Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Laliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
yaani EPL km umekusanya dv 0 tupu afu unawashndanisha yaan utapata mchuano mkali sana but wa wenye uwezo hafifu
 
Sasa kama sehemu wanayopigia tizi wakija ulaya wanasumbua basi umekubali kuwa ni ligi bora! Espanyol nina uhakika ikicheza na everton, everton watautafuta kwa tochi!
waulize chelsea walifanywa nn na atletico madrid enzi zile haijaanza hata kucheza uefa ipo kwe europa huko but chelsea walipigwa nne wakarud uingereza wanalia
 
Ubora ni neno subjective sasa inategemeana una tumia vipimo gani kusema la liga ndo ligi bora, ila mi si hisi kama iko na ubora ki hivo

La liga ni timu tatu tuu hushindania ubingwa, uingereza hata leicester kabeba this year

Barca alifungwa mech tatu mfululizo ila bado ana ongoza ligi, fanya hivo EPL, uone moto, totenham ka droo mech mbili tuu hana ubingwa now

Wakat suarez, modric na bale wanao fanya vizur mda huu spain walitoka vilabu vya kawaida kabsa pale England, haiko hivo kwa wachezaj wengi wa hispania ambao wengi hutoka just kwenye vilabu vile vi kuu, na ni wachahce sana hufanya vizur kwa mda mref kwenye lig ya england

Huko ulaya mnako srma wana mafanikio ni vilabu viwili tuu ndo vina wabebea barca na real, ukienda europa ndo hao sevilla, hata hiyo fainali mnayo ipigia kelele wanacheza atletico na real, wana rudia ya mwaka juz c tim mpyao hzo

Kuna timu chache spain ni nzur sana ila hyo haifanyi la liga kuwa ndo lig bora
mkuu mi naweza sema tu kwamba la liga ni ligi yenye timu zenye uwezo wa juu kisoka kuliko ligi zote ulaya,robo fainali uefa waliingiza timu tatu,robo fainali europa waliingiza timu tatu pia,pia kumbuka sevilla a,anaingia fainali europa mwaka wa tatu mfululizo ambapo miaka miwili nyuma alichukua mfululizo,pia ni mwaka wa tatu mfululizo kombe la uefa linakwenda hispania,mchezaji bora wa dunia anatoka ligi ya spain kartibu mara ya sita mfululizo ukitazama haya utaona ni ligi yenye kiwango cha juu kabisa kuliko zote ulaya sasa kwenye ubora hapo ndo kila mtu ana mtazamo wake but kwa mimi ningesema la liga ni bora coz siwez sema EPL ambayo kwenye mashndano makubwa km uefa hawajafanya vizuri kushnda wenzao wa spain ama german,labda ni bora wakikutana wao kwa wao humo uingereza kwao
 
Laliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
Basi kama ndo hivyo hata ligi kuu ya afrika kusini ni bora maana karibu kila msimu bingwa ni timu nyingine!
yaani EPL km umekusanya dv 0 tupu afu unawashndanisha yaan utapata mchuano mkali sana but wa wenye uwezo hafifu
 
Sasa kama sehemu wanayopigia tizi wakija ulaya wanasumbua basi umekubali kuwa ni ligi bora! Espanyol nina uhakika ikicheza na everton, everton watautafuta kwa tochi!
Barca na Madrid wakija epl bado watakuwa wanasumbua, kina villareal ndo standard ya epl. Barca ligi yoyote watatesa!
mwenzako xavi juzi kasema barce na madrid wakienda epl hawawez chukua ubingwa msimu wa kwanza,sababu ni tough,inabd ukacheze na stoke,west ham,everton..mourinho kasema haend la liga,kuna mech 2 tu kwa mwaka
 
Ligi bora unaipata unapopbanisha timu husika toka hizo ligi na kuangalia ndani ya miaka kadhaa ni timu za ligi ipi zimechukua ubingwa au kufika mbali mara nyingi.
Kwani wewe huangaliagi ucl na europa mpaka useme platini anaipendelea la liga??
Tunaona mechi za ulaya kwa macho yetu, wala sio kupendelewa.
bdo hjaelewa maana ya ligi,unazururazurura tu kihoja,tulia uelewe
 
