Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Ushindani siyo ubora wa ligi ,, epl timu zote hazina viwango na zinacheza mpira Mbovu usiokuwa na ufundi ndo maana wakienda uefa wanaonekana Kama wajinga flan hivi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...

Ligi bora ni wachezaji na mfumo wa uchezaji ..

Anayeitetea epl aniambie huko epl kuna messi, Ronaldo , iniesta , Neymar ??n.k ....?? .. Mchezaji bora wa epl ukimsimamisha na mchezaji bora wa Spain inakuwa vituko teh teh teh ..
 
Kusema Suarez na Ronaldo hawawezi kufunga goli 4 au 3 wakiwa England lazima tujue kwanza hao wachezaji hawachezi peke yao kufunga hayo magori wanachezwa, kwa hivyo inawezekana kabisa wasifunge kutokana na aina ya wachezaji watakaokuwa wanacheza nao kwenye timu yao.
Kutumia kigezo cha ushindani wa Epl kuwa ndo ubora wake ni Aibu. Timu iliyo na uwekezaji mkubwa, Yenye miundombinu ya kisasa, Mwalimu bora na wachezaji bora afu ubingwa uchukuliwe na kitimu kidogo kisicho hata na uzoefu wala facility za kutosha ni Aibu kwa hiyo Ligi na timu zote kubwa Epl wana safari ndefu sana kuja kufikia ubora wa Spanish League
 
c ndo hapo bhana we giroud afunge hatrick kila cku anaanzaje kwanza
 
Kusema Suarez na Ronaldo hawawezi kufunga goli 4 au 3 wakiwa England lazima tujue kwanza hao wachezaji hawachezi peke yao kufunga hayo magori wanachezwa, kwa hivyo inawezekana kabisa wasifunge kutokana na aina ya wachezaji watakaokuwa wanacheza nao kwenye timu yao.
Kutumia kigezo cha ushindani wa Epl kuwa ndo ubora wake ni Aibu. Timu iliyo na uwekezaji mkubwa, Yenye miundombinu ya kisasa, Mwalimu bora na wachezaji bora afu ubingwa uchukuliwe na kitimu kidogo kisicho hata na uzoefu wala facility za kutosha ni Aibu kwa hiyo Ligi na timu zote kubwa Epl wana safari ndefu sana kuja kufikia ubora wa Spanish League
ukweli kwamba wanacheza na timu dhaifu unaukwepa,na ukweli kwamba raniel ni kocha mzuri katumia rasimal vizuri unaukwepa pia,hivi mechi ya madrid na city kuna timu ilionesha ubora wowote!?
 
aguero hujamuona?!..vardy vp,uwezo wao wa kutumia nafasi upoje ukilnganisha na huko la liga,kane?!..
ni wazuri but hawajafikia kiwango cha ronaldo au messi,maana hata huko spain c kwamba kila mtu anapga hatrick but sanasana ni hao watatu tu mkuu
 
hivi ronaldo amewah kukifikia kiwango alichokua nacho kipind cha ferguson?..mbona hakufunga goli 50 kwa msimu na hatrick kama zpo znahesabika?
 
cjajua but jaribu kuangalia sasa hivi ronaldo anachez katikati ya kina nani then fananisha enzi za ferguson ronaldo alikua anachez katikati ya kina nani pia utofauti unaweza kuwepo hapo mkuu
 
England itabaki kuwa bora na n lg yenye ushindani kwan viwango vya tmu s issue weng mnaoongelea hispain mnazungumzia tmu tatu na mnasau vbonde vyao kama sevilla tumien akil
 
Watu wa la liga mta ishia kujitetea ni kwa barcelona na Ronaldo
Leo nimeangalia Catalunya derby hata dakika ya 60 cku fika yaan derby espaniol wana pigwa 5 very easly na barca apo kwao walifungwa 3-0, boring

Barca katika misim 7 kachukia ubingwa mara 5, mwaka huu akichukua inakuwa ni 6/8 hasa kuna ligi apo!!!

