Hmi nadhani humu wanamichezo hasa was soka tufanye utafiti wenyewe kwa kutumia vigezo tofauti tofauti kubaini ligi bora mbali na kutumia uefa pekee. Mimi vigezo vyangu ni Kama vifuatavyo.
1. Ushindani wa timu kimataifa kwa ngazi za klabu-30%.
2. Mchango wa timu za ndani kwa timu ya taifa, hapa naweka subcretariors zingine ambazo ni....
- Uwiano wa timu kubwa za juu kulinganisha na za Kati pamoja na chini katika kutoa wachezaji timu ya taifa-7.5%
- Performance ya wachezaji wa ligi ya ndani katika timu ya taifa bila kusahau kupata kwao nafasi kikosi cha kwanza-8.5%.
- Ufanyaji vizuri wa timu ya taifa katika mechi za kimataifa-10%.
3. Kiasi gani ligi inavutia wachezaji toka nje ya nchi kuchezea ligi husika-10%.
4. Mvuto wa ligi kwa wapenzi na washabiki wa soka duniani-20%.
5. Ni kiasi gani ligi huvutia wadhamini mbalimbali-5%.
6. Mchango wa ligi katika timu za taifa zingine-9%.
Tukiweza kupata jumla ya takwimu kwa kutumia vigezo tajwa hapo juu tutaweza kujua ligi IPI ni bora ila kwa kigezo cha uefa pekee hakitoshi kufanya hitimisho ya ligi bora.