Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha Thirdway Alliance cha Ekuru Aukot na wengine.
Hoja zao ni kwamba Katiba ya Kenya inawawekea vikwazo maafisa wa polisi kufanya kazi ndani ya mipaka ya Kenya tu na si nje ya mipaka na pia hakujakuwa na ombi lolote kutoka kwa serikali ya Haiti.
[emoji3][emoji3] ni aibu sana nchi ipo under state capture huku wazalendo wanaonewa, kukamatwa na kupewa kesi zisizo na kichwa wala miguu.... I deed Tz is a rotten state.
[emoji3][emoji3] ni aibu sana nchi ipo under state capture huku wazalendo wanaonewa, kukamatwa na kupewa kesi zisizo na kichwa wala miguu.... I deed Tz is a rotten state.