Kwa sabab wao hata wakienda EPL wanaeza kushindana nao, barcelona na madrid ni tm bora dunian hlo halina ubsih lakin hazko kwnye lig compentative
Wkat suarez anafunga mabao nane kwa mechi mbili pale hispania, hawez kufanya hvo england, kwa maana tim znanushindani mkubwa mtu wa kwanza na wa pili hawa pishani sana, na hyo ni table nzima iko hvo
Pia kumbuka engaland wana ratiba ngum, wana mashindano mengi na hawapati muda wa kupumzoka krismas kama wenzao wengine, so ikifika michuano ya ulaya wana kuwa na less fitness kulko wenzao
Sevilla huwa kwao hashindanii chchcte kwny la liga ana focus europa tuu, ila tot kila mwaka ana hangaika aingie top four had cku ya mwisho, hawez kuwa na attention sawa na sevilla ambay mpaka sasa kapitwa na alo nafas ya tatu kwa point 26, so sevila hushinda kimahesab tuu kwan hawawez kufanya llte kwenye lig yao