Mkuu nadhani kulikuwa na Tu-144 ya Soviets ndo ilikuwa ya kwanza. Ila kinachonishangaza ni kuwa tech nyingi zilizowezekana miaka ya 60-80s leo haziwezekani eti mpaka zinatengewa mabilioni ya pesa kufanyiwa utafiti mfano ni kumpeleka tena binadam mwezini.