Wakati majirani wanasheherekea ndege yao ya kwanza, huku raisi atakua abiria wa kwanza kwenye ndege yetu ya kwenda US

mtu anaogelea kwenye bwawa la grisi huku akimkejeli anayeogelea kwenye bwawa la tope.
Tanzania na kenya umasikini tunapishana kidogo sana. wote ni masikini wa kutupwa.

Mkuu ukipata muda safiri safiri, jaribu kwenda hapo Nairobi tu kwanza alafu urudi uangalie post yako. Labda tanzania tujilinganishe na Malawi sio Kenya. Kenya iko next level from us.
 
Sawa jirani! Rubani mkenya anaongoza ndege ikiwa na rais kwenda USA, huku kwetu, engineer mtanzania aliyeko kampuni ya Boeing anashiriki kuunda ndege ya tz!

Ila hiyo route ya USA ni kama mmechelewa! Mlisubiri nini mda wote huo?
 
Hongera Jirani kwa kupata Ndege ya kwanza in so many years. I hope this will look up and ATCL will create a niche for itself in the sky industry
 
Rubani mwnyw analambwa kisimi na mbwa
 
Mkuu ukipata muda safiri safiri, jaribu kwenda hapo Nairobi tu kwanza alafu urudi uangalie post yako. Labda tanzania tujilinganishe na Malawi sio Kenya. Kenya iko next level from us.
Njoo huku Turkana uione Kenya vizuri.
 
Mkuu ukipata muda safiri safiri, jaribu kwenda hapo Nairobi tu kwanza alafu urudi uangalie post yako. Labda tanzania tujilinganishe na Malawi sio Kenya. Kenya iko next level from us.
Umasikini haupimwi kwa macho bali takwimu.
Poorest countries in the world – ranked | Atlas & Boots
Kenya inaizidi Tanzania kiasi kidogo ambacho haina sababu ya kujivuna kama inajitambua.
wote tuko kwenye mkwamo.

Waafrika tukomae tujikwamue.
 
Hongera Jirani kwa kupata Ndege ya kwanza in so many years. I hope this will look up and ATCL will create a niche for itself in the sky industry

Asante sana, muda wetu wa ku-shine umefika sasa, ndo tumeanza kupanda hivyo breki ya kwanza Mawingu!
 
Mbona simuamini huyu rubani? Hii ndege akipaa nayo kama haitatumbukia Ziwa Victoria basi lazima itaharibika kabyureta ikiwa angani. Badala ya 'emergency tunakufa' utasikia 'ebanaeee hapa kazi tu!' 😀
Mzee anapiga kazi zote, PhD aliyonayo sio ya makaratasi[emoji1]
 
hehe maajabu ya musa...kutua kwa ndege kunaifanya nchi nzima isimame watu washerehekee kwanza ndio tofauti ya ldc na middle income
 
Sawa jirani! Rubani mkenya anaongoza ndege ikiwa na rais kwenda USA, huku kwetu, engineer mtanzania aliyeko kampuni ya Boeing anashiriki kuunda ndege ya tz!

Ila hiyo route ya USA ni kama mmechelewa! Mlisubiri nini mda wote huo?

Marekani tangu kipigo cha 911 huwa hapaingiwi kiholela, hadi wao wenyewe wakuruhusu kwanza.
Walikuja wakafanya kaguzi za kila aina na kuweka JKIA kwenye level waitakayo wao.

kawaida huwa wanataka ndege yako ipitie UK na kwengine kabla ya kwenda kwao, ili kama una madude ya kulipuka uwalipukie hao kwanza.
 
Africa 'll develop only when Africans 'll start to mind their own problems... bado siamini kama mtu mwenye akili zake timam anaweza akapoteza his precious time kuandika upuuzi kama huo mbele za watu.. shame on you..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…