Ligi maana yake nini??
Ligi bora hauipati kwa kigezo cha kila timu ina uwezo wa kumfunga mwenzake, ligi ya afrika ya kusini nayo karibu kila mwaka ina bingwa mpya!
Endeleea kubisha, ila uefa wameshasema ligi bora ni la liga ikifuatiwa na bundesliga kisha epl. Unafikiri kwa nini kama timu za itali zingefanya vizuri na england kukwama za itali ilikuwa zichukue nafasi ya timu za england?? Yaani timu nne na england kubaki na timu tatu?? Je kwa nini hawajafikiria kuipunguzia timu spain au german ktk ligi ya mabingwa??
Endelea kubisha maana hata maana ya ligi bora hujui, usichanganye ligi yenye upinzani wa wenyewe kwa wenyewe na ligi bora, ni vitu tofauti!
Hata ndondo huku kitaa ina ushindani maana hujui nani anabeba ndoo ila haimaanishi ndondo ni bora!
 
Ivi ni kigezo kinachotumika au vigezo kudetermine ligi bora me navyofahamu ni vigezo na ukisema vigezo ni vingi tu iyo ishu ya uefa au europa ni moja ya kigezo ila sio pekee kinachohamua ligi bora ili upate ligi bora lazima ufiti kwa vigezo vingi kama si vyote moja ili ligi iwe bora uwa na mambo yafatayo 1 ushindani baina ya timu na timu 2 kimapata kwa vilabu 3 kwa mishahara ya wachezaji 4 makocha 5 bei za ticket 6 maudhulio ya mashabiki uwanjani 7 vipaji vinavyozalishwa na kukuzwa na kuendelezwa 8 mataji na mafanikio uwanjani na 9 mchango wa ligi usika kwenye michezo ya kimataifa at least vigezo kama hivi ligi ikivikizi basi ni bora kama ina kimoja aijakidhi vigezo
 
Basi kama ndo hivyo hata ligi kuu ya afrika kusini ni bora maana karibu kila msimu bingwa ni timu nyingine!
mkuu hata ya kenya nayo itakua bora mana kila cku bingwa anabadilika...tatizo wengi wetu tunashabikia timu za EPL ndo mana hatutaki kuukubali ukweli kuwa la liga ni ligi bora tena kibaya zaidi pale timu zetu man u au arsenal zinaambuliaga za chembe pale znapokutana na spanish giants basi ndo watu wameijengea chuki ligi ile,mbona Robert jorckovick kila cku tennis anashinda yeye na ndo mchezaji namba moja kwa ubora tennis
 
Ligi maana yake nini??
Ligi bora hauipati kwa kigezo cha kila timu ina uwezo wa kumfunga mwenzake, ligi ya afrika ya kusini nayo karibu kila mwaka ina bingwa mpya!
Endeleea kubisha, ila uefa wameshasema ligi bora ni la liga ikifuatiwa na bundesliga kisha epl. Unafikiri kwa nini kama timu za itali zingefanya vizuri na england kukwama za itali ilikuwa zichukue nafasi ya timu za england?? Yaani timu nne na england kubaki na timu tatu?? Je kwa nini hawajafikiria kuipunguzia timu spain au german ktk ligi ya mabingwa??
Endelea kubisha maana hata maana ya ligi bora hujui, usichanganye ligi yenye upinzani wa wenyewe kwa wenyewe na ligi bora, ni vitu tofauti!
Hata ndondo huku kitaa ina ushindani maana hujui nani anabeba ndoo ila haimaanishi ndondo ni bora!
utatokwa povu lakin la liga hakuna ligi mule,itakua unajilazimisha tu kutazama,ronaldo anapga hatrick usiku na mchana,mtu kta mwaka anafunga magoli mia,suarez anafunga hovyo tu,mbona hawakufanya hvo epl?!..epl wanakaba mpira,mtu na nafasi,la liga timu 3 tu,zingne zmeoza unakuja kuleta porojo za uefa hapa
 
Kumbe ni TAAHIRA, haya baki na mtazamo wako, watu wanabeba ndoo za ulaya kila kukicha!
 
