Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Timu kama Sevilla. A. Madrid, A. Bilbao zipo kundi sawa na top four za EPL.

Sio Kweli Kama Timu Hizo ↑↑ Zipo Level Moja na Top Four Za EPL...
Na kama Upo Ukweli Basi Prove Hapa Tuone....

Tuambie Timu Hizo Zinapokutana Na Timu Kama Mancheter, Chelsea, Liverpool na Arsenal Zina Rekodi Gani???

Huezi Kuifananisha Bilbao Na Hata Spurs au Mancity....

Hizo labda Useme ni timu Za Europa League Ndiyo Nitakuelewa lakini Champuon Legue... Kule Hazifurukuti...

Kule Spain Timu Ni Mbili tu!!!
Tena Ubora Wa Hizo Timu unabebwa na Utajiri Wao Kwamba Wana uwezo wa Kumdaka Mchezaji Yeyote Kutoka Timu yoyote...
 
Mkuu King Ngwaba ubora wa ligi hupimwa kwa michuano ya UEFA ya ngazi ya klabu. Kokotoa utaona ligi ipi bora hadi sasa kwa UEFA CL inayoendelea.

Nikikokotoa Ninapata Kuwa Timu Bora Kwa Sasa Duniani ni Barca & Real.... Coz Ndiyo Zinazofanya Vizuri UEFA... Lakini Kwa Ligi Wanayocheza Ya Wafalme Wawili tu, siwezi Kuiita Bora hata Kidogo...
 
Mchezaji akitokea EPL na kwenda LA Liga lazima angare wakati kwenye EPL jasho linamtoka... ndio maana MeSSi hataki kwenye huko maana ataishia kuwa kama Pedro
 
Binafsi sio mshabiki wa timu yoyote la liga, ila iko wazi kabisa kua la liga ndo ligi bora zaidi duniani, na kwa mtazamo wangu bundesliga ni ya pili nyuma ya la liga. Ila Ligi ya England ni ligi maarufu kuliko zote duniani na ndio ligi inayoongoza kuingiza mapato sababu ya media ulimwenguni. Waingereza kwa promo hamna anaewakaribia, hata mchezaji akiwa wa kawaida wanauwezo wa kufanya aonekane balaa sababu ya promo. Mfano mzuri ni raheem sterling. Sterling ni mchezaji wa kawaida tu(sisemi kwamba hajui), ila ukilinganisha kiwango chake na bei yake aliyouzwa utaona haviendani, ila jamaa alipata promo ya ajabu sana kwenye media
Waingereza kwenye promo za TV ni nouma wakisaidiwa na wa marekani
 
Mchezaji akitokea EPL na kwenda LA Liga lazima angare wakati kwenye EPL jasho linamtoka... ndio maana MeSSi hataki kwenye huko maana ataishia kuwa kama Pedro
Mkuu mbona umeongea kinyume...
Ulipaswa useme hiv wachezaj wakitoka Spain kwenda epl 95% wanaenda kua nyota haswaa...
Wakat wachezaj wanaotoka epl kwenda la Liga n 5% ndo wanaweza kucheza kule na kuwika....

Lakn pia Lazma uweke hil kichwan mwako... Mchezaj anapocheza epl anataka kukuza kiwango il akacheze kwenye team zenye world class player...Madrid or barca
 
Laliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
Huyo huyo levante aje acheze na mabingwa wa Epl utaona jasho litakavyo watoka mabingwa wa epl,,,Epl hakuna kitu pale
 
Mkuu mbona umeongea kinyume...
Ulipaswa useme hiv wachezaj wakitoka Spain kwenda epl 95% wanaenda kua nyota haswaa...
Wakat wachezaj wanaotoka epl kwenda la Liga n 5% ndo wanaweza kucheza kule na kuwika....

Lakn pia Lazma uweke hil kichwan mwako... Mchezaj anapocheza epl anataka kukuza kiwango il akacheze kwenye team zenye world class player...Madrid or barca
Ukweli kabisa EPL ni daraja la wachezaji wazuri
 
Mkuu mbona umeongea kinyume...
Ulipaswa useme hiv wachezaj wakitoka Spain kwenda epl 95% wanaenda kua nyota haswaa...
Wakat wachezaj wanaotoka epl kwenda la Liga n 5% ndo wanaweza kucheza kule na kuwika....

