Kuna viongozi wengi walikuwa wanategemea mgawanyiko na ugomvi wa Magufuli na upinzani.
Hawa ni machawa wa usalama, Polisi na wanasiasa wanaotafuta nafasi.
Hawa ni wale watu ambao kiundani hawajali Tanzania bali matumbo yao zaidi.
Sasa Rais Samia anaongea na upinzani moja kwa moja bila wapambe kujua yote waliyo ongea inaleta hasira nyingi kwa hawa machawa ambao sasa hawajui Rais anafikiria nini.
Mfano wa chawa mkubwa sana ni IGP sirro na wenzake, Dkt. Slaa naye anajaribu kuwa chawa bila mafanikio.
Namshukuru Mama kwa kutusikiliza sisi ambao ni team Tanzania 🇹🇿
Jamaa naye kasema kuhusu hili