yaani EPL km umekusanya dv 0 tupu afu unawashndanisha yaan utapata mchuano mkali sana but wa wenye uwezo hafifuLaliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
waulize chelsea walifanywa nn na atletico madrid enzi zile haijaanza hata kucheza uefa ipo kwe europa huko but chelsea walipigwa nne wakarud uingereza wanaliaSasa kama sehemu wanayopigia tizi wakija ulaya wanasumbua basi umekubali kuwa ni ligi bora! Espanyol nina uhakika ikicheza na everton, everton watautafuta kwa tochi!
mkuu mi naweza sema tu kwamba la liga ni ligi yenye timu zenye uwezo wa juu kisoka kuliko ligi zote ulaya,robo fainali uefa waliingiza timu tatu,robo fainali europa waliingiza timu tatu pia,pia kumbuka sevilla a,anaingia fainali europa mwaka wa tatu mfululizo ambapo miaka miwili nyuma alichukua mfululizo,pia ni mwaka wa tatu mfululizo kombe la uefa linakwenda hispania,mchezaji bora wa dunia anatoka ligi ya spain kartibu mara ya sita mfululizo ukitazama haya utaona ni ligi yenye kiwango cha juu kabisa kuliko zote ulaya sasa kwenye ubora hapo ndo kila mtu ana mtazamo wake but kwa mimi ningesema la liga ni bora coz siwez sema EPL ambayo kwenye mashndano makubwa km uefa hawajafanya vizuri kushnda wenzao wa spain ama german,labda ni bora wakikutana wao kwa wao humo uingereza kwaoUbora ni neno subjective sasa inategemeana una tumia vipimo gani kusema la liga ndo ligi bora, ila mi si hisi kama iko na ubora ki hivo
La liga ni timu tatu tuu hushindania ubingwa, uingereza hata leicester kabeba this year
Barca alifungwa mech tatu mfululizo ila bado ana ongoza ligi, fanya hivo EPL, uone moto, totenham ka droo mech mbili tuu hana ubingwa now
Wakat suarez, modric na bale wanao fanya vizur mda huu spain walitoka vilabu vya kawaida kabsa pale England, haiko hivo kwa wachezaj wengi wa hispania ambao wengi hutoka just kwenye vilabu vile vi kuu, na ni wachahce sana hufanya vizur kwa mda mref kwenye lig ya england
Huko ulaya mnako srma wana mafanikio ni vilabu viwili tuu ndo vina wabebea barca na real, ukienda europa ndo hao sevilla, hata hiyo fainali mnayo ipigia kelele wanacheza atletico na real, wana rudia ya mwaka juz c tim mpyao hzo
Kuna timu chache spain ni nzur sana ila hyo haifanyi la liga kuwa ndo lig bora
Basi kama ndo hivyo hata ligi kuu ya afrika kusini ni bora maana karibu kila msimu bingwa ni timu nyingine!Laliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
yaani EPL km umekusanya dv 0 tupu afu unawashndanisha yaan utapata mchuano mkali sana but wa wenye uwezo hafifu
Sherrif Arpaio, mkuu, jana kupitia Clouds FM msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara kamaliza kila kitu.
mwenzako xavi juzi kasema barce na madrid wakienda epl hawawez chukua ubingwa msimu wa kwanza,sababu ni tough,inabd ukacheze na stoke,west ham,everton..mourinho kasema haend la liga,kuna mech 2 tu kwa mwakaSasa kama sehemu wanayopigia tizi wakija ulaya wanasumbua basi umekubali kuwa ni ligi bora! Espanyol nina uhakika ikicheza na everton, everton watautafuta kwa tochi!
Barca na Madrid wakija epl bado watakuwa wanasumbua, kina villareal ndo standard ya epl. Barca ligi yoyote watatesa!
bdo hjaelewa maana ya ligi,unazururazurura tu kihoja,tulia ueleweLigi bora unaipata unapopbanisha timu husika toka hizo ligi na kuangalia ndani ya miaka kadhaa ni timu za ligi ipi zimechukua ubingwa au kufika mbali mara nyingi.
Kwani wewe huangaliagi ucl na europa mpaka useme platini anaipendelea la liga??
Tunaona mechi za ulaya kwa macho yetu, wala sio kupendelewa.
Ligi maana yake nini??bdo hjaelewa maana ya ligi,unazururazurura tu kihoja,tulia uelewe
mkuu hata ya kenya nayo itakua bora mana kila cku bingwa anabadilika...tatizo wengi wetu tunashabikia timu za EPL ndo mana hatutaki kuukubali ukweli kuwa la liga ni ligi bora tena kibaya zaidi pale timu zetu man u au arsenal zinaambuliaga za chembe pale znapokutana na spanish giants basi ndo watu wameijengea chuki ligi ile,mbona Robert jorckovick kila cku tennis anashinda yeye na ndo mchezaji namba moja kwa ubora tennisBasi kama ndo hivyo hata ligi kuu ya afrika kusini ni bora maana karibu kila msimu bingwa ni timu nyingine!
utatokwa povu lakin la liga hakuna ligi mule,itakua unajilazimisha tu kutazama,ronaldo anapga hatrick usiku na mchana,mtu kta mwaka anafunga magoli mia,suarez anafunga hovyo tu,mbona hawakufanya hvo epl?!..epl wanakaba mpira,mtu na nafasi,la liga timu 3 tu,zingne zmeoza unakuja kuleta porojo za uefa hapaLigi maana yake nini??
