Ubora ni neno subjective sasa inategemeana una tumia vipimo gani kusema la liga ndo ligi bora, ila mi si hisi kama iko na ubora ki hivo
La liga ni timu tatu tuu hushindania ubingwa, uingereza hata leicester kabeba this year
Barca alifungwa mech tatu mfululizo ila bado ana ongoza ligi, fanya hivo EPL, uone moto, totenham ka droo mech mbili tuu hana ubingwa now
Wakat suarez, modric na bale wanao fanya vizur mda huu spain walitoka vilabu vya kawaida kabsa pale England, haiko hivo kwa wachezaj wengi wa hispania ambao wengi hutoka just kwenye vilabu vile vi kuu, na ni wachahce sana hufanya vizur kwa mda mref kwenye lig ya england
Huko ulaya mnako srma wana mafanikio ni vilabu viwili tuu ndo vina wabebea barca na real, ukienda europa ndo hao sevilla, hata hiyo fainali mnayo ipigia kelele wanacheza atletico na real, wana rudia ya mwaka juz c tim mpyao hzo
Kuna timu chache spain ni nzur sana ila hyo haifanyi la liga kuwa ndo lig bora