Hili la kumpeleka binadamu mwezini na mission kuchukua muda mrefu linanifanya nione wale wanaosema ile binadamu kuta mwezini miaka hiyo yalikuwa maigizo nione wana hojaMkuu nadhani kulikuwa na Tu-144 ya Soviets ndo ilikuwa ya kwanza. Ila kinachonishangaza ni kuwa tech nyingi zilizowezekana miaka ya 60-80s leo haziwezekani eti mpaka zinatengewa mabilioni ya pesa kufanyiwa utafiti mfano ni kumpeleka tena binadam mwezini.