mkuu hata ya kenya nayo itakua bora mana kila cku bingwa anabadilika...tatizo wengi wetu tunashabikia timu za EPL ndo mana hatutaki kuukubali ukweli kuwa la liga ni ligi bora tena kibaya zaidi pale timu zetu man u au arsenal zinaambuliaga za chembe pale znapokutana na spanish giants basi ndo watu wameijengea chuki ligi ile,mbona Robert jorckovick kila cku tennis anashinda yeye na ndo mchezaji namba moja kwa ubora tennis
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa epl, na ni shabiki tupwa wa Arsenal, kanicheki jukwaani kwa arsenal kabla ya kugoma, nimekuwa nikichangia sana, hata PNC 1 anajua, ila linapokuja suala la ubora, la liga imeiacha mbali sana epl. Tatizo ni ushabiki wa watz ktk timu za epl ndo unawapofusha, yaani wao timu ya mwisho kuifunga ya kwanza ndo ubora kwao, au leicester kuchukua ubingwa ndo ubora wa ligi. Hata bundesliga, Kaiseslautern imewahi chukua ligi ilhali ni timu mdogo. Cha ajabu ni kwamba timu za epl zikikutana na za la liga ni miaka karibu kumi huwa zinakalishwa mapema tu! Ulaya performance ya timu za epl ni mbovu kabisa, na ndio kipimo sahihi, sasa sijui wanatetea kuwa ni ligi bora kwa kigezo gani. Wala haiitaji science kujua hili, ni unaangalia tu mipira na kujua.
Pia kwa mtazamo wao hata ligi hiyo uliosema ya kenya ni bora, na ya south pia.

Hapo ktk red juu, jamaa wa tennis anaitwa Novak Djokovic, sio kama ulivyoiandika.
 
Ligi maana yake nini??
Ligi bora hauipati kwa kigezo cha kila timu ina uwezo wa kumfunga mwenzake, ligi ya afrika ya kusini nayo karibu kila mwaka ina bingwa mpya!
Endeleea kubisha, ila uefa wameshasema ligi bora ni la liga ikifuatiwa na bundesliga kisha epl. Unafikiri kwa nini kama timu za itali zingefanya vizuri na england kukwama za itali ilikuwa zichukue nafasi ya timu za england?? Yaani timu nne na england kubaki na timu tatu?? Je kwa nini hawajafikiria kuipunguzia timu spain au german ktk ligi ya mabingwa??
Endelea kubisha maana hata maana ya ligi bora hujui, usichanganye ligi yenye upinzani wa wenyewe kwa wenyewe na ligi bora, ni vitu tofauti!
Hata ndondo huku kitaa ina ushindani maana hujui nani anabeba ndoo ila haimaanishi ndondo ni bora!
Kama hadi bayernliga ime izid EPL vigezo vyako nashndwa kuvielewa
 
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa epl, na ni shabiki tupwa wa Arsenal, kanicheki jukwaani kwa arsenal kabla ya kugoma, nimekuwa nikichangia sana, hata PNC 1 anajua, ila linapokuja suala la ubora, la liga imeiacha mbali sana epl. Tatizo ni ushabiki wa watz ktk timu za epl ndo unawapofusha, yaani wao timu ya mwisho kuifunga ya kwanza ndo ubora kwao, au leicester kuchukua ubingwa ndo ubora wa ligi. Hata bundesliga, Kaiseslautern imewahi chukua ligi ilhali ni timu mdogo. Cha ajabu ni kwamba timu za epl zikikutana na za la liga ni miaka karibu kumi huwa zinakalishwa mapema tu! Ulaya performance ya timu za epl ni mbovu kabisa, na ndio kipimo sahihi, sasa sijui wanatetea kuwa ni ligi bora kwa kigezo gani. Wala haiitaji science kujua hili, ni unaangalia tu mipira na kujua.
Pia kwa mtazamo wao hata ligi hiyo uliosema ya kenya ni bora, na ya south pia.
kweli kabisa,kumbuka uefa itabaki hispania kwa mwaka wa tatu mfululizo,sevilla imetinga fainali europa mwaka wa tatu mfululizo na miaka miwili iliopita imechukua,kumbuka pia euro ipo hispania misimu miwili iliopita,ballon de o ni wanachukua players wa la liga mpk tumesahau
 
Takwimu za uefa za ligi bora ni:

