Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

Kwenye uchaguzi walichagua kuwa upande wao pamoja na kutetewa kuhusu elf20.
Na hata juzi kiongozi wao amesema kwamba waliokaidi sio machinga, kazi iendelee.
 
Unaona hayo maamuzi yalikua sawa?.
Yasingekuwa sawa yangepingwa hadharani.
Siyo wabunge wala mawaziri husika walio kosoa .

Leo hii unaanza kumuhamisha mmachinga wakati mliwaruhusu nyinyi tena kwa mbwembwe kibao
 
Yasingekuwa sawa yangepingwa hadharani.
Siyo wabunge wala mawaziri husika walio kosoa .

Leo hii unaanza kumuhamisha mmachinga wakati mliwaruhusu nyinyi tena kwa mbwembwe kibao
Kuna mtu alikua na jeuri ya kumpinga Hayati??
Jibu ile kiukweli kabisa moyoni mwako
 
Miji upangiliwe kwanza, sio kuhamisha watu kinyama kabla ya kupangilia.

Watawala wamefanya kosa kubwa kuhamisha kinyemela shughuli za kiuchumi kutoka Dodoma na kuzipeleka Dar ambako mji wake ulibuniwa miaka ya 1890, Mwanza 1892, Arusha 1905, Moshi 1898, Mbeya 1915 nk. Ardhi haiongezeki lakini watu na shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii zinaongezeka kila kukicha hivyo haiwezekani kupangilia na kuacha nafasi huru kwa matumizi ya umma bila bughudha.
Nyie ndio chanzo cha matatizo. Uaribifu unaofanywa na machinga na mamalishe unaikosesha Tanzania mapato kuliko huruma uliyonayo kwai. Si lazima wewe kuwa sehemu ya taka kwenye mji. Kuchuiza vitu mabarabarani sio suruhisho
Suruhisho ni nguvu ya pamoja ya kuondoa machinga tupate utulive
 
Tatizo siyo wamachinga bali tatizo ni mtoto umuleavyo.

Mwendazake aliapa na kulihutubia taifa kuwa wamachinga kamwe wasiguswe maana walimpigia kura.

Basi waende wakajipange uwanja wa chato wafanye biashara zao kwa usalama
 
Nyie ndio chanzo cha matatizo. Uaribifu unaofanywa na machinga na mamalishe unaikosesha Tanzania mapato kuliko huruma uliyonayo kwai. Si lazima wewe kuwa sehemu ya taka kwenye mji. Kuchuiza vitu mabarabarani sio suruhisho
Suruhisho ni nguvu ya pamoja ya kuondoa machinga tupate utulive
Chuki zako zina mwisho
 
Basi waende wakajipange uwanja wa chato wafanye biashara zao kwa usalama
Hiyo Chato imeingiaje hapo.........................viongozi wote waliokaa wakajadili kuwaondoa wamachinga kabla ya kutengeza mahala panapofaa kwa shughuli zao, watekelezaji wa uondoaji unaovunja haki za binadamu kwa msukumo wa wafanyabiashara wakubwa na wana siasa wenye chuki 'Karma is loading'
 
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.

Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.

Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohed Boazizi aliaambia na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.

Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Serikali haiwezi kuruhusu watu wajifanyie mambo ya kipuuzi puuzi ili tu kuwafurahisha raia.
 
Ukweli ndiyo huo aliye waruhusu ni mwenyekiti wa ccm.

Inakuwaje leo hii mnaanza kuwaharasi kwani wao kosa lao ni lipi?
Navyoona
Kosa lao ni kuamini taarifa iliyokuwa ina kasoro na kupenda urahisi
 
Hapa bongo haitakaa itokee hiyo. Kama unabisha jaribu ujimwagie mafuta halafu wahutubie wamachinga wenzako kisha ujichome.

Uone kama mtanzania ataacha kazi zake eti aje kuandamana kwasabb wewe umejiua.
Kama Tundu Lissu alisulubiwa mchana kweupe na hakuna raia aliyeandamana sembuse machinga mmoja ambaye hana ushawishi wowote ule
 
Hao wamachinga hawana kosa hata kidogo.

Waliaminishwa na mkuu mwenyekiti wa chama kuwa hawaguswi
Hapo ndio na wewe unapopinda nafikiri
Watu wangapi pamoja na statement ya Hayati waliendelea kufanya biashara kwa kufuata taratibu?.

Unajua kuwa ignorance of the law is not an excuse?

Mi nafikiri tufike mahala tukubali hii ni changamoto nchini kwetu na tushirikiane na Serikali kuitatua na sio kukazania maamuzi ya nyuma ambayo hayawasaidii machinga wala Serikali kwa muda mrefu
 
Hakuna na bado hajatokea binadamu yeyote nje ya siasa anayeweza kumkosoa rais wa nchi.
 
Back
Top Bottom