Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na nani alimwachilia.
Akiwa anaongea unamwona tu kila dakika analamba asali anakuja tena kuongea jukwaani. Akiongea kidogo koo lilikauka anaenda tena kulamba asali.
Lissu anaongea koo likikauka anakunywa tu ya kuchemshwa. Mbowe akiwa jukwaani muda wote anajikuta anamponda tu Sukuma Gang na kusifiw Msoga Gang sisi Wananchi Gang hatuguswi kabisa.