Wakati majirani wanasheherekea ndege yao ya kwanza, huku raisi atakua abiria wa kwanza kwenye ndege yetu ya kwenda US

mtu anaogelea kwenye bwawa la grisi huku akimkejeli anayeogelea kwenye bwawa la tope.
Tanzania na kenya umasikini tunapishana kidogo sana. wote ni masikini wa kutupwa.

Mkuu ukipata muda safiri safiri, jaribu kwenda hapo Nairobi tu kwanza alafu urudi uangalie post yako. Labda tanzania tujilinganishe na Malawi sio Kenya. Kenya iko next level from us.
 
Mkuu ukipata muda safiri safiri, jaribu kwenda hapo Nairobi tu kwanza alafu urudi uangalie post yako. Labda tanzania tujilinganishe na Malawi sio Kenya. Kenya iko next level from us.
nimekaa kenya kwa miaka 2 kenya ni third world country too100%
 
Africa 'll develop only when Africans 'll start to mind their own problems... bado siamini kama mtu mwenye akili zake timam anaweza akapoteza his precious time kuandika upuuzi kama huo mbele za watu.. shame on you..!

Hehehe povuuuu....za nini zote hizo, upuzi upi nimeandika, nyie mpo mnasheherekea ujio wa ndege ambapo mpo sahihi maana ni kwenye level yenu, sie kwa level yetu tunasheherekea kupata soko la moja kwa moja kwenda Marekani. Sasa kila mtu anasheherekea kwa level yake.

Kwa mfano umenunua daladala lako la kwanza tangu uzaliwe, unaita wanao msheherekee, hiyo ni poa maana ni mafanikio kwenye level yako. Sasa kuna jirani anayo madaladala 37 kama hilo la kwako, yanakatiza mitaa yote, japo hajapata fursa ya kutumia ruti yenye mshiko, hivyo siku akiruhusiwa ruti nzuri naye atafurahi na kupata raha ya uzinduzi.

Kila mtu huwa na furaha kwenye level yake, nakumbuka mkoa mzima wa Mbeya kuna siku walisheherekea uzinduzi wa lift, pia kunayo ile fly over mnatengeneza kwenu, siku mkiizindua nategemea nayo pia mtasistisha kila kitu kuisheherekea, japo sisi fly over tunazo nyingi hadi kero.
Siku mkimaliza SGR pia mtaipigia makelele ya shangwe, ilhali sisi leo hii tunabisha hodi kwa Museveni tukimpelekea SGR maana kwetu imekua kawaida.
Hivyo ni jambo la kila mtu kufurahi kwa level yake na wakati wake.
 
hivi unajua kua Kenya ina madaktari wengi per capita kuliko Tz na kisha bado tuliagizia... tafakari hayo



sawa basi tuacheni sisi tusherekee kama nyinyi mlivyosherekea madaktari kutoka nje
 
Siamini mlianza na 37 mlianza na 1,2,3...10 then 20, 30 mpaka 37.

Sisi tumechelewa sana but never say too late, tunaamini tutafika huko pengine tutafeli lkn wanaofanikiwa na kufeli ni walioanza kufanya sisi ndio tumeanza tunaamini nyie pia mlianza ndio maana leo mmefika hapo. tutafika tu wasiwasi wangu ni kuwa na one strong person, badala ya taasisi imara huyu bwana pengine akaondoja 2020 au akaenda mpaka 2025 sijui akiondoka nini kitafuata maana atakae kuja hatujui kama atakuwa regerege au dikteta kama huyu(udikteta mzuri)
 
I dont know if ts bro...! dont u have anything else to do, maana kwa uandishi huu t luks like ur using a lot of energy and time kutushawishi kwamba wewe ni kichwa maji... U ar an idiot to think kwamba having done whatever nonsense umesema hapo can make you better than someone else... Life is not about who has what ts about nini unafanya kuweka mazingira yanayokuzunguka a better place.. natumaini utakuw umenielewa...
 


Pole jirani pambaneni na hali zenu, ya kwetu yanawachosa bure.
Halafu jirani usijisahaulishe kiwa sisi hatujakopa.
 
KQ huwa expensive sana. It's good to see wamereduce price hata below Qatar. That strategy will attract many customers. Anyway kudos to KQ
 
kwa ndege ya mkopo!

Ulitukopesha?
Na hatujasahau kwamba dreamliner yenu imekuwa registered kwa jina la shirika la serikali, ili wanaodai ATCL deni wasiikujie.
Yaani, mko na madeni mengi na hamtaki kulipa.
Sasa tunaelewa kwanini Boeing walimwambia lazima mnunue cash, ilhali mashirika makubwa kama KQ na American Airlines yanapewa favourable terms.

Nyinyi ni wale watu wa kukopa sukari kwa duka na kupotea bila kulipa.
 
Dah! Hivi ni wewe au mtu kahack akaunti yako, kumbe huwa unatumia akili sometime. Lazima kuna kitu unatafuta, haiwezekani ukaandika hivi bila kulenga sehemu.
Huna habari. Tangu jamaa aangukie msichana wa Kikenya, Barbarosa amekuwa mkarimu sana kwa Wakenya. Imebakia Geza tu na huyo pia tutamtafutia pipi ya kunyonya.
 
Mkuu umeona kama mimi aseee yaan katika hii thread nmemuona Irene Konki tu. MK 254 do the needfull plz
Wacha kuota. Irene ni millionaire na wewe uko hapo Tandale unakunywa supu ya magoti ya ngamia unadhani mko class sawa?
 
Mbona simuamini huyu rubani? Hii ndege akipaa nayo kama haitatumbukia Ziwa Victoria basi lazima itaharibika kabyureta ikiwa angani. Badala ya 'emergency tunakufa' utasikia 'ebanaeee hapa kazi tu!' 😀
Huyo Rubani ana more than 10 years experience. Ndio afike kuendesha dreamliner alianza na akina cesna akiwa flight school kisha akaenda kwa akina boeing 777 and so on. KQ ina pilots zaidi ya hamsini lakini very few are trained to handle a gigantuan bird of this size. Hapana cheza na mwanamke huyo wa Kikenya
 
Wacha kuota. Irene ni millionaire na wewe uko hapo Tandale unakunywa supu ya magoti ya ngamia unadhani mko class sawa?
Acha kukariri kwamba matajiri hawaliwi na sie wa kwa ali maua. Tunawatafuna tu tena sana mbona. Au kenya huko ubaguzi wa kikabila umefikia kwenye kipato
 
Huyo mpolish ndio bosi wenu mumshukuru.. akili za kizungu zinawaendesha sio za kikenya..

Ndege yetu inameremeta

Magufuli oyeeee
 
Huyo Mbwa hapa Dar kwetu angekufa kwa joto kwa maana hayo manyoya yake si mchezo, mimi wa kwangu hana manyoya mengi namna hiyo, hivyo hapati shida hapa Dar!
Na ni mchafu hasa sipati picha harufu.
 
Nilikuwa naongea kuhusu rubani Pombe hapo kwenye picha akitesti mitambo ya ndege yake mpya. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…