Ligi bora hauipati kwa kigezo cha kila timu ina uwezo wa kumfunga mwenzake, ligi ya afrika ya kusini nayo karibu kila mwaka ina bingwa mpya!
Endeleea kubisha, ila uefa wameshasema ligi bora ni la liga ikifuatiwa na bundesliga kisha epl. Unafikiri kwa nini kama timu za itali zingefanya vizuri na england kukwama za itali ilikuwa zichukue nafasi ya timu za england?? Yaani timu nne na england kubaki na timu tatu?? Je kwa nini hawajafikiria kuipunguzia timu spain au german ktk ligi ya mabingwa??
Endelea kubisha maana hata maana ya ligi bora hujui, usichanganye ligi yenye upinzani wa wenyewe kwa wenyewe na ligi bora, ni vitu tofauti!
Hata ndondo huku kitaa ina ushindani maana hujui nani anabeba ndoo ila haimaanishi ndondo ni bora!
Kumbe ni TAAHIRA, haya baki na mtazamo wako, watu wanabeba ndoo za ulaya kila kukicha!utatokwa povu lakin la liga hakuna ligi mule,itakua unajilazimisha tu kutazama,ronaldo anapga hatrick usiku na mchana,mtu kta mwaka anafunga magoli mia,suarez anafunga hovyo tu,mbona hawakufanya hvo epl?!..epl wanakaba mpira,mtu na nafasi,la liga timu 3 tu,zingne zmeoza unakuja kuleta porojo za uefa hapa
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa epl, na ni shabiki tupwa wa Arsenal, kanicheki jukwaani kwa arsenal kabla ya kugoma, nimekuwa nikichangia sana, hata PNC 1 anajua, ila linapokuja suala la ubora, la liga imeiacha mbali sana epl. Tatizo ni ushabiki wa watz ktk timu za epl ndo unawapofusha, yaani wao timu ya mwisho kuifunga ya kwanza ndo ubora kwao, au leicester kuchukua ubingwa ndo ubora wa ligi. Hata bundesliga, Kaiseslautern imewahi chukua ligi ilhali ni timu mdogo. Cha ajabu ni kwamba timu za epl zikikutana na za la liga ni miaka karibu kumi huwa zinakalishwa mapema tu! Ulaya performance ya timu za epl ni mbovu kabisa, na ndio kipimo sahihi, sasa sijui wanatetea kuwa ni ligi bora kwa kigezo gani. Wala haiitaji science kujua hili, ni unaangalia tu mipira na kujua.mkuu hata ya kenya nayo itakua bora mana kila cku bingwa anabadilika...tatizo wengi wetu tunashabikia timu za EPL ndo mana hatutaki kuukubali ukweli kuwa la liga ni ligi bora tena kibaya zaidi pale timu zetu man u au arsenal zinaambuliaga za chembe pale znapokutana na spanish giants basi ndo watu wameijengea chuki ligi ile,mbona Robert jorckovick kila cku tennis anashinda yeye na ndo mchezaji namba moja kwa ubora tennis
Kama hadi bayernliga ime izid EPL vigezo vyako nashndwa kuvielewaLigi maana yake nini??
Ligi bora hauipati kwa kigezo cha kila timu ina uwezo wa kumfunga mwenzake, ligi ya afrika ya kusini nayo karibu kila mwaka ina bingwa mpya!
Endeleea kubisha, ila uefa wameshasema ligi bora ni la liga ikifuatiwa na bundesliga kisha epl. Unafikiri kwa nini kama timu za itali zingefanya vizuri na england kukwama za itali ilikuwa zichukue nafasi ya timu za england?? Yaani timu nne na england kubaki na timu tatu?? Je kwa nini hawajafikiria kuipunguzia timu spain au german ktk ligi ya mabingwa??
Endelea kubisha maana hata maana ya ligi bora hujui, usichanganye ligi yenye upinzani wa wenyewe kwa wenyewe na ligi bora, ni vitu tofauti!