-la liga
-bundesliga
-epl
-seria A
-ligi ya Portugal
-le championat

Hii ni kutokana na mfumo wa coefficient wa jinsi timu za ligi hizi zinavyoshiriki michuano ya ECL na Europa league na jinsi zinavyofika hatua za mbele na hata kuchukua kombe.
LA LIGA NDO LIGI BORA, haina ubishi! Ni kwamba haipati promo ya kutosha!
Hmi nadhani humu wanamichezo hasa was soka tufanye utafiti wenyewe kwa kutumia vigezo tofauti tofauti kubaini ligi bora mbali na kutumia uefa pekee. Mimi vigezo vyangu ni Kama vifuatavyo.
1. Ushindani wa timu kimataifa kwa ngazi za klabu-30%.
2. Mchango wa timu za ndani kwa timu ya taifa, hapa naweka subcretariors zingine ambazo ni....
  • Uwiano wa timu kubwa za juu kulinganisha na za Kati pamoja na chini katika kutoa wachezaji timu ya taifa-7.5%
  • Performance ya wachezaji wa ligi ya ndani katika timu ya taifa bila kusahau kupata kwao nafasi kikosi cha kwanza-8.5%.
  • Ufanyaji vizuri wa timu ya taifa katika mechi za kimataifa-10%.
3. Kiasi gani ligi inavutia wachezaji toka nje ya nchi kuchezea ligi husika-10%.

4. Mvuto wa ligi kwa wapenzi na washabiki wa soka duniani-20%.

5. Ni kiasi gani ligi huvutia wadhamini mbalimbali-5%.

6. Mchango wa ligi katika timu za taifa zingine-9%.

Tukiweza kupata jumla ya takwimu kwa kutumia vigezo tajwa hapo juu tutaweza kujua ligi IPI ni bora ila kwa kigezo cha uefa pekee hakitoshi kufanya hitimisho ya ligi bora.
 
kweli kabisa,kumbuka uefa itabaki hispania kwa mwaka wa tatu mfululizo,sevilla imetinga fainali europa mwaka wa tatu mfululizo na miaka miwili iliopita imechukua,kumbuka pia euro ipo hispania misimu miwili iliopita,ballon de o ni wanachukua players wa la liga mpk tumesahau
Kuvuta kumbukumbu, kuna wakati nafikiri 2012 kama niko sahihi, makombe makubwa yote yalikuwa Spain, kombe la dunia, kombe la ulaya, klabu bingwa, europa na vijikombe vingine vya mabara.
 
lazima tukubali kwa sasa ligi yao ni bora may be mbelen kidogo kuna ligi nyingne itasumbua,
 
Hmi nadhani humu wanamichezo hasa was soka tufanye utafiti wenyewe kwa kutumia vigezo tofauti tofauti kubaini ligi bora mbali na kutumia uefa pekee. Mimi vigezo vyangu ni Kama vifuatavyo.
1. Ushindani wa timu kimataifa kwa ngazi za klabu-30%.
2. Mchango wa timu za ndani kwa timu ya taifa, hapa naweka subcretariors zingine ambazo ni....
  • Uwiano wa timu kubwa za juu kulinganisha na za Kati pamoja na chini katika kutoa wachezaji timu ya taifa-7.5%
  • Performance ya wachezaji wa ligi ya ndani katika timu ya taifa bila kusahau kupata kwao nafasi kikosi cha kwanza-8.5%.
  • Ufanyaji vizuri wa timu ya taifa katika mechi za kimataifa-10%.
3. Kiasi gani ligi inavutia wachezaji toka nje ya nchi kuchezea ligi husika-10%.

4. Mvuto wa ligi kwa wapenzi na washabiki wa soka duniani-20%.

5. Ni kiasi gani ligi huvutia wadhamini mbalimbali-5%.

6. Mchango wa ligi katika timu za taifa zingine-9%.

Tukiweza kupata jumla ya takwimu kwa kutumia vigezo tajwa hapo juu tutaweza kujua ligi IPI ni bora ila kwa kigezo cha uefa pekee hakitoshi kufanya hitimisho ya ligi bora.
La liga na timu ya spain wamechukua kombe la dunia hivi karibuni, ni mabingwa watetezi mataifa ulaya, fainali kombe la dunia ilikuwa ujerumani na agentina, ajentina wachezaji angalau saba wanacheza spain, ujerumani wachezaji karibu saba wanacheza bundesliga. Hivyo ni wazi hizi ni ligi bora ulaya.
Sasa kwa kuwa upande wa klabu, haina utata kuwa la liga ni bora, je mchango ktk timu za taifa ukoje? Na kwa kuwa debate hapa imebezi sana la liga na epl, je wachezaji wanaocheza epl ktk timu za taifa mchango wao ukoje??
Na wachezaji wakubwa unawatambua vipi??
 
Back
Top Bottom