Papasa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,619
- 5,780
Kwani Afrika kusini walipata uhuru mwaka gani 🤔🤔 tena sisi ndio tulikua vihere here kuwasaidia lakini Leo hii uchumi wao na wetu ukoje 🤔🤔 umaskini na uchumi wa kuunga unga wa Tanzania sababu sio tulipata uhuru lini lakini ni utawala wa kipumbavu na wakishetani kabisa wa ccmUsisahau pia Tanzania ina miaka 63 tangu ipate uhuru wakati USA ana miaka 200+