Hata ndondo huku kitaa ina ushindani maana hujui nani anabeba ndoo ila haimaanishi ndondo ni bora!
kweli kabisa,kumbuka uefa itabaki hispania kwa mwaka wa tatu mfululizo,sevilla imetinga fainali europa mwaka wa tatu mfululizo na miaka miwili iliopita imechukua,kumbuka pia euro ipo hispania misimu miwili iliopita,ballon de o ni wanachukua players wa la liga mpk tumesahauMimi ni shabiki mkubwa sana wa epl, na ni shabiki tupwa wa Arsenal, kanicheki jukwaani kwa arsenal kabla ya kugoma, nimekuwa nikichangia sana, hata PNC 1 anajua, ila linapokuja suala la ubora, la liga imeiacha mbali sana epl. Tatizo ni ushabiki wa watz ktk timu za epl ndo unawapofusha, yaani wao timu ya mwisho kuifunga ya kwanza ndo ubora kwao, au leicester kuchukua ubingwa ndo ubora wa ligi. Hata bundesliga, Kaiseslautern imewahi chukua ligi ilhali ni timu mdogo. Cha ajabu ni kwamba timu za epl zikikutana na za la liga ni miaka karibu kumi huwa zinakalishwa mapema tu! Ulaya performance ya timu za epl ni mbovu kabisa, na ndio kipimo sahihi, sasa sijui wanatetea kuwa ni ligi bora kwa kigezo gani. Wala haiitaji science kujua hili, ni unaangalia tu mipira na kujua.
Pia kwa mtazamo wao hata ligi hiyo uliosema ya kenya ni bora, na ya south pia.
Hmi nadhani humu wanamichezo hasa was soka tufanye utafiti wenyewe kwa kutumia vigezo tofauti tofauti kubaini ligi bora mbali na kutumia uefa pekee. Mimi vigezo vyangu ni Kama vifuatavyo.Takwimu za uefa za ligi bora ni:
-la liga
-bundesliga
-epl
-seria A
-ligi ya Portugal
-le championat
Hii ni kutokana na mfumo wa coefficient wa jinsi timu za ligi hizi zinavyoshiriki michuano ya ECL na Europa league na jinsi zinavyofika hatua za mbele na hata kuchukua kombe.
LA LIGA NDO LIGI BORA, haina ubishi! Ni kwamba haipati promo ya kutosha!
Kuvuta kumbukumbu, kuna wakati nafikiri 2012 kama niko sahihi, makombe makubwa yote yalikuwa Spain, kombe la dunia, kombe la ulaya, klabu bingwa, europa na vijikombe vingine vya mabara.kweli kabisa,kumbuka uefa itabaki hispania kwa mwaka wa tatu mfululizo,sevilla imetinga fainali europa mwaka wa tatu mfululizo na miaka miwili iliopita imechukua,kumbuka pia euro ipo hispania misimu miwili iliopita,ballon de o ni wanachukua players wa la liga mpk tumesahau
huo ulikua mtazamo wake yaan madrid au barcelona ikamalize chini ya leicester c ndoto hiyomwenzako xavi juzi kasema barce na madrid wakienda epl hawawez chukua ubingwa msimu wa kwanza,sababu ni tough,inabd ukacheze na stoke,west ham,everton..mourinho kasema haend la liga,kuna mech 2 tu kwa mwaka
lazima tukubali kwa sasa ligi yao ni bora may be mbelen kidogo kuna ligi nyingne itasumbua,Kuvuta kumbukumbu, kuna wakati nafikiri 2012 kama niko sahihi, makombe makubwa yote yalikuwa Spain, kombe la dunia, kombe la ulaya, klabu bingwa, europa na vijikombe vingine vya mabara.
La liga na timu ya spain wamechukua kombe la dunia hivi karibuni, ni mabingwa watetezi mataifa ulaya, fainali kombe la dunia ilikuwa ujerumani na agentina, ajentina wachezaji angalau saba wanacheza spain, ujerumani wachezaji karibu saba wanacheza bundesliga. Hivyo ni wazi hizi ni ligi bora ulaya.Hmi nadhani humu wanamichezo hasa was soka tufanye utafiti wenyewe kwa kutumia vigezo tofauti tofauti kubaini ligi bora mbali na kutumia uefa pekee. Mimi vigezo vyangu ni Kama vifuatavyo.
1. Ushindani wa timu kimataifa kwa ngazi za klabu-30%.
2. Mchango wa timu za ndani kwa timu ya taifa, hapa naweka subcretariors zingine ambazo ni....
3. Kiasi gani ligi inavutia wachezaji toka nje ya nchi kuchezea ligi husika-10%.
- Uwiano wa timu kubwa za juu kulinganisha na za Kati pamoja na chini katika kutoa wachezaji timu ya taifa-7.5%
- Performance ya wachezaji wa ligi ya ndani katika timu ya taifa bila kusahau kupata kwao nafasi kikosi cha kwanza-8.5%.
- Ufanyaji vizuri wa timu ya taifa katika mechi za kimataifa-10%.
4. Mvuto wa ligi kwa wapenzi na washabiki wa soka duniani-20%.
5. Ni kiasi gani ligi huvutia wadhamini mbalimbali-5%.
6. Mchango wa ligi katika timu za taifa zingine-9%.
Tukiweza kupata jumla ya takwimu kwa kutumia vigezo tajwa hapo juu tutaweza kujua ligi IPI ni bora ila kwa kigezo cha uefa pekee hakitoshi kufanya hitimisho ya ligi bora.