwa ndo mabingwa wa ligi yetu mara kwa mara ukiacha Azam tu siku hizi. Alitoa mfano wa timu ya Leicester City kuchukua kombe mwaka huu eti ndo kielelezo cha ubora wa EPL! Ajabu sana, hivi hapa kwetu itokee mwaka timu ya Coastal, mfano, ichukue ubingwa ndo tuseme ligi yetu itakuwa imepiga hatua kiubora?
 
Sherrif Arpaio, mkuu, jana kupitia Clouds FM msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara kamaliza kila kitu.
 
Tupo pamoja katika hili kila kitabu na zama zake kuna kipindi inter,AC na juve zilitawala mpira wa ulaya baadae zikaja man u liverpool na Chelsea ikawa hauzikosi nusu fainali mpaka final so hiki ni kipindi cha la liga sioni kama ni ajabu.
Nao watatoka kama hawatakuwa na mipango endelevu na wengine watatawala.
 
Binafsi sio mshabiki wa timu yoyote la liga, ila iko wazi kabisa kua la liga ndo ligi bora zaidi duniani, na kwa mtazamo wangu bundesliga ni ya pili nyuma ya la liga. Ila Ligi ya England ni ligi maarufu kuliko zote duniani na ndio ligi inayoongoza kuingiza mapato sababu ya media ulimwenguni. Waingereza kwa promo hamna anaewakaribia, hata mchezaji akiwa wa kawaida wanauwezo wa kufanya aonekane balaa sababu ya promo. Mfano mzuri ni raheem sterling. Sterling ni mchezaji wa kawaida tu(sisemi kwamba hajui), ila ukilinganisha kiwango chake na bei yake aliyouzwa utaona haviendani, ila jamaa alipata promo ya ajabu sana kwenye media
 
Epl n ligi yenye msisimkoo haitabiriki ndo maana inaitwa bora lkn la liga hamna ki2 coz wa2 wengi huangalia mechi ya el classico 2
 

inategemea huo ubora unapimwa kwenye mizania ipi.

mathalani naweza kusema VPL (Tz) ni bora kuliko La Liga na EPL kwa mizania niliyoichagua mimi.
 
Takwimu za uefa za ligi bora ni:

-la liga
-bundesliga
-epl
-seria A
-ligi ya Portugal
-le championat

Hii ni kutokana na mfumo wa coefficient wa jinsi timu za ligi hizi zinavyoshiriki michuano ya ECL na Europa league na jinsi zinavyofika hatua za mbele na hata kuchukua kombe.
LA LIGA NDO LIGI BORA, haina ubishi! Ni kwamba haipati promo ya kutosha!
 
Huo ndo ukweli mkuu
 
inategemea huo ubora unapimwa kwenye mizania ipi.

mathalani naweza kusema VPL (Tz) ni bora kuliko La Liga na EPL kwa mizania niliyoichagua mimi.
Basi mkuu yameisha, endelea kuamini unachoamini. Naona unataka kuleta mabishano yasiyo na tija, kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa, na mpaka takwimu za uefa wenyewe zinasema wazi kua ligi bora ni la liga na ya pili ni bundesliga. Kama hiyo mizani unayotumia ni bora zaidi ya kipimo cha coefficients wanachotumia uefa hongera zako
 
suarez na ronaldo wanatoka wapi?..huko walikotoka walikua wanafunga kama huko la liga?..kama hapana,kwa nin?
 
siku zote uefa ya platin imekua ikpenda la liga ionekane bora kuliko epl,we unaamini bundesliga ni bora kuliko epl?!!
 
huwezi kupima ubora wa ligi kwa timu mbili,ligi inakusanya timu nyingi,barce na madrid wanatumia pesa nying kununua wachezaj wazur ili washindane uefa na si la liga,la liga kwao ni mazoezi kwa ajil ya uefa
 
siku zote uefa ya platin imekua ikpenda la liga ionekane bora kuliko epl,we unaamini bundesliga ni bora kuliko epl?!!
Ligi bora unaipata unapopbanisha timu husika toka hizo ligi na kuangalia ndani ya miaka kadhaa ni timu za ligi ipi zimechukua ubingwa au kufika mbali mara nyingi.
Kwani wewe huangaliagi ucl na europa mpaka useme platini anaipendelea la liga??
Tunaona mechi za ulaya kwa macho yetu, wala sio kupendelewa.
 
huwezi kupima ubora wa ligi kwa timu mbili,ligi inakusanya timu nyingi,barce na madrid wanatumia pesa nying kununua wachezaj wazur ili washindane uefa na si la liga,la liga kwao ni mazoezi kwa ajil ya uefa
Sasa kama sehemu wanayopigia tizi wakija ulaya wanasumbua basi umekubali kuwa ni ligi bora! Espanyol nina uhakika ikicheza na everton, everton watautafuta kwa tochi!
Barca na Madrid wakija epl bado watakuwa wanasumbua, kina villareal ndo standard ya epl. Barca ligi yoyote watatesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…