Leo atletco ka droo kawaacha kule juu wake wale wa kila sku, very preidctable league ni kana bayernliga tyuu
 
Kusema Suarez na Ronaldo hawawezi kufunga goli 4 au 3 wakiwa England lazima tujue kwanza hao wachezaji hawachezi peke yao kufunga hayo magori wanachezwa, kwa hivyo inawezekana kabisa wasifunge kutokana na aina ya wachezaji watakaokuwa wanacheza nao kwenye timu yao.
Kutumia kigezo cha ushindani wa Epl kuwa ndo ubora wake ni Aibu. Timu iliyo na uwekezaji mkubwa, Yenye miundombinu ya kisasa, Mwalimu bora na wachezaji bora afu ubingwa uchukuliwe na kitimu kidogo kisicho hata na uzoefu wala facility za kutosha ni Aibu kwa hiyo Ligi na timu zote kubwa Epl wana safari ndefu sana kuja kufikia ubora wa Spanish League
Maana yenyewe ya ligi ni competition so ushindani ni kigezo kikubwa kuliko vyote, ushindani kwenye la liga ni kati ya tim moja barcelona ( ni ligi yao) na uwa ana fuatwa na real madrid na saa nyngne atletco, EPL hakuna hyo kwanzo wa mwisho kuchukua ubingwa mfululizo ni Man utd 2009
Baada ya apo ni kubadlishana

Loose competition ya la liga hauwez ku itetea
 
Sasa nani mkweli kati yako na UEFA?
 
Wanazi wa EPL mpo? Sevilla,toka La Liga,wametwaa Europa League kwa kuwachapa Liverpool toka EPL 3-1. Sevilla wametwaa kombe hilo kwa mara ya tatu mfululizo.
 
Ubishani wa nini? Wewe unayependa la liga angalia mechi zao na cc wa Epl tutatizama mechi zetu. Mimi siwezi kuangalia dakika 90 mechi la liga sababu nacho taka burudani na hiyo napata Epl.
 
Kigezo cha league bora tusitumie kufananisha team za spain na Epl. Tuongelee kama league yenyewe na hilo halina ubishi Epl ina wafuasi wengi. Hata hawa wanaopiga kelele humu la liga weekend wako mbele kuangalia Epl. Kwani mwaka aliochukuwa porto ubingwa ina maana portugal league yao bora au wakati wa Ajax.
 
mbona unarukaruka kama Chura kwa hyo Shetani ni bora kwa kuwa ana wafuas wengi[emoji4]
Kubal tu kuwa Epl ni jamv la wageni
 
Ushindani wa EPL nadhani unatokana na viwango vya wachezaji kulingani kwa timu zote, jaribu kuangalia mchezaji mmoja mmoja kuanzia timu iliyochukua ubingwa hadi iliyoshuka daraja kama tofauti ipo ni ndogo sana.. Ishu ya wachezaji kufunga goli nyingi laliga sidhani kama ni wepesi wa timu ila laliga wanacheza open football zaidi kuliko EPL, kama ingekua ni rahisi tulitegemea timu za EPL zifunga goli nyingi zinapokutana na timu za laliga kutoka na wepesi wa kufungika... Hembu tujaribu pia kulinganisha bingwa wa EPL anakiwango cha timu gani pale Spain? Zilizopo top 4 au mid table? Baca na real Madrid tuziache, hizo zipo mbali sana kwa sasa, tuangalie hizo zilizobaki.. Kama wengi mnavyosema laliga timu 2, tulitegemea hizi timu mbili hazipo uropa ligi kwa hiyo EPL ingetamba huko, vipi sasa, mbona hizo zisizo na viwango zinawatesa??!!
"UBORA WA SHULE HAUPIMWI KWA MITIHANI YA NDANI BALI MITIHANI YA TAIFA, UNAWEZA KUA NA WANAFUNZI WA KIWANGO CHA CHINI NDANI YA SHULE NA WAKAWA NA USHINDANI WA KIWANGO CHAO"
 
Back
Top Bottom