Lakn pia Lazma uweke hil kichwan mwako... Mchezaj anapocheza epl anataka kukuza kiwango il akacheze kwenye team zenye world class player...Madrid or barca
Me nichoongea kina fact ila wewe ni ushabiki tu Wachezaji wa Briatin wana bei kubwa sana hivyo spain kuwachukua huwa ni shida maana fedha zao ni za mawazo so Kina real na Barca wanauwezo kiasi huwamudu so ndio maana wimbi la wachezaji wa England nchi spain ni kama hamna kwa uchache wao... Britain hata mchezaji wa kawaida malipo yake ni makubwa sana...
Wachezaji wa Spain kibao England wana wana wika but wakiwa kwao hamna kitu
 
Mchezaji akitokea EPL na kwenda LA Liga lazima angare wakati kwenye EPL jasho linamtoka... ndio maana MeSSi hataki kwenye huko maana ataishia kuwa kama Pedro
Ha ha hypocricy Pedro ni moyo wa chelsea unabisha?
 
Mkuu mbona umeongea kinyume...
Ulipaswa useme hiv wachezaj wakitoka Spain kwenda epl 95% wanaenda kua nyota haswaa...
Wakat wachezaj wanaotoka epl kwenda la Liga n 5% ndo wanaweza kucheza kule na kuwika....

Lakn pia Lazma uweke hil kichwan mwako... Mchezaj anapocheza epl anataka kukuza kiwango il akacheze kwenye team zenye world class player...Madrid or barca
Ha ha utamuua hapo kwenye punchlines za ubeti wa mwisho
 
Me nichoongea kina fact ila wewe ni ushabiki tu Wachezaji wa Briatin wana bei kubwa sana hivyo spain kuwachukua huwa ni shida maana fedha zao ni za mawazo so Kina real na Barca wanauwezo kiasi huwamudu so ndio maana wimbi la wachezaji wa England nchi spain ni kama hamna kwa uchache wao... Britain hata mchezaji wa kawaida malipo yake ni makubwa sana...
Wachezaji wa Spain kibao England wana wana wika but wakiwa kwao hamna kitu
Wachezaji wa Britain wana bei kubwa?? Nitajie mmoja.
 
Laliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
Hata ukikusanya kundi la kina Bashite darasani bado watashindana tu.. Ishu ni huo ushindani upo kwa kiwango gani? Timu mbili unazungumzia sio mwiba kwa laliga tu bali ulaya kwa ujumla. Sitegemei Southampton au Totenham kusimama na Madrid au Baca hata siku moja. Labda zichezeshe kikosi cha wazee
 
Sio Kweli Uyasemayo!!! Juzi juzi Imepigwa 3 - 1 na Man City...

Ndani Ya August ilipgwa 4 - 0 na Liverpool... (Usilete Excuse Kwenye Mechi hii).

Na Mara ya mwisho Kukutana na Chelsea UEFA ilipigwa na Chelsea...
Na Mwaka 2006 ilipokutana Na Liverpool Nou Camp ilipigwa 2 - 1..

Barcelona Anayemuonea Kwa England ni Arsenal tu....
Na Manure FC

Kampiga fainali mbili
 
Wachezaji wa Britain wana bei kubwa?? Nitajie mmoja.
Gareth Bale unamfahamu? Karibu makocha wote hulalama kuhusu wachezaji wa kiingereza
Pep Guardiola: English players too expensive

Stones made City poorer by 47.5 million pounds (Dh212.3 million) when they signed him from Everton in August.

But mkuu kuna hoja za kupeana challenger but issue zilizo openly hatuhitaji kuonesha kama tunabishania tuziache tusionekane nonsense
 
Me nichoongea kina fact ila wewe ni ushabiki tu Wachezaji wa Briatin wana bei kubwa sana hivyo spain kuwachukua huwa ni shida maana fedha zao ni za mawazo so Kina real na Barca wanauwezo kiasi huwamudu so ndio maana wimbi la wachezaji wa England nchi spain ni kama hamna kwa uchache wao... Britain hata mchezaji wa kawaida malipo yake ni makubwa sana...
Wachezaji wa Spain kibao England wana wana wika but wakiwa kwao hamna kitu
Poor justification...et gharama kubwa...kama una kiwango watakuchukua tu whatever the money is...czan kama pesa ndo tatzo ila kiwango ndo tatzo...

Tuliongelea wachezaji wanaotoka mabara tofaut walioko epl na sio waingereza tu. Hata hvyo hilo sio tatzo kama kiwango kipo..

Weka tena kichwan hil.. Wachezaj weng wa kingereza wanakosa maarifa, hakir na ufund wa mpira...wanapewa cfa ambazo c za viwango vyao..wao walichobarikiwa n fighting spirit kama vile nguvu,rafu na encouragement...yaan mpira kwa sio burudan bal n vta Kal...
 
Back
Top Bottom