Wakati mchina anafanya majaribio ya ndege za jet, USA yuko mbioni kutuletea super sonic planes

Usisahau pia Tanzania ina miaka 63 tangu ipate uhuru wakati USA ana miaka 200+
Kwani Afrika kusini walipata uhuru mwaka gani πŸ€”πŸ€” tena sisi ndio tulikua vihere here kuwasaidia lakini Leo hii uchumi wao na wetu ukoje πŸ€”πŸ€” umaskini na uchumi wa kuunga unga wa Tanzania sababu sio tulipata uhuru lini lakini ni utawala wa kipumbavu na wakishetani kabisa wa ccm
 
We nae toka umepata bwana wa Kimarekani basi hatupumui2910430[/ATTACH]
 

Attachments

  • Screenshot_20240220-195053.jpg
    28.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240220-195000~2.jpg
    63.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240220-195053~2.jpg
    60.6 KB · Views: 2
Hamna usafiriki wa spidi hiyo. Shekhe Omari anasema usafiri wa haraka wa kichawi ni kukalia fimbo na ufagio ambapo kutoka Dar hadi Comoro wanatumia dakika 45. Hivyo, kutoka DAR -USA bila shaka itachukua masaa kadhaa.
Uchawi upo WA aina na fani tofauti tofauti.Ipo jet ya kichawi inauzwa bilioni 900 inatumia damu kama mafuta.
 
Labda ziwe za kivita tu, ila kubeba abiria mtihani kweli kweli.

T14 Armata
 
Hiyo sio ndege ya abiria. Ni demonstration au experimental jet. Ukiona ndege ya Marekani imeanza na X- ujue ni experimental. NASA wanazo X- nyingi tu na kila ikimaliza kazi wanaweka museum na wanatoa idea kwa jeshi au kwa civilian aviation.
 
Supersonic plane mbona zilikuwepo toka miaka ya 70 huko warusi walikuwa nazo,wafaransa walikuwa na concord siyo jambo geni mkuu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa taarifa umeitoa taafira kiubinafsi Sana ila siyo mbaya ila kumbuka mafanikio ya China kwenye nyanja zote za kiuchumi,kiteknolojia yanaishtua sana Marekani si ivyo tu China na japani wapo mbali sana kwenye tafiti za bullet train na si miaka mingi wataanza kuileta kwenye matumizi ya kijamii
 
Uku Tanzania umeme,sugar,maji ni matatizo ya miaka na miaka kila raisi ayawezi kuyatatua ayo matati wengine mpaka tutakufa atutayaona yakitatuliwa ayo matatizo.
 
Mkuu nadhani kulikuwa na Tu-144 ya Soviets ndo ilikuwa ya kwanza. Ila kinachonishangaza ni kuwa tech nyingi zilizowezekana miaka ya 60-80s leo haziwezekani eti mpaka zinatengewa mabilioni ya pesa kufanyiwa utafiti mfano ni kumpeleka tena binadam mwezini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…