mkuu sorry mi cjakuelewa kabisa naomba nieleweshe tenanyi watu wa la liga mna shida sana,kwa hyo ndo ulivonielewa hvyo?!
c ndo hapo bhana we giroud afunge hatrick kila cku anaanzaje kwanzaKusema Suarez na Ronaldo hawawezi kufunga goli 4 au 3 wakiwa England lazima tujue kwanza hao wachezaji hawachezi peke yao kufunga hayo magori wanachezwa, kwa hivyo inawezekana kabisa wasifunge kutokana na aina ya wachezaji watakaokuwa wanacheza nao kwenye timu yao.
Kutumia kigezo cha ushindani wa Epl kuwa ndo ubora wake ni Aibu. Timu iliyo na uwekezaji mkubwa, Yenye miundombinu ya kisasa, Mwalimu bora na wachezaji bora afu ubingwa uchukuliwe na kitimu kidogo kisicho hata na uzoefu wala facility za kutosha ni Aibu kwa hiyo Ligi na timu zote kubwa Epl wana safari ndefu sana kuja kufikia ubora wa Spanish League
ukweli kwamba wanacheza na timu dhaifu unaukwepa,na ukweli kwamba raniel ni kocha mzuri katumia rasimal vizuri unaukwepa pia,hivi mechi ya madrid na city kuna timu ilionesha ubora wowote!?Kusema Suarez na Ronaldo hawawezi kufunga goli 4 au 3 wakiwa England lazima tujue kwanza hao wachezaji hawachezi peke yao kufunga hayo magori wanachezwa, kwa hivyo inawezekana kabisa wasifunge kutokana na aina ya wachezaji watakaokuwa wanacheza nao kwenye timu yao.
Kutumia kigezo cha ushindani wa Epl kuwa ndo ubora wake ni Aibu. Timu iliyo na uwekezaji mkubwa, Yenye miundombinu ya kisasa, Mwalimu bora na wachezaji bora afu ubingwa uchukuliwe na kitimu kidogo kisicho hata na uzoefu wala facility za kutosha ni Aibu kwa hiyo Ligi na timu zote kubwa Epl wana safari ndefu sana kuja kufikia ubora wa Spanish League
aguero hujamuona?!..vardy vp,uwezo wao wa kutumia nafasi upoje ukilnganisha na huko la liga,kane?!..c ndo hapo bhana we giroud afunge hatrick kila cku anaanzaje kwanza
ni wazuri but hawajafikia kiwango cha ronaldo au messi,maana hata huko spain c kwamba kila mtu anapga hatrick but sanasana ni hao watatu tu mkuuaguero hujamuona?!..vardy vp,uwezo wao wa kutumia nafasi upoje ukilnganisha na huko la liga,kane?!..
hivi ronaldo amewah kukifikia kiwango alichokua nacho kipind cha ferguson?..mbona hakufunga goli 50 kwa msimu na hatrick kama zpo znahesabika?ni wazuri but hawajafikia kiwango cha ronaldo au messi,maana hata huko spain c kwamba kila mtu anapga hatrick but sanasana ni hao watatu tu mkuu
cjajua but jaribu kuangalia sasa hivi ronaldo anachez katikati ya kina nani then fananisha enzi za ferguson ronaldo alikua anachez katikati ya kina nani pia utofauti unaweza kuwepo hapo mkuuhivi ronaldo amewah kukifikia kiwango alichokua nacho kipind cha ferguson?..mbona hakufunga goli 50 kwa msimu na hatrick kama zpo znahesabika?
Maana yenyewe ya ligi ni competition so ushindani ni kigezo kikubwa kuliko vyote, ushindani kwenye la liga ni kati ya tim moja barcelona ( ni ligi yao) na uwa ana fuatwa na real madrid na saa nyngne atletco, EPL hakuna hyo kwanzo wa mwisho kuchukua ubingwa mfululizo ni Man utd 2009Kusema Suarez na Ronaldo hawawezi kufunga goli 4 au 3 wakiwa England lazima tujue kwanza hao wachezaji hawachezi peke yao kufunga hayo magori wanachezwa, kwa hivyo inawezekana kabisa wasifunge kutokana na aina ya wachezaji watakaokuwa wanacheza nao kwenye timu yao.
Kutumia kigezo cha ushindani wa Epl kuwa ndo ubora wake ni Aibu. Timu iliyo na uwekezaji mkubwa, Yenye miundombinu ya kisasa, Mwalimu bora na wachezaji bora afu ubingwa uchukuliwe na kitimu kidogo kisicho hata na uzoefu wala facility za kutosha ni Aibu kwa hiyo Ligi na timu zote kubwa Epl wana safari ndefu sana kuja kufikia ubora wa Spanish League
Kama ulivosema kuwa kwa sasa ligi bora Ulaya ni La Liga, na akaenda mbali kidogo kwa kutoa mfano kwa timu za Taifa na wachezaji bora wa FIFA.Alisema nini
Sasa nani mkweli kati yako na UEFA?Maana yenyewe ya ligi ni competition so ushindani ni kigezo kikubwa kuliko vyote, ushindani kwenye la liga ni kati ya tim moja barcelona ( ni ligi yao) na uwa ana fuatwa na real madrid na saa nyngne atletco, EPL hakuna hyo kwanzo wa mwisho kuchukua ubingwa mfululizo ni Man utd 2009
Baada ya apo ni kubadlishana
Loose competition ya la liga hauwez ku itetea
mbona unarukaruka kama Chura kwa hyo Shetani ni bora kwa kuwa ana wafuas wengi[emoji4]Kigezo cha league bora tusitumie kufananisha team za spain na Epl. Tuongelee kama league yenyewe na hilo halina ubishi Epl ina wafuasi wengi. Hata hawa wanaopiga kelele humu la liga weekend wako mbele kuangalia Epl. Kwani mwaka aliochukuwa porto ubingwa ina maana portugal league yao bora au wakati wa Ajax.