Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

EPL watu hawapigi hatrick kila cku kwakuwa hamna mtu mwenye level za kina ronaldo ama messi kwan ulishawah ckia griezman kapiga hatrick kule mkuu?Huko kwe UEFA ndo wanaume toka ligi zote za ulaya wanakutana mkuu halafu timu za EPL zikifika angalau nusu ndo zinakua zmejitahidi lakin kila cku tushazoea kina barcelona na madrid wakipotea msimu huu ujue msimu ujao wanabeba ndoo yaan hio ndo formula,
 
Kama hadi bayernliga ime izid EPL vigezo vyako nashndwa kuvielewa
Sio vigezo vyangu mimi, ni coefficients za UEFA. Au mwenzangu unatumia vigezo gani?? Au kwa nini unafikiri epl haiwezi kuwa chini ya bundesliga??
Google mfumo wa coefficients, ingia reliable source yeyote, ingia website ya uefa!
 
Laliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
EPL na Laliga naweza kuifananisha na form2 A na Form2 B.
Wa kwanza A anaweza kupata wastan wa 65 na wa kwanza B akapata 90,huyo wa kwanza wa A kwenye overall ya And utakuta amekuwa wa 10 ingawa kule kwao wamepishana marks chache sana na wenzake.
Sasa kwa hzo league mbili tuchukulie overall hapo ni UCL nani anafanya vzuri sasahiv kati ya Laliga na EPL?
 
Sio vigezo vyangu mimi, ni coefficients za UEFA. Au mwenzangu unatumia vigezo gani?? Au kwa nini unafikiri epl haiwezi kuwa chini ya bundesliga??
Google mfumo wa coefficients, ingia reliable source yeyote, ingia website ya uefa!
UEFA wana tumia kigezo kimoja tuu, matokeo ya mashindano yao, hasa hyo haina maana yyte, halaf EPL ni ya pili hata kwenye hzo coefficients ulzo sema

La liga ina saidiwa sana na Barcelona ambaye ana shnda almost daily, madrid ana fuatia, na sevilla Europa

PSG ina isaidia ufaransa vile vile kwani ina uwezo wa kizfunga tim nygne

Lakin hko ni kigezo chao wenyewe na ni kimoja tuu, yaan bayernliga hata kuangalia hauwez kama siyo mjerumani, mshindi ananajulikana kabla hata ligi haija anza asa ndo ligi gan hyo!!

Spain bingwa huwa barca piga ua , labda ateleze tuu, hamna kitu apo
 
kwani ronaldo na suarez wametoka wapi?
 
huo ulikua mtazamo wake yaan madrid au barcelona ikamalize chini ya leicester c ndoto hiyo
afadhali ya barcelona,madrid hakuna timu,labda kama hujui maana ya timu,manake wapenda la liga muna matatizo ya misamiati,mnachanganya timu na ligi
 
Kwa hiyo big four ya epl kwa nini wao hawaibebi epl michuano ya UCL kama zifanyavyo barca, r.madrid na a.madrid??
Au spurs, everton, southampton kwa nini haziibebi epl kama zifanyavyo atletico bilbao, seville, villareal ktk europa??
Alafu kwako, ligi bora unatumia vigezo gani?? Vigezo vya ON PITCH au vigezo vya OFF PITCH??
Epl ni ligi bora OFF THE PITCH, on pitch ambayo ndo football tunayotaka, ligi bora ni la liga.
 
afadhali ya barcelona,madrid hakuna timu,labda kama hujui maana ya timu,manake wapenda la liga muna matatizo ya misamiati,mnachanganya timu na ligi
mkuu unammanisha barcelona ni ligi?mkuu ulichokiandika we mwenyew unakielewa kweli?
 
Kwa sabab wao hata wakienda EPL wanaeza kushindana nao, barcelona na madrid ni tm bora dunian hlo halina ubsih lakin hazko kwnye lig compentative

Wkat suarez anafunga mabao nane kwa mechi mbili pale hispania, hawez kufanya hvo england, kwa maana tim znanushindani mkubwa mtu wa kwanza na wa pili hawa pishani sana, na hyo ni table nzima iko hvo

Pia kumbuka engaland wana ratiba ngum, wana mashindano mengi na hawapati muda wa kupumzoka krismas kama wenzao wengine, so ikifika michuano ya ulaya wana kuwa na less fitness kulko wenzao

Sevilla huwa kwao hashindanii chchcte kwny la liga ana focus europa tuu, ila tot kila mwaka ana hangaika aingie top four had cku ya mwisho, hawez kuwa na attention sawa na sevilla ambay mpaka sasa kapitwa na alo nafas ya tatu kwa point 26, so sevila hushinda kimahesab tuu kwan hawawez kufanya llte kwenye lig yao
 
EPL ni ligi PENDWA sio ligi bora bhana,
 
Haya bhana, huu mjadala tumeamua tu kuufanya mrefu, ila kiuhalisia ni mfupi kabisa!
 
TATIZO HLO LI LIG LA UHISPANIA N LA TIMU TATU TU ujanishawish!
 
mnalinganisha timu au ligi?..kwani mwanafunzi wa saint kayumba hawezi mzidi ufaulu wa fezza?
 
TATIZO HLO LI LIG LA UHISPANIA N LA TIMU TATU TU ujanishawish!
Umeongea la maana, na hao kina sevilla wana fanya frsh Europa kwa kuw kwenye lig yao hawana la kupoteza wana waachia wale wakubwa, wana focus kweny Europa na hata liver kafanya hvo mwaka huu ame win, manbo ya lig kaachana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…