Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Timu kama Sevilla. A. Madrid, A. Bilbao zipo kundi sawa na top four za EPL.
Mkuu King Ngwaba ubora wa ligi hupimwa kwa michuano ya UEFA ya ngazi ya klabu. Kokotoa utaona ligi ipi bora hadi sasa kwa UEFA CL inayoendelea.
Waingereza kwenye promo za TV ni nouma wakisaidiwa na wa marekaniBinafsi sio mshabiki wa timu yoyote la liga, ila iko wazi kabisa kua la liga ndo ligi bora zaidi duniani, na kwa mtazamo wangu bundesliga ni ya pili nyuma ya la liga. Ila Ligi ya England ni ligi maarufu kuliko zote duniani na ndio ligi inayoongoza kuingiza mapato sababu ya media ulimwenguni. Waingereza kwa promo hamna anaewakaribia, hata mchezaji akiwa wa kawaida wanauwezo wa kufanya aonekane balaa sababu ya promo. Mfano mzuri ni raheem sterling. Sterling ni mchezaji wa kawaida tu(sisemi kwamba hajui), ila ukilinganisha kiwango chake na bei yake aliyouzwa utaona haviendani, ila jamaa alipata promo ya ajabu sana kwenye media
Mkuu mbona umeongea kinyume...Mchezaji akitokea EPL na kwenda LA Liga lazima angare wakati kwenye EPL jasho linamtoka... ndio maana MeSSi hataki kwenye huko maana ataishia kuwa kama Pedro
Huyo huyo levante aje acheze na mabingwa wa Epl utaona jasho litakavyo watoka mabingwa wa epl,,,Epl hakuna kitu paleLaliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
Ukweli kabisa EPL ni daraja la wachezaji wazuriMkuu mbona umeongea kinyume...
Ulipaswa useme hiv wachezaj wakitoka Spain kwenda epl 95% wanaenda kua nyota haswaa...
Wakat wachezaj wanaotoka epl kwenda la Liga n 5% ndo wanaweza kucheza kule na kuwika....
Lakn pia Lazma uweke hil kichwan mwako... Mchezaj anapocheza epl anataka kukuza kiwango il akacheze kwenye team zenye world class player...Madrid or barca
Me nichoongea kina fact ila wewe ni ushabiki tu Wachezaji wa Briatin wana bei kubwa sana hivyo spain kuwachukua huwa ni shida maana fedha zao ni za mawazo so Kina real na Barca wanauwezo kiasi huwamudu so ndio maana wimbi la wachezaji wa England nchi spain ni kama hamna kwa uchache wao... Britain hata mchezaji wa kawaida malipo yake ni makubwa sana...Mkuu mbona umeongea kinyume...
Ulipaswa useme hiv wachezaj wakitoka Spain kwenda epl 95% wanaenda kua nyota haswaa...
Wakat wachezaj wanaotoka epl kwenda la Liga n 5% ndo wanaweza kucheza kule na kuwika....
Lakn pia Lazma uweke hil kichwan mwako... Mchezaj anapocheza epl anataka kukuza kiwango il akacheze kwenye team zenye world class player...Madrid or barca
Ha ha hypocricy Pedro ni moyo wa chelsea unabisha?Mchezaji akitokea EPL na kwenda LA Liga lazima angare wakati kwenye EPL jasho linamtoka... ndio maana MeSSi hataki kwenye huko maana ataishia kuwa kama Pedro
Ha ha utamuua hapo kwenye punchlines za ubeti wa mwishoMkuu mbona umeongea kinyume...
Ulipaswa useme hiv wachezaj wakitoka Spain kwenda epl 95% wanaenda kua nyota haswaa...
Wakat wachezaj wanaotoka epl kwenda la Liga n 5% ndo wanaweza kucheza kule na kuwika....
Lakn pia Lazma uweke hil kichwan mwako... Mchezaj anapocheza epl anataka kukuza kiwango il akacheze kwenye team zenye world class player...Madrid or barca
Wachezaji wa Britain wana bei kubwa?? Nitajie mmoja.Me nichoongea kina fact ila wewe ni ushabiki tu Wachezaji wa Briatin wana bei kubwa sana hivyo spain kuwachukua huwa ni shida maana fedha zao ni za mawazo so Kina real na Barca wanauwezo kiasi huwamudu so ndio maana wimbi la wachezaji wa England nchi spain ni kama hamna kwa uchache wao... Britain hata mchezaji wa kawaida malipo yake ni makubwa sana...
Wachezaji wa Spain kibao England wana wana wika but wakiwa kwao hamna kitu
Hata ukikusanya kundi la kina Bashite darasani bado watashindana tu.. Ishu ni huo ushindani upo kwa kiwango gani? Timu mbili unazungumzia sio mwiba kwa laliga tu bali ulaya kwa ujumla. Sitegemei Southampton au Totenham kusimama na Madrid au Baca hata siku moja. Labda zichezeshe kikosi cha wazeeLaliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
Na Manure FCSio Kweli Uyasemayo!!! Juzi juzi Imepigwa 3 - 1 na Man City...
Ndani Ya August ilipgwa 4 - 0 na Liverpool... (Usilete Excuse Kwenye Mechi hii).
Na Mara ya mwisho Kukutana na Chelsea UEFA ilipigwa na Chelsea...
Na Mwaka 2006 ilipokutana Na Liverpool Nou Camp ilipigwa 2 - 1..
Barcelona Anayemuonea Kwa England ni Arsenal tu....
Gareth Bale unamfahamu? Karibu makocha wote hulalama kuhusu wachezaji wa kiingerezaWachezaji wa Britain wana bei kubwa?? Nitajie mmoja.
Poor justification...et gharama kubwa...kama una kiwango watakuchukua tu whatever the money is...czan kama pesa ndo tatzo ila kiwango ndo tatzo...Me nichoongea kina fact ila wewe ni ushabiki tu Wachezaji wa Briatin wana bei kubwa sana hivyo spain kuwachukua huwa ni shida maana fedha zao ni za mawazo so Kina real na Barca wanauwezo kiasi huwamudu so ndio maana wimbi la wachezaji wa England nchi spain ni kama hamna kwa uchache wao... Britain hata mchezaji wa kawaida malipo yake ni makubwa sana...
Wachezaji wa Spain kibao England wana wana wika but wakiwa kwao